Gekul aliukataa Ubunge halali alioupata 2015 na kuunga mkono juhudi, sasa ndio atajua CCM ina wenyewe!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,004
142,033
Kila nikaukumbuka namna CHADEMA na Mzee Lowassa walivyohangaika kuwatafutia kura Wagombea wao 2015 halafu Baada ya kushinda baadhi ya wabunge wakasaliti Chama, nasikitika sana.

Safari ya Gekul, Waitara na Dkt. Mollel siasani waliinajisi wao wenyewe kwa kuukana ushindi wa halali na kukubali Ubunge wa Janjajanja.

Watatu hawa hawakufanya uhuni bali walitenda dhambi ya kuwafolenisha Wapiga kura na kisha kuwakana Baada ya kuwa Wameshachaguliwa.
 
Kila nikaukumbuka namna Chadema na Mzee Lowasa walivyohangaika kuwatafutia kura Wagombea wao 2015 halafu Baada ya kushinda Baadhi ya wabunge wakasaliti Chama, nasikitika sana

Safari ya Gekul, Waitara na Dr Mollel siasani waliinajisi wao wenyewe kwa kuukana ushindi wa halali na kukubali Ubunge wa Janjajanja

Watatu hawa hawakufanya uhuni bali walitenda dhambi ya kuwafolenisha Wapiga kura na kisha kuwakana Baada ya kuwa Wameshachaguliwa
Mzee Mgaya katika moja na mbili
 
Kila nikaukumbuka namna CHADEMA na Mzee Lowassa walivyohangaika kuwatafutia kura Wagombea wao 2015 halafu Baada ya kushinda Baadhi ya wabunge wakasaliti Chama, nasikitika sana.

Safari ya Gekul, Waitara na Dr Mollel siasani waliinajisi wao wenyewe kwa kuukana ushindi wa halali na kukubali Ubunge wa Janjajanja.

Watatu hawa hawakufanya uhuni bali walitenda dhambi ya kuwafolenisha Wapiga kura na kisha kuwakana Baada ya kuwa Wameshachaguliwa.
Kuna wakati mzee mgaya ukitulia huwa unaandika facts.
 
Kila nikaukumbuka namna CHADEMA na Mzee Lowassa walivyohangaika kuwatafutia kura Wagombea wao 2015 halafu Baada ya kushinda Baadhi ya wabunge wakasaliti Chama, nasikitika sana.

Safari ya Gekul, Waitara na Dr Mollel siasani waliinajisi wao wenyewe kwa kuukana ushindi wa halali na kukubali Ubunge wa Janjajanja.

Watatu hawa hawakufanya uhuni bali walitenda dhambi ya kuwafolenisha Wapiga kura na kisha kuwakana Baada ya kuwa Wameshachaguliwa.
Mbona ajenda yako ni CHADEMA tu?!
Vipi kuhusu vyama vingine kama ACT, CUF, UDP, TLP n.k??
 
Kila nikaukumbuka namna CHADEMA na Mzee Lowassa walivyohangaika kuwatafutia kura Wagombea wao 2015 halafu Baada ya kushinda Baadhi ya wabunge wakasaliti Chama, nasikitika sana.

Safari ya Gekul, Waitara na Dr Mollel siasani waliinajisi wao wenyewe kwa kuukana ushindi wa halali na kukubali Ubunge wa Janjajanja.

Watatu hawa hawakufanya uhuni bali walitenda dhambi ya kuwafolenisha Wapiga kura na kisha kuwakana Baada ya kuwa Wameshachaguliwa.
Kwa hiyo ina maana ukiwa mwenyewe ndio huwajibishwi? Au point hapa ni kwamba wana CCM hawafai kumwajibisha aliyejiunga nao hata kama katenda kosa?
 
Wote Waliounga Juhudi Za Jiwe Kwa Kipande Cha Dinari Sasa Wanatakiwa Wajiandae
Wamekuwa Magarasa Ya Karata Hawana Namna
 
Kila nikaukumbuka namna CHADEMA na Mzee Lowassa walivyohangaika kuwatafutia kura Wagombea wao 2015 halafu Baada ya kushinda Baadhi ya wabunge wakasaliti Chama, nasikitika sana.

Safari ya Gekul, Waitara na Dr Mollel siasani waliinajisi wao wenyewe kwa kuukana ushindi wa halali na kukubali Ubunge wa Janjajanja.

Watatu hawa hawakufanya uhuni bali walitenda dhambi ya kuwafolenisha Wapiga kura na kisha kuwakana Baada ya kuwa Wameshachaguliwa.
binafsi namuona kama mwanasiasa anaejipika mwenyewe kwenye tanuru la moto. Ni kama vile hana wa kumtetea. Bado ni kijana mno, baadae, she might be among very powerful and relevant woman in politics of this country
 
Yani walifanya ujinga mkubwa sana. Kuna yule Nassari wa Arumeru. CHADEMA kimempigania miaka yote kashinda ubunge mara mbili. Halafu anatorokea marekani ili afukuzwe ubunge ahamie CCM . Na mwisho kaambulia ukuu wa wilaya, na alipopata ukuu wa wilaya ya Bunda kazi ya kwanza ilikuwa kushusha bendera za CHADEMA.
 
Atakuwa powerful kwa lipi?. Shida ya watanzania uchama utatuua sana, ndio maana tumerudi uchumi wa Chini. Kila mtu anajifanya hajali. Ok
 
nadhani ujinga ni kutokujua siasa au kujua siasa kwa kukariri
 
Atakuwa powerful kwa lipi?. Shida ya watanzania uchama utatuua sana, ndio maana tumerudi uchumi wa Chini. Kila mtu anajifanya hajali. Ok
kwan mie nimezungumzia nn hata useme atakua powerful kwa lipi...

kuna mahali nimesema habari ya chama?
nadhani wewe ndie ulie athirika na masuala ya vyama nafsini mwako...
 
Back
Top Bottom