LUS0MYA
JF-Expert Member
- Aug 4, 2011
- 866
- 1,110
Tanesco imetoa tangazo la kuanza zoezi la kuunganisha Bwawa la Nyerere na Grid ya taifa kazi itakayofanyika hadi tarehe 10 mwezi huu ili kuwezesha majaribio ya mitambo ya umeme...Zoezi limewahi kabla ya muda wake kutokana na kuongezeka kwa kasi ya utendaji wa hivi karibuni...hongera Naibu waziri mkuu Na waziri wa Nishati Doto Biteko