Nini maana ya uchawa?
- UCHAWA ni UPUMBAVU kwasababu tafsiri ya UPUMBAVU ni kuujua ukweli lakini ukaupindisha.
-UCHAWA unatokana na Mtu kuwa MCHAFU hivyo anatafuta Watu kwa gharama zozote zile...
Anasema Kuna dogo mmoja wa kihaya ndo anauza siri za Chadema kwa Abdul Ameir.Anasema Kuna mwanamke mmoja anatoka naye Bariadi amezaa na mtoto wa Samuya siku Moja alienda kwa Mambaz na Abdul.Huyo...
Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Warioba, amesema haoni uwezekano wa Tanzania kupata Katiba mpya katika kipindi kifupi kijacho, akionya kuwa nchi inaweza kuingia katika madhara makubwa zaidi ikiwa...
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi, amesema Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora nchini imeshindwa kuwa huru na kutekeleza wajibu wake kikamilifu.
"Tume...
Mkurugenzi wa Kituo cha Ubia nchini Tanzania (PPPC), David Kafulila, akizungumza na wasomi wa Tengeru Institute of Community Development (TICD) jijini Arusha, alitoa maelezo ya kuvutia kuhusu...
Huyu mzee ni miongoni mwa watu waliokua na mvuto karibia kwa watanzania wote alikua akitokea na tabasamu lake na kicheko basi watanzania wote tunalidhika na kusema huyu mzee ni mgwana huyu mzee...
Yaan Mfugaji aloingiza Ng'ombe , Mbuzi na Kondoo wake, kula Majani na Nyasi, kuhusu yeye Kuliwa na wanyama wakali atajijua mwenyewe .
Kwann sasa Ukamate Mifugo yake?? Utaifishe?? Umuue hata...
Watu sita akiwemo Askari wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) anayefahamika kwa jina la Gift Eliaika (34) mkoani Tabora (pichani), ni miongoni mwa watu sita waliouawa baada ya...
Wakili Maduhu William Amechambua kuhusu kuitwa kwa CDF JACOB MKUNDA,,IGF CAMILLIUS WAMBURA NA DCI RAMADHAN KINGAI NA UTETEZI DHIDI YA KESI YA UHAIN NAYOMKABILI MHE LISSU
Na haya ndio maswali...
Mwakilishi wa Kiwanda cha Twiga Cement
"Sasa leo kwanza tumefurahi sana ujio wa mgeni wetu rasmi ambaye ni kamishna general wa TRA, na tunachofurahia ni kwamba wamekuja wamejifunza nini ambacho...
Nimeona matusi na sintofahamu nyingi mtandaoni baada ya kuchapisha ujumbe wa kutoa pole kwa Mama Samia, hasa niliponukuu salamu za pole za Mwenyekiti Lissu kutoka gerezani.
Kwa sisi jamii...
Wakuu
Mjasiriamali maarufu wa Zimbabwe, Wicknell Chivayo, anayejulikana pia kama Sir Wicknell, amemtembelea Rais wa Tanzania, Samia Suluhu, Ikulu kwa ajili ya kumpa pole baada ya kufiwa na Mume...
Wanabodi,
Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la Jumapili ya Leo.
https://youtu.be/5_d6aAoxPDE?si=G_6darBlVkWQNfz1
Makala yangu ya leo, ni pongezi kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari...
|||MASAA 2 BILA KUSOMA POPOTE.-MHADHIRI SUA.
David Kafulila, Mkurugenzi wa PPPC, akihutubia katika mhadhara wa umma Chuo Kikuu cha Sokoine (SUA), alisisitiza wajibu wa taasisi hiyo kubwa yenye...
Mwendeshaji Kipindi: Eh sasa hivi kwenye siku za hivi karibuni taarifa kubwa imekuwa ni El Niño, El Niño, El Niño. Lakini pia Mheshimiwa Rais alisisitiza mara kadhaa na hata juzi akiwa anawaapisha...
Padri Radislaus Mgaya, Paroko wa Parokia ya Mlangali, amewataka waumini kutambua thamani ya maisha na kutumia mabadiliko yanayotokea mwilini kadiri umri unavyoongezeka kama ukumbusho wa kujiandaa...
Wanaukumbi.
HAYA mambo huwa hayaji kwa bahati mbaya au kwa ndoto!.. Au hayaji kwa kutumia AI 😄
WAKATI wanaharakati na wapinzani wanaikosoa hii nchi kuwa haifai kwa lolote na chochote na...
Serikali inayotawaliwa na watu wa hovyo zaidi, wasio na sifa, au mafisadi inaitwa Kakistocracy.
Sifa Kuu:
-Uwezo mdogo na rushwa:
Viongozi huteuliwa kutokana na upendeleo (cronyism)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.