johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,978
- 141,995
Ghafla pameibuka mijadala ya CV za Viongozi na namna walivyopata Vyeti vyao vya Elimu mfano Joshua Nassary n.k
Niseme tu huu Mjadala hauna Tija yoyote kwa sababu Viongozi wote wa Upinzani CV zao ni za kuungaunga lakini bado Wanafanya vizuri kwenye ustawishaji wa Taifa hili.
Angalia kwa mfano Tundu Lisu na Zitto Kabwe hawa Serikali iliwasomesha Vipaji maalumu lakini bado wanatangatanga tu hawana PhD ila Mchango wao kwenye Ujenzi wa Taifa kisiasa ni mkubwa tu.
Waangalie Mbowe au Augustine Mrema rip walisoma shule za kawaida sana na waliishia kwenye Diploma tu lakini Mchango wao kwenye Ujenzi wa Taifa ni mkubwa MNO.
Tuachane na haya maCV bhana, hasa wewe Boniyai 😂
Mungu wa Mbinguni awabariki