ATCL yatengeneza faida ya Bil 1.5

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,704
218,250
Bado haijahamika kama hii ni ALBAKI baada ya ile hasara ya Bil 170 kufidiwa .

Kama unabisha shauri yako .

Screenshot_2023-11-24-20-33-53-1.png

---
Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile amesema baada ya Kampuni ya Ndege ya Air Tanzania(ATCL) kupata hasara ya takribani Tsh. bilioni 170 na kufanya maboresho kadhaa ya usimamizi hatimaye kampuni hiyo imeanza kutengeneza faida ya Tsh. bilioni 1.5 na kuendelea.

“Ruzuku ilikuwa 100% kwenye uendeshaji ambapo Shirika lilikuwa linategemea ruzuku Serikalini kwa 100% leo wanajitegemea kwa 99.6%, madeni yalikuwa zaidi ya Tsh. bilioni 200 leo yamebaki 40%, hasara ilikuwa ni karibu Tsh. bilioni 170 leo tunaanza tengeneza faida ya Tsh. bilioni 1.5 na kuendelea”

Kihenzile amesema hayo Jijini Dar es salaam baada ya kufanya kikao na Menejimenti ya Air Tanzania inayoongozwa na Mkurugenzi Eng. Ladislaus Matindi na kupokea taarifa yao ambapo amewapongeza kwa usimamizi wa Shirika “Serikali chini ya Rais wetu Dkt. Samia Suluhu Hassan akisaidiwa na Makam wa Rais Dr. Mpango na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Naibu Waziri Mkuu Dkt. Dotto Biteko imefanya kazi kubwa sana”
 
Bado haijahamika kama hii ni ALBAKI baada ya ile hasara ya Bil 170 kufidiwa .

Kama unabisha shauri yako .

View attachment 2823625
---
Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile amesema baada ya Kampuni ya Ndege ya Air Tanzania(ATCL) kupata hasara ya takribani Tsh. bilioni 170 na kufanya maboresho kadhaa ya usimamizi hatimaye kampuni hiyo imeanza kutengeneza faida ya Tsh. bilioni 1.5 na kuendelea.

“Ruzuku ilikuwa 100% kwenye uendeshaji ambapo Shirika lilikuwa linategemea ruzuku Serikalini kwa 100% leo wanajitegemea kwa 99.6%, madeni yalikuwa zaidi ya Tsh. bilioni 200 leo yamebaki 40%, hasara ilikuwa ni karibu Tsh. bilioni 170 leo tunaanza tengeneza faida ya Tsh. bilioni 1.5 na kuendelea”

Kihenzile amesema hayo Jijini Dar es salaam baada ya kufanya kikao na Menejimenti ya Air Tanzania inayoongozwa na Mkurugenzi Eng. Ladislaus Matindi na kupokea taarifa yao ambapo amewapongeza kwa usimamizi wa Shirika “Serikali chini ya Rais wetu Dkt. Samia Suluhu Hassan akisaidiwa na Makam wa Rais Dr. Mpango na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Naibu Waziri Mkuu Dkt. Dotto Biteko imefanya kazi kubwa sana”
Ndege zaidi ya 12 faida billion 1.5 hata mabasi ya Abood yanawazidi ATCL!
 
Kulingana na utaalamu wako wa kuendesha mashirika makubwa kama KLM,Qatar Airways, Fly Emirates na mengineyo, faida ilitakiwa iweje" guru "wa biashara hizi?
 
Hata kama hiyo ni faida ya mwezi mmoja wapo wenye malori yao wanafuga zaidi ya hiyo kwa mwezi. Kwanza ni kichekesho hata kuthubutu kuwaambia watanzania hayo.

ATCL ilipaswa kulaza sio chini ya 150 billion kwa mwezi. Bado tunapata hasara na hatuambiwi ukweli lakini itajulikana tu.
 
Kwa maana hiyo wamezalisha ziada ya zaidi ya bilioni 170 ili ku break even then wameanza kupata faida na kilipa Kodi na gawio kwa muda mfupi huu

This is too god to be true!!

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
Hata kama hiyo ni faida ya mwezi mmoja wapo wenye malori yao wanafuga zaidi....

ATCL ilipaswa kulaza sio chini ya 150 billion kwa mwezi. Bado tunapata hasara na hatuambiwi ukweli lakini itajulikana tu.

Mtaalamu wa mambo ya anga achana na malori au nayo huwa yanaruka angani, nahitaji uchambuzi wako katika anga maana umebobea huko.

Hebu hiyo 150 billion unaweza kutupatia breakdown yake kwa 12 planes inavyoweza kutengenezwa.

Natanguliza shukrani Mkuu.
 
Back
Top Bottom