Hapa najifanya msemaji wa Chama kwa kuwa nakipenda Chama changu, nakiamini na sina mpango wowote wa kukiacha, tunapoelekea miaka mingine mitano ya Samia, wapinzani wa ndani ya chama, mafisadi...
Na Elius Ndabila
0768239284
Habari wanajamii forumu. Ni muda sijaandika hapa Zaidi ya kusoma. Nilikuwa msomaji kidogo , kwa hiyo mkiona kuna makosa kwenye andiko basi mjue ni uzee.
Waziri Mkuu...
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema kuwa Tanzania inakwenda kuwa kitovu cha Tiba Utalii kwa kutoa huduma za Afya kwa wagonjwa maalumu wa ndani na nje ya nje.
Waziri Ummy amesema hayo leo...
ALIYEKUWA Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela, mkoani Mwanza, John Wanga na baadhi ya watumishi wa halmashauri hiyo wanadaiwa kukiuka taratibu za fedha, kufanya ubadhirifu na...
=======
Mkuu wa Mkoa wa Njombe Anthony Mtaka amemuelekeza Katibu Tawala wa Mkoa huo kuwasimamisha kazi baadhi ya Watumishi katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Njombe akiwemo Katibu wa Afya, Watu...
Ni aibu kwamba nchi ambayo tuliaminishwa kwamba watu fulani ni wezi ni watendaji wabovu sasa wanarudishwa kwenye nafasi zao, utadhani hakuna kilichofanyika.
Yawezekana kweli walionewa, lakini...
DANIEL CHONGOLO APENDEKEZWA KUWA KATIBU MKUU CCM
Mwenyekiti wa CCM Taifa, Samia Suluhu Hassan amempendekeza Ndg. Daniel Chongolo kuwa Katibu Mkuu wa Chama hicho.
Chama kimempitisha kwa kauli...
Kwa kuanza tuu napenda niwafahamishe kuwa namfahamu BINAFSI huyu NEHEMIA hivyo sina kinyongo wala matatizo naye if anything nilimfahamisha what to expect alipopewa taarifa ya uteuzi huu miez...
Nimeona wengi wakizungumza na nimeona pia magazeti yakiandika na hata Leo gazeti la mwananchi limeandika.
Mali za chama ni kaburi lako ndani ya CCM, achana kabisa na kufatilia wala kutaka kujua...
Timu ya Taifa ya Netiboli imeshindwa kwenda Botswana na kujitoa kwenye mashindano ya ubingwa wa Afrika Kwa.kukosa Milioni 70.licha ya kulipa ada ya Ushiriki zaidi ya Shilingi mil.4.
Hii ni aibu...
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini amemaliza ziara yake ya kikazi kutembelea na kukagua miradi mbalimbali inayotekelezwa na Vyombo vilivyopo chini ya Wizara ya Mambo ya Ndani...
29 Julai 2023
Dar es Salaam, Tanzania
MKUTANO WA KATIBU MKUU WA CCM, KUUTETEA KWA NGUVU MKATABA WA BANDARI
CCM yaanda mkutano uliowakusanya wana CCM kutoka mikoa ya Morogoro, Pwani na Dar es...
PONGEZI 12 KWA MHE. RAIS SAMIA
Na Amon Nguma .
Salamu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - KAZI IENDELEE .
Ni ukweli usiopingika kuwa Salamu hii imebeba maana na uhalisia wa kazi Iendelee...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Naibu Waziri wa Wizara ya Katiba na Sheria, Mhe. Pauline Philipo Gekul.
Pia, soma: Rais Samia Suluhu Hassan...
Kupatikana kwa katiba mpya kuna tafsiri ya uchaguzi huru na wa haki.
Uchaguzi huru na wa haki una maana ya kuanguka kwa CCM
Kunguka kwa CCM kuna tafsiri ya kupoteza udhibiti wa dola, vyombo vya...
Ameandika Rais Samia Suluhu kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii.
"Nawapa pole wafiwa waliopoteza ndugu, jamaa na marafiki katika ajali ya basi iliyotokea eneo la Mtama mkoani Lindi na...
Unawezaje kuitenganisha CCM na ukatili dhidi ya watanzania!!??
Ni ukatili wa aina gani ambao bado haujawahi kufanywa na CCM dhidi ya watanzania?
Mnaotaka CCM wawe watu wema MNAJISUMBUA BURE!
Mbunge wa Babati Mjini ambaye pia ni Mwenyekiti wa BAWACHA Mkoa wa Manyara na Mwenyekiti wa Umoja wa Wabunge Kanda ya Kaskazini Pauline Gekul amejivua uanachama wa Chadema, na kujiuzulu nafasi...
Kila nikaukumbuka namna CHADEMA na Mzee Lowassa walivyohangaika kuwatafutia kura Wagombea wao 2015 halafu Baada ya kushinda baadhi ya wabunge wakasaliti Chama, nasikitika sana.
Safari ya Gekul...
Salaam, Shalom,
Mmoja kati ya wazee wazalendo waliobaki nchini, Mzee Joseph Butiku, ameendelea kuwaasa wanasiasa wote Wanaopuuza umuhimu wa KATIBA mpya kuacha ubinafsi na kuthamini UTU...