Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

SERIKALI KUJENGA VITUO VYA AFYA KATA YA KIA, MUUNGANO, MNADANI, UROKI NA WERUWERU KATIKA HALMASHAURI YA HAI Serikali kupitia ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa imedhamiria kujenga...
0 Reactions
2 Replies
914 Views
Kuna mengi mnaweza msingizia Rais nikanyamaza. Nikasemehe. Lakini hili la kusema ana maono.... Hapana hapa mnamkosea sana. Mlisema haijengi nchi, nchi haina uelekeo nikanyamaza. Nikasema anyway...
40 Reactions
101 Replies
7K Views
Waziri wa ardhi anajinasibu kuwa amekataa rushwa ya milion 300 ambayo alikuwa aongwe na mmiliki wa kituo Cha mafuta Cha barrel Sasa unajiuliza tangu lini CCM viongozi wake wakawa wahadilifu lini...
2 Reactions
12 Replies
918 Views
Taarifa za Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi Zasaidia Zoezi la Uhakiki wa Waathirika wa Maafa Hanang SERIKALI imetumia taarifa za matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi iliyofanyika mwaka 2022...
0 Reactions
0 Replies
613 Views
Waziri Mhagama Ashiriki Msiba wa Aliyekuwa Diwani Mbinga Mhalule Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, anayeshughulika Sera, Bunge na Uratibu (Mb.) Peramiho Mhe. Jenista Mhagama ameshiriki katika...
0 Reactions
0 Replies
471 Views
Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM komredi Paul Makonda yupo kwenye mkutano na waandishi wa habari. Maswali yote hata yanaonekana kumchokozana kumpanikisha lakini anajibu kwa utilivu kabisa na...
8 Reactions
129 Replies
8K Views
MUSOMA VIIJIJINI WAENDELEA KUJENGA MAABARA ZA MASOMO YA SAYANSI KWENYE SEKONDARI ZAKE ZA KATA Kwenye miradi ya ujenzi wa maabara tatu za masomo ya sayansi (fizikia, kemia na bailojia) kwenye...
0 Reactions
2 Replies
552 Views
Jana usiku kulikuwa na mjadala iliyorushwa na kipindi cha ITV kilichohusu Muswada unaohusu Uchaguzi wa Madiwani, Wabunge na Rais. Mjadala huu uliwahusisha Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika...
0 Reactions
3 Replies
529 Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, sijawahi kusikia makamu mwenyekiti ccm mwanamke, pia Katibu mkuu ccm mwananmke. Tumeona makamu wa rais mwanamke na akawa rais ki bahati bahati tu. Hizo...
6 Reactions
38 Replies
2K Views
Nilitarajia CCM Chama KIZEE AFRIKA kiwe mfano wa Kuigwa na Vyama vingine KUILINDA KATIBA ya NCHI. Kitendo cha CCM kuwaingiza kwenye SIASA hawa WATOTO Maarufu Kama CHIPUKIZI huku wakiwa na Umri...
1 Reactions
6 Replies
733 Views
Tunakumbushana tu hapa duniani mambo yamebadilika Sana Usimdharau yoyote kwa chochote Dunia ya Propaganda inaelekea ukingoni Wenye Masikio na Wasikie I wish you a Merry Christmas 😀
4 Reactions
9 Replies
813 Views
Sisi watu wa ajira mpya kada mbalimbali tofauti na Elimu na Afya katika Halmashauri ya Wilaya ya Ngara Mkoani Kagera hatujalipwa fedha za kujikimu. Mfano Kada ya Maliasili na Mazingira...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nilikuwa Congo DRC kwa siku kadhaa na nilishuhudia baadhi ya kampeni katika baadhi ya maeneo ambako nilipita. Wakongo na shida zao zote na umasikini wao wote ule hawakuwa wanahongwa Tshirt, Kofia...
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Hapa Jf tunafahamiana kiitikadi na hadi sasa wanaopinga Waziri Silaa hajapokea mgao wa Rushwa wa milioni 300 ni Wanaccm wenzake Kwanini? I wish you a Merry Christmas 😀
6 Reactions
40 Replies
2K Views
Katibu mkuu wa Chadema mh John Mnyika amesema anashangaa CCM kuendeleza mambo ya Chipukizi kwa sababu yalishafutwa Kisheria mwaka 2019 pamoja na vikosi Vya Ulinzi Vya chama Mnyika amesema...
16 Reactions
63 Replies
6K Views
Tanzania Ports Authority (TPA) na Zanzibar Ports Authority (ZPA) na hili mkalitazame, tangu mgogogoro wa Bab el Mandeb uanze na meli kuzunguka bara la la Afrika kwenda Ulaya (Mediterranean) na...
1 Reactions
1 Replies
409 Views
Baadaa ya waziri slaa kukata Bomba la pesa la wenyeviti wa mitaa na vijiji nchi Zima Sasa mashambulizi makali yanaelekezwa kwake kuelekea uchaguzi wa serkali za mitaa na ule mkuu . Sasa...
2 Reactions
1 Replies
388 Views
Amesikika Katibu mkuu UWT Ndugu Jokate Mwegelo akimuombea kura ya Urais mmoja wa "wanaosemekana" kutaka kugombea Urais 2025, kada huyo amesema hayo akiwa Mbinga Ruvuma, ingawa haijathibitika...
5 Reactions
56 Replies
4K Views
Chipukizi wa miaka Saba anaahidi kumsaidia raisi katika shughuli zake za kusukuma gurudumu la maendeleo ya nchi
9 Reactions
32 Replies
1K Views
Chadema imeyaagiza Matawi yake yote Nchini Kufanya mikutano mikuu Kati ya tarehe 27/12/2023 hadi 03/01/2024 Mnyika amesema ajenda ya mikutano hiyo Kujadili Miswada ya Sheria za Uchaguzi...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…