Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

KINANA:NI MUHIMU KWA VIONGOZI WALIOCHAGULIWA NA KUTEULIWA KUWASIKILIZA MABALOZI WETU WA NYUMBA KUMIKUMI. === Asema mabalozi ndio wanaojua kero na faraja za wananchi nchini Makamu Mwenyekiti Wa...
13 Reactions
45 Replies
4K Views
Ndugu zangu Watanzania, Habari njema ni kuwa shirika la ujasusi la Marekani CIA(central intelligence Agency) pamoja na habari zingine kupitia mtandao wake wa INSTAGRAM limeweka picha na muonekano...
11 Reactions
162 Replies
8K Views
Nimeambiwa Ujumbe wetu huko Climate change Dubai ni Watu 700+ Ndio nauliza Chama Kikuu cha Upinzani kimetuwakilisha huko? Ahsanteni 😀
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Huwezi kuwa na chama tawala ambacho hakiwezi kuwajali wananchi waliokiweka madarakani. Kero zao, shida zao lazima zisikilizwe kana kwamba wanawaamrisha waliowaweka madarakani Makonda yupo sahihi...
5 Reactions
61 Replies
3K Views
Serikali imesema karibu nusu ya ujumbe wa Tanzania ulioshiriki Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP28), umegharamiwa na sekta binafsi. Ufafanuzi huo, umekuja baada ya juzi...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
DC Kyobya Dunstan wa Kilombero ameyasema hayo wakati wa uzinduzi wa Kituo hicho kipya na kuwasha umeme Ifakara. Kituo hicho kilichogharimu Bilioni 25 ni maalumu Kwa Ajili ya kuleta umeme mkubwa...
1 Reactions
4 Replies
608 Views
ANAYEKUTAWALA AMEKUZIDI AKILI Anaandika, Robert Heriel. Mtibeli. Ukiona mtu amekuzidi na kukutawala kisiasa, kiuchumi, kijamii au kiteknolojia basi fahamu kabisa mtu au jamii hiyo imekuzidi...
27 Reactions
139 Replies
6K Views
Kuna mambo huwa yanafanywa na baadhi ya viongozi wetu, mpaka unajiuliza tunaongozwa na watu wa namna gani! Maana ni kama hata kwenye kile kiwango cha akili ya kawaida, hawamo. Nchi zetu hizi...
3 Reactions
31 Replies
2K Views
Wananchi wanateseka hasa akina Mama machinga kama wauza barafu, saluni, vinywaji baridi nk. Tuliaminishwa kuwa tatizo la umeme litapungua sana katika muda wa wiki mbili lakini haya yamekuwa ni...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Kama Mtanzania mpenda Viongozi wangu na Utendaji wao mzuri naomba Kujulishwa yuko wapi Makamu wangu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania? Nikimwona Uwanja wa Uhuru Keshokutwa (Alhamisi)...
22 Reactions
218 Replies
31K Views
Nastaajabu kuona chama cha CHADEMA ambacho kinajinasibu kuja kushika dola kinashindwa kuipa shinikizo ENDELEVU serikali ya CCM ifanye uchunguzi kujua ni kitu gani kilimsibu kada wao Ben Saanane...
3 Reactions
42 Replies
3K Views
Tanesco imetoa tangazo la kuanza zoezi la kuunganisha Bwawa la Nyerere na Grid ya taifa kazi itakayofanyika hadi tarehe 10 mwezi huu ili kuwezesha majaribio ya mitambo ya umeme...Zoezi limewahi...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Hakika mama anaupiga mwingi, yaani hakuna idara au taasisi ya umma imekosa vitendea kazi kuanzia majengo mazuri, furnitures hadi magari na pikipiki. Mama amenunua magari na pikipiki kwa taasisi...
4 Reactions
31 Replies
2K Views
Wananzengo, siasa za upinzani nchini huwa zinaendeshwa na matukio zaidi, lakini kwa sasa hali ni mbaya zaidi. Ni kama vile upinzani wote uko mikononi mwa Tundu Lissu. Mh. Lissu amechukua likizo...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Makamu mwenyekiti wa CCM Komredi Kinana leo amefungua Seminar ya mafunzo kwa Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM. Komredi Kinana amewataka Wajumbe hai Kuwa Wabunifu na Wazalendo wa kweli ili...
2 Reactions
103 Replies
6K Views
Kuna wimbo wa bongo fleva nimeusikia Eti Mwimbaji anasema Viongozi wetu wa Kisiasa mfano Chadema wakipewa Kuongoza Serikali ya Marekani Baada ya miaka 5 Nchi hiyo itakuwa imefirisika Ndio nauliza...
1 Reactions
6 Replies
664 Views
Mapokezi ya Mh. comrade Paul Makonda yameibua mijadala mbalimbali hapa Bongo. Huku wengine Wakimponda na wengine kumsifia. Binafsi naungana na Makonda hasa kwenye Kauli yake ya kwamba Tanzania...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Naibu Waziri Ridhiwani Kikwete amemshukuru hayati Mkapa kwa kumlipia Ada UDOM kwa masomo ya Masters ambapo ametunukiwa Shahada hiyo jana na mh Mizengo Pinda Ridhiwani Kikwete amesema Mkapa ndiye...
19 Reactions
111 Replies
9K Views
Ipo dhana kwamba kwa sababu Rais wa JMT ni Mwanachama wa Chama cha Siasa basi Chama chake kilichompitisha ndio kina Nguvu ya mwisho Hii siyo kweli, Chama kinakuwa na Nguvu kabla Rais hajaapishwa...
1 Reactions
22 Replies
943 Views
Askofu Ngonyani amesema Israel imejiwekea Kanuni kwamba thamani ya Myahudi 1 ni Sawa na Wapalestina 10 Kanuni Hii ndio inayosababisha Wapalestina Wengi wauwawe vitani ambapo sasa ratio imefikia...
0 Reactions
2 Replies
406 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…