HiVi Zitto kabwe huu aliofanya si zaidi ya uzalilishaji na ukandamizaji wa haki za binadamu!
Hivi si dalili za Zitto kama kiongozi kuchanganyikiwa?
---
Kiongozi wa kikundi cha Mapigo Tisa cha...
Makamu wa raisi wa JMT Dk nani sijui yule (nimemsahau jina), yule mzee wa kizanzibar, yuko wapi? mzima wa afya? Mi nilidhani kwa kusafiri raisi yeye ndiye angeachiwa mikoba, lakini naona Pinda...
Siku chache kabla ya uchaguzi mkuu wa 2015 Dr Wilbroad Slaa wakati huo akiwa GS wa CHADEMA na akiwa mchezaji tegemeo ktk safu ya ushambuliaji aliwatosa wenzake dakika chache kabla ya mchezo...
10 October 2023
Kampala, Uganda
OPERESHENI KIMBUNGA YA TANZANIA YAFIKISHWA MAHAKAMA YA AFRIKA MASHARIKI
Operesheni Kimbunga yasababisha serikali za Tanzania na Uganda, kushitakiwa mahakamani...
Mkuu wa Wilaya ya Chamwino, Gifty Msuya amejeruhiwa baada ya gari alilokuwa amepanda kugonga treni eneo la Iyumbu Jijini Dodoma walipokuwa wakitoka kwenye sherehe.
Sherehe hiyo iliyofanyika juzi...
"Watu wangu wana angamia kwa kukosa maarifa na kwa kuwa umeyakataa maarifa na mimi nimekukataa."
Hili ndio neno lakutiongoza kama Taifa kuelekea mwaka 2023. Nikwanini Mungu analiambia Taifa juu...
Tahadhari mvua kubwa mikoa saba nchini
Dar es Salaam. Baadhi ya maeneo katika mikoa ya Songwe, Mbeya, Iringa, Njombe, Ruvuma, Morogoro na Mtwara yanatarajia kupata mvua juu ya kiwango kwa siku...
Baada ya kukosa thread nzuri ya kusoma,nimeamua kuandika thread yangu.
Kwa hiyo Katibu Mkuu mpya ameshachaguliwa au bado mtutano unaendelea?
Nampongeza Rais Samia kwa jinsi alivyoweza kuleta...
SUPHIAN STAR TV LEO 3:30 USIKU NA CHIFU ODEMBA
Leo Jumamosi saa 3:30 usiku nitakuwa LIVE Star TV studio za Dar es Salaam Kipindi cha Medani za Siasa na Mtangazaji wa Kimataifa Chief Odemba...
Juma Raibu, aliyekuwa meya manispaa ya Moshi amesema Siku zote ukisimamia ukweli na haki huwezi baki salama, Amesema amejitahidi kadri ya uwezo wake.
Amesema Viongozi wa CCM wilaya na mkoa...
Mbunge wa jimbo la Ulanga mkoani Morogoro Salim Alaudin Hasham amesema atahakikisha anapambana kutatua changamoto ya vifaa vya mashuleni ili kuinua kiwango cha ufaulu wilayani humo.
Mbunge Salim...
Kama mtu ninayeheshimu ile dhana ya kutokuwa na hatia mpaka sheria ithibitishe hivyo, ( pressumption of Innocence ), sitaki Moja kwa Moja kumhukumu paulin Gekul aliyekuwa naibu waziri wa Katiba na...
Ishu sio CCM. Ishu je ni CCM gani?
Je ni CCM ambayo inakumbatia wazembe na wapigaji?
Je ni CCM ambayo mama mjane akidhurumiwa shamba au ardhi haimsikilizi?
Au ni CCM ambayo kukitokea mgao wa...
Hakika inasikitisha na kushangaza sana hii ROHO ya KISHETANI ya baadhi ya Wanaccm wenye UCHU wa Madaraka kuandaa mpango haramu wa Kumdhalilisha KADA KIONGOZI na Mwanachama mwenzao Chongolo...
Habari wanaJF.
Kwa wafuatiliaji wa mambo nchini,matukio ya wizi wa mabilioni ya pesa nchini sio jambo la ajabu.Tunasema ni wizi kwa sababu mazingira yenyewe yamejaa ukakasi na hata Serikali...
Habari za wakati huu;
Kwanza niseme nimesikitishwa sana na kitendo cha Polisi wa Mabatini kutumia Excessive Force na kuua Raia asiyekuwa na hatia katika kijiwe pendwa cha the Boardroom pale Sinza...
Kupitia X (zamani Twitter), Anaandika Hamisi Kigwangalla, Mbunge wa Nzega Vijijini
Hivi baada ya a very carefully planned and executed mission ya kumuangusha Mhe. Gekul na Ndg. Chongolo, unaweza...
Majuzi nilikuwa kijijini kwetu!
Lengo kuu la safari yangu lilikuwa kuwasalimia ndugu na jamaaa, maana ni miaka mingi sana imepita toka nikanyage bush kwetu.Lakini nilipofika killage yalizuka...
Nawasalimu wanabodi. Hili andiko ameandika Mwandishi Bollen Ngetti katika ukurasa wake wa Facebook. Nami nalisukuma kwenu nzima nzima bila ku-edit.
______________________
KULILIA LEGACY YA...