Nimeota CCM wataongoza Tanzania hadi mwisho wa Dunia

Sep 20, 2023
26
38
Hii ndoto imenifikirisha sana yaani kumbe CCM haitatoka madarakani ! ukweli usemwe wanaosema itatoka itaanzaje?

CCM ,wanalijua hilo kuwa niwa milele ,ndio maana walipo anza mchakato wa Katiba walisituka haraka sana wakaharibu bunge la katiba kwa mkakati maalumu

Wapinzani wakajichanganya eti wakasusia mchakato ,wenyewe wakasema ukisusa wengine twala, jamani ikawa hadithi CCM bila kusituka mulikuwa mumejimaliza yaani fisi unamupa Nyama?

Wapinzani jueni hilo CCm haitoki ng'o

Nini wapinzani wafanye ni mjadala mrefu kwani bado wanajua wasicho kijua

Leo hii tena eti kuna tume huru ya uchaguzi !yaani Fisi aende jikoni aandae nyama jikoni awagawie waalikwa harusini wale washibe ,pia nyani agawe hizo nyama kwa waalikwa

Hivi ukweli hiyo nyama siwata ambulia mifupa mitupu ?

Ukweli katiba ndio suluhu vinginevyo hii hadithi ya haki au huru haipo

YA KALE YAMEKUWA MAPYA CCM OYEEEE
 
Ivi ukweli hiyo nyama siwata ambulia mifupa mitupu ?

Hiyo nayo ni muendelezo tu wa ndoto zako kama zile za kupaa Kukimbizwa na mnyama nk.. mambumbumbu mengi yapo kizazi hiki tu. Miaka ijayo Patachimbika weka hii na omba uzima
 
Hii ndoto imenifikirisha sana yaani kumbe CCM haitatoka madarakani ! ukweli usemwe wanaosema itatoka itaanzaje?

CCM ,wanalijua hilo kuwa niwa milele ,ndio maana walipo anza mchakato wa Katiba walisituka haraka sana wakaharibu

Sent from my itel S31 using JamiiForums mobile app
Utajuaje wakati wewe utakuwa Umekufa kabla ya Mwisho wa Dunia
Kweli Wajinga mpo wengi nchi hii sikujua Kama una Ujinga huo
 
Frelimo wakati inaanza harakati za kujikomboa ilipingwa na Wananchi wengi wa Msumbiji waliokuwa na mawazo kuwa Wareno haiwezekaniki kutoka (Mawazo mgando)

CCM hawatakubali kutoka kwa sanduku la Kura na wako tayari waliingize Taifa letu kwenye vita vya sisi kwa sisi lakini historia inaonyesha kuwa watatolewa kwa nguvu.

Fuatilia kwa makini Nchi ya Myanmar (BURMA)siku zijazo Wananchi wamechoka na baada yao CCM nao wajiandae.
 
kua mtulivu kua mngwana hivi ni nani wa kuito CCM madarakani humu nchini?

kweli, yaani chadema iing'oe CCM madarakani? Chadema ipi kwanza? ya kizalendo, ya kibaraka au ya Mbeya?
Hapo tu dilemma.

Au ni ACT ya Zanzibar?
CUF ya Mtwara au CHAUMA ya Adv Hashim Rungwe Sipunda?
 
Vikundi vyote vya Wanademokrasia wameungana huko Myanmar BURMA na wanaelekea Yangoon Rangoon Mjini ndivyo itakavyokuwa na hapa muda si mrefu.
 
Hii ndoto imenifikirisha sana yaani kumbe CCM haitatoka madarakani ! ukweli usemwe wanaosema itatoka itaanzaje?

Wapinzani jueni hilo CCm haitoki ng'o

Ukweli katiba ndio suluhu vinginevyo hii hadithi ya haki au huru haipo

YA KALE YAMEKUWA MAPYA CCM OYEEEE

Sent from my itel S31 using JamiiForums mobile app
Hii sio ndoto!, huu ndio ukweli wenyewe!.
Kama anayebisha abishe for the sake of kubisha lakini ukweli utabaki pale pale!.

Siku zote nasisitiza humu Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.
hivyo Wenye Matumaini na Upinzani Kushika Dola! Sahauni! CCM Inajiandaa Kuua Kabisa na Kuuzika Jumla hivyo kutawala milele!. Kinachofanya CCM itawale milele ni kwasababu CCM sio tu ni chama tawala, bali pia ni chama Dola!

P
 
Hii ndoto imenifikirisha sana yaani kumbe CCM haitatoka madarakani ! ukweli usemwe wanaosema itatoka itaanzaje?

CCM ,wanalijua hilo kuwa niwa milele ,ndio maana walipo anza mchakato wa Katiba walisituka haraka sana wakaharibu bunge la katiba kwa mkakati maalumu

Wapinzani wakajichanganya eti wakasusia mchakato ,wenyewe wakasema ukisusa wengine twala, jamani ikawa hadithi CCM bila kusituka mulikuwa mumejimaliza yaani fisi unamupa Nyama?

Wapinzani jueni hilo CCm haitoki ng'o

Nini wapinzani wafanye ni mjadala mrefu kwani bado wanajua wasicho kijua

Leo hii tena eti kuna tume huru ya uchaguzi !yaani Fisi aende jikoni aandae nyama jikoni awagawie waalikwa harusini wale washibe ,pia nyani agawe hizo nyama kwa waalikwa

Ivi ukweli hiyo nyama siwata ambulia mifupa mitupu ?

Ukweli katiba ndio suluhu vinginevyo hii hadithi ya haki au huru haipo

YA KALE YAMEKUWA MAPYA CCM OYEEEE

Sent from my itel S31 using JamiiForums mobile app
CCM watafukuzwa kama panya.
 
Back
Top Bottom