Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 269,634
- 697,928
Kupatikana kwa katiba mpya kuna tafsiri ya uchaguzi huru na wa haki.
Uchaguzi huru na wa haki una maana ya kuanguka kwa CCM
Kunguka kwa CCM kuna tafsiri ya kupoteza udhibiti wa dola, vyombo vya usalama, mahakama nk.
Kupoteza udhibiti wa vyombo usalama , mahakama nk kuna tafsiri ya kukamatwa kwa viongozi wa CCM, kushtakiwa mahakamani, kufungwa na hata kufilisiwa mali zao ndugu na jamaa zao.
Yakitokea hayo ni tafsiri moja ya kutisha sana.. Kuanguka kwa ccm na vibaraka wake, marafiki wake na wapiga michongo wote wakubwa kwa wadogo walio ndani na walio nne ya nchi.
Kuanguka kwa CCM si kwamba itakuwa ni aibu na fedheha kwa chama chenyewe viongozi na wapambe wao bali ni pigo kwa wote waliotajirika kupitia CCM.
Je ni nani atakubali kujichinja mwenyewe?
CCM haiko tayari kwa hilo.. Kwahiyo katiba mpya kupatikana kwa njia ya amani hilo tusahau