Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hii ndoto imenifikirisha sana yaani kumbe CCM haitatoka madarakani ! ukweli usemwe wanaosema itatoka itaanzaje? CCM ,wanalijua hilo kuwa niwa milele ,ndio maana walipo anza mchakato wa Katiba...
6 Reactions
72 Replies
3K Views
Kuna siku wanachama wa ccm watakapo jitambua kuwa:- 1. Watoto wao wamesoma wanazurura hakuna ajira. 2. Huduma za jijamii hazipo kulingana na mahitaji yao 3. Raslimali zipo ila zinamilikiwa na...
2 Reactions
5 Replies
616 Views
Waziri nishati Dkt. Kalemani asema Bwawa la Nyerere kujazwa Maji Novemba 15 mwaka huu wa 2021 aeleza gharama za kuzalisha umeme kwa kila chanzo bunge lamshangilia sana. Asema lengo la Serikali ni...
39 Reactions
203 Replies
19K Views
..kitu cha habari hapo juu chahusika. ..pamoja na vyanzo hivyo vya umeme nilivyovieleza hapo juu tuna mito mikubwa yenye maporomoko ya maji, pia kuna maeneo yenye upepo wenye nguvu za kuzalisha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nchi ya kusadikika ni Tanzania kwa vituko hivi hatujamaliza hili linaibuka hili mipango kumi hakuna hata moja linaloisha tunaibuka na lingine. Huyu JPM si alikuwa kwenye baraza la mawaziri la JK...
5 Reactions
32 Replies
2K Views
Habarini ndugu zangu wote, Mimi ni kijana mdogo tu ila huwa napenda kudadisi maana ni mwanasayansi. Jana nimekaa usiku wote natafakari, juu ya habari iliyo zungumzwa na bunge la Ujerumani...
9 Reactions
56 Replies
7K Views
Akichangia katika mpango wa maendeleo wa Serikali bungeni amesema anashangaa watu wanavyohangaika na umeme wa maji na huku dunia ya sasa ni umeme wa gesi Uchumi wa sasa duniani ni umeme wa gesi...
51 Reactions
313 Replies
25K Views
TANESCO katika mpango mkakati wake wa miaka mitano imesema pamoja na kupungua utegemezi wa matumizi ya mafuta mazito kuzalishia umeme, gesi nayo majanga. Gharama ya kufikisha gesi kwenye vituo vya...
10 Reactions
66 Replies
5K Views
Kumbe sio kila Polisi ana roho mbaya wala katili. Wapo Polisi baadhi wema. Yupo Rasha mmoja kwa Polisi 1,000. Sema watu kama hawa wanakomolewa kwa kupelekwa Vijiji vya ndani ili wasionekane...
22 Reactions
55 Replies
5K Views
Labda kwa wale ambao hawaelewi ni hivi , Chadema sasa imeamua kuchukua wananchi wote na kubakisha viongozi pekee , yaani wananchi wote wanakuwa wanachadema halafu ccm inabaki na Viongozi tu . DED...
8 Reactions
41 Replies
3K Views
Wadau nawasabahi. Nimekuwa nawafuatilia Wabunge wengi kuona ni Maendeleo gani wamewapelekea Wapiga kura wao katika Majimbo yao. Ukweli sijaona Maendeleo yote ktk Majimbo yote yaliyoletwa na...
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Tuliwaona ni makamanda walioiva mno, waliokuwa tayari kufa kwa ajili ya kutetea, haki za binadamu, demokrasia, katiba na n.k Lakini mmoja baada ya mwingine wakaanza kusaliti kambi ya mapambano...
17 Reactions
46 Replies
6K Views
Matukio mbalimbali katika Mkutano wa Ndani Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Ngurdoto Mkoani Arusha, tarehe 24 Novemba, 2023.
5 Reactions
41 Replies
6K Views
Akizungumza kwenye kipindi cha Meza ya Busara WAPO TV Askofu Ngonyani anasema imeandikwa kwenye Katiba ya Israel ni Marufuku Nguruwe kukanyaga Ardhi ya Nchi hiyo Ndio najiuliza mbona wala...
6 Reactions
26 Replies
3K Views
Ipo habari msisimko isiyofahamika na wengi kumhusu Aliyewahi kuwa W NJ ndugu Benard Membe aliyetangulia mbele za haki na ndugu Paul Makonda aliyepata kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam. Nyuma ya...
32 Reactions
99 Replies
16K Views
Masa 24 unalala kwenye sakafu. Dhamana za polisi ni ngumu kupata. Mahabusu wanacheleweshwa kupelekwa mahakamani kinyume na sheria. Sakafu ni baridi kanakwamba zimemwagiwa barafu. Waziri yupo...
7 Reactions
43 Replies
3K Views
Hivi ndivyo mkoloni alivyofanya,aliiba maliasili za Tanzania na kuzipeleka kwao Ulaya,sasa hivi Watanzania tunafanya wenyewe,tunaiibia Tanzania tunapeleka Ulaya,mambo kidigitally mzungu katulia tu...
3 Reactions
9 Replies
957 Views
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo imekipongeza Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) kwa kupanua wigo wa katika Mikoa mingine ikiwemo Kampasi za Mwanza na Mbeya...
0 Reactions
0 Replies
571 Views
Nasikitika mno kiwanda cha viwatilifu vya kuulia mbu hakifanyi kazi, licha ya kufunguliwa na kutolewa maelezo kwa mbwembwe na wanasiasa wa VYEO vya juu nchini. Juzi Kati katika bunge hili la...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…