Nsanzagee
JF-Expert Member
- Jun 28, 2023
- 1,939
- 4,122
Je, ni mazoea na uzembe unaofanyika sector ya afya?
Kuna kitu kimeachwa? Ambacho kilisaidia huko nyuma kuokoa maisha ya mtoto na wajawazito?
Je, Ni mabadiriko ya hali ya hewa ambayo inahitaji uchunguzi wa haraka kubaini ni nini chanzo cha vifo hivi kwa sasa?
Mh waziri wa Afya, Embu tunaomba Watanzania mfanyie uchunguzi wa haraka kuhusu hali iliyopo sasa kwa vifo vya watoto na wajawazito!
Mungu ibariki TANZANIA na uwabariki viongozi wake