Kumekucha: Baada ya Chipukizi ( CCM) na ChemChem (Chadema), ACT wazalendo yaja na Mabinti Wazalendo!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,000
142,028
Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ado Shaibu amezindua program ya Binti Mzalendo iliyoandaliwa na Ngome ya Vijana ya chama. Program hiyo itawatambua na kuwahamasisha Mabinti Wazalendo Ili kuwaandaa Mabinti kuwa viongozi wa Kesho taifani

Source: Mwanahalisi Online

I wish you a Merry Christmas 😀
 
Huyu mama kweli ni robot, yaani kawaachia wahuni wasioheshimu katiba kuongoza nchi yeye amebaki kuzurula uarabuni!

Bure kabisa!
 
Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ado Shaibu amezindua program ya Binti Mzalendo iliyoandaliwa na Ngome ya Vijana ya chama. Program hiyo itawatambua na kuwahamasisha Mabinti Wazalendo Ili kuwaandaa Mabinti kuwa viongozi wa Kesho taifani

Source: Mwanahalisi Online

I wish you a Merry Christmas 😀
Mambo ya Gaddafi (RIP) haya.
 
siwezi kuwachukulia ccm na zaidi wapinzani serious hata siku moja.

Moja kati ya vitu nnavyomlaumu namba 5 ni cha kutuletea Maoism hapa Tz.
taasisi zote zinatuambia live kwa matendo yao kuwa ukitaka kutoboa nenda kwenye siasa. na tutakipata tunachokivuna. Expect wadanganyika hasa hasa waccm kuanza kulogana na kufanyiana ubaya kisa nafasi cha chipukizi kwa watoto wao miaka inayokuja.
 
Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ado Shaibu amezindua program ya Binti Mzalendo iliyoandaliwa na Ngome ya Vijana ya chama. Program hiyo itawatambua na kuwahamasisha Mabinti Wazalendo Ili kuwaandaa Mabinti kuwa viongozi wa Kesho taifani

Source: Mwanahalisi Online

I wish you a Merry Christmas 😀
Hatari kubwa wasije ingiza watoto porini kama joseph kony!
 
Back
Top Bottom