Balozi Mwadini awasilisha hati UNESCO

Balozi Mwadini awasilisha hati UNESCO

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,773
Reaction score
1,174
Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye UNESCO Mhe. Ali Jabir Mwadini amewasilisha hati za Utambulisho kwa Mkurugenzi Mkuu wa UNESCO Bi. Audrey Azoulay katika makao makuu ya Shirika hilo Jijini Paris Novemba 23, 2023.

Pamoja na masuala mengine, viongozi hao wamejadili kuhusu maeneo muhimu ya ushirikiano baina ya Tanzania na UNESCO hususan kwenye sekta za elimu, sayansi na utamaduni.

20231123_202059.jpg
20231123_202102.jpg
 
Back
Top Bottom