Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye UNESCO Mhe. Ali Jabir Mwadini amewasilisha hati za Utambulisho kwa Mkurugenzi Mkuu wa UNESCO...
MAONI YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI, OFISI YA MAKAMU WA RAIS (MUUNGANO),
MHESHIMIWA TUNDU A.M. LISSU (MB.)
KUHUSU
MPANGO NA MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA YA OFISI...
Mdogo wangu makonda nenda kwa tahadhari karata zote kwa sasa ni kuelekea uchaguzi mkuu
Wewe na biteko mmewekwa hapo kuleta ushindi wa kanda ya ziwa
Na usidanganyike Rais samia amekuteua bila...
Mpaka sasa hakuna tamko rasmi la mwenyekiti Mbowe kuhusu uchaguzi mkuu unaokuja ni vyema viongozi wakatoa tamko kama watagomea kushiriki uchaguzi mkuu au wapo tayari kuingia kwenye uchaguzi hivyo...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akishiriki Mkutano wa 23 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi za Afrika Mashariki. Kauli Mbiu ya Mkutano huo ni "Kuharakisha ufufuaji wa...
Nakumbuka mh Halima Mdee alilia sana pale Kawe huku akitoa shahada feki za kupiga kura alizodai wamezikamata kwa wafuasi wa askofu Gwajima mgombea Ubunge wa CCM
Ilikuwa vigumu sana kuthibitisha...
Taarifa nilizozipata muda huu ni kuwa Waandishi wa habari wameitwa Ikulu na Katibu Mkuu Kiongozi lengo ni kuwaonyesha Hati Ya Muungano na kukata mzizi wa Fitina Kwa wajumbe wa bunge la Katiba...
Baada ya mh. Wassira kutoa kauli na kuwahakikishia watanzania kuwa hati ya muungano ipo na ataiwasilisha ndani ya siku mbili.
Taarifa zenye uhakika kabisa kuwa hati imeshawasili Dodoma kwa maana...
Wakati akichangia hoja za Kamati za Bunge Maalumu namba moja hadi 12, juu ya Sura ya Kwanza na Sura ya Sita ya Rasimu ya Katiba, Zitto Kabwe alisema wajumbe hawako Bungeni kwa ajili ya...
Wakuu poleni na kujenga nchi, asee tupo Singida hapa tumetoka Kanda ya Ziwa huko tunatafuta lisaa sasa kupisha msafara wa mtu mkubwa.
Vipi hii hali ni haki? Si binadamu wote ni sawa? Si kila mtu...
Wakati wa awamu ya nne tuliona kampeni kubwa za kugawa tenda za ujenzi kwa makandarasi wazawa. Tuliona kampuni ya Mayanga Construction ilivyomwagiwa tenda mpaka ikashindwa na kuishia...
Watu usema kuwa daima usilonge kumala maana hakuna anaye ijua kesho yake.
Makonda kuna kipindi alimuweka kwenye 18 zake ndugu Chongolo ikabidi mzee wa watu na kipara chake anyweee.
Leo hii...
"Sisi katiba yetu ipo wazi ina vipindi viwili na mimi ni muumini wa katiba na ukatiba kwahiyo nimeamua kuheshimu katiba, kumekuwa na shinikizo ndani ya chama kuwa tubadilishe katiba ili uweze...
"Huko nyuma Tanzania tulikuwa tunaagiza mbegu kutoka nje ya nchi lakini sasa tunazalisha wenyewe kwa kuziwezesha sekta binafsi kufanya "research" na kuanzisha mashamba yanayozalisha mbegu bora na...
Kama kuna Kipindi mkulima wa Korosho amepitia au anapitia mateso mheshimiwa Rais basi ni hiki Kipindi chako, huenda kuna mambo mengi unadanganywa na hawa uliowafanya Kuwa wasaidizi wako.
1. Bei...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa namna dkt Tulia anavyokubalika,kupendwa, kuaminika na kuungwa mkono na wana Mbeya. kwa hakika uchaguzi ujao Dr Tulia atakuwa mbunge wa kwanza kushinda na kutangazwa...
Chama Kikuu cha siasa Nchini Tanzania (CHADEMA), huko Bunda mjini kimekutana na wanachama wake kwa ajili ya kupanga mikakati mipya ya kuifuta ccm kwenye eneo hilo.
Chadema yenye Wanachama hai...
Mwalimu ni mtu anayesaidia wengine/jamii kupata ujuzi, maarifa na tunu katika Nyanja mbalimbali zinazohusu jamii au ulimwengu/dunia. Na majukumu ya mwalimu yanaweza kutofautiana kadiri ya...
Binafsi namsifia sana mbunge Kishimba hata kama wanasema hana degree.
Anaongea mambo ya msingi sana kwa ustawi wa maisha ya mtanzania.
Hao mawaziri wanao shindana kuweka SUPER BLACK KICHWANI...