Huyu waziri aliyekataa rushwa ya milion 300 mbona hazitaji alizopokea

dr namugari

JF-Expert Member
Nov 19, 2022
9,410
15,995
Waziri wa ardhi anajinasibu kuwa amekataa rushwa ya milion 300 ambayo alikuwa aongwe na mmiliki wa kituo Cha mafuta Cha barrel

Sasa unajiuliza tangu lini CCM viongozi wake wakawa wahadilifu lini wamekuwa wahadilifu ?

HV katk wizara zinazo ongoza kwa rushwa na utapeli si wizara ya ardhi leo anajinasibu na kujipendekeza na Kisha kuchafua watu kuwa wanamuhonga mbna huyu waziri Ni mpumbafu Sana ,,

Nae anajiona msomi wa degree nne kumbe hakun kitu mle amekariri masoma kwa kuhonga wahadhiri ili afaulu .

Katik mawazir ovyo silaa Ni namba Moja Hakuna waziri pale kitendo Cha kumchafua mmiliki wa sheli na kujipendekeza ili upendwe Ni ujinga huo

Hyo wizara itakushinda na utafurunda usipo kuwa na akili timamu Kwanza uteuzi wako ulikosew Sana ulipazwa upewe unaibu waziri kamili hapana kwa kweli

Kama unasema uliongwa ukakataa tutajie zile ulizozipokea Tena mchana kweupe

Leo Tena umetoa boko unataka wamiliki wa kampuni za upimaji wawe na ofc katk majengo ya wizara ardhi HV akili zako Ni sahih Kweli
 
Vituo vilivyojengwa kwenye makazi ya watu ni vingi Sana kwanini kila siku wanapambana na hiki hiki Tu na hili nalo liangaliwe
Majirani hawakitaki

Chokochoko imeanzia kwa majirani

Majirani pale siyo kama wa tandale na kwengineko

Ova
 
Siku vituo viianza kulipuka huko kwenye makazi ya watu ndio akili zitaanza kuwaingi watu... matenki ya mafuta huwa yakilipuka madhara yake yasikie tu Redioni hata kwenye tv usiyaone..
Slaa yuko sahihi, vituo vihame toka makazi ya watu
 
Waziri wa ardhi anajinasibu kuwa amekataa rushwa ya milion 300 ambayo alikuwa aongwe na mmiliki wa kituo Cha mafuta Cha barrel

Sasa unajiuliza tangu lini CCM viongozi wake wakawa wahadilifu lini wamekuwa wahadilifu ?

HV katk wizara zinazo ongoza kwa rushwa na utapeli si wizara ya ardhi leo anajinasibu na kujipendekeza na Kisha kuchafua watu kuwa wanamuhonga mbna huyu waziri Ni mpumbafu Sana ,,

Nae anajiona msomi wa degree nne kumbe hakun kitu mle amekariri masoma kwa kuhonga wahadhiri ili afaulu .

Katik mawazir ovyo silaa Ni namba Moja Hakuna waziri pale kitendo Cha kumchafua mmiliki wa sheli na kujipendekeza ili upendwe Ni ujinga huo

Hyo wizara itakushinda na utafurunda usipo kuwa na akili timamu Kwanza uteuzi wako ulikosew Sana ulipazwa upewe unaibu waziri kamili hapana kwa kweli

Kama unasema uliongwa ukakataa tutajie zile ulizozipokea Tena mchana kweupe

Leo Tena umetoa boko unataka wamiliki wa kampuni za upimaji wawe na ofc katk majengo ya wizara ardhi HV akili zako Ni sahih Kweli
Muongo huyo,
Aanze tu kukataa.
Ningemuelewa kama angesema amelifikisha takukuru labda na mtuhumiwa amechukuliwa hatua gani.
 
Kwa hapa Dar ni eneo gani ambalo sio makazi ya watu ungeshauri vituo vihamie huko?
 
Kazi za hawa viongozi wetu ngumu sana hasa kwenye kutoa maamuzi ni tofauti na wenzetu wazungu.
 
Waziri wa ardhi anajinasibu kuwa amekataa rushwa ya milion 300 ambayo alikuwa aongwe na mmiliki wa kituo Cha mafuta Cha barrel

Sasa unajiuliza tangu lini CCM viongozi wake wakawa wahadilifu lini wamekuwa wahadilifu ?

HV katk wizara zinazo ongoza kwa rushwa na utapeli si wizara ya ardhi leo anajinasibu na kujipendekeza na Kisha kuchafua watu kuwa wanamuhonga mbna huyu waziri Ni mpumbafu Sana ,,

Nae anajiona msomi wa degree nne kumbe hakun kitu mle amekariri masoma kwa kuhonga wahadhiri ili afaulu .

Katik mawazir ovyo silaa Ni namba Moja Hakuna waziri pale kitendo Cha kumchafua mmiliki wa sheli na kujipendekeza ili upendwe Ni ujinga huo

Hyo wizara itakushinda na utafurunda usipo kuwa na akili timamu Kwanza uteuzi wako ulikosew Sana ulipazwa upewe unaibu waziri kamili hapana kwa kweli

Kama unasema uliongwa ukakataa tutajie zile ulizozipokea Tena mchana kweupe

Leo Tena umetoa boko unataka wamiliki wa kampuni za upimaji wawe na ofc katk majengo ya wizara ardhi HV akili zako Ni sahih Kweli
wewe Ni daktari wa nn Kwanza tufahamiane? daktari usiyejua tofauti ya Kituo Cha mafuta na sheli
mbona uandishi wako ni wa kiwango Cha chini Sana?
 
Muongo huyo,
Aanze tu kukataa.
Ningemuelewa kama angesema amelifikisha takukuru labda na mtuhumiwa amechukuliwa hatua gani.
Kua na subiraa, takukuru wanalifanyia kazi,mahakamani muda wowote ule watu watapandishwa!!
 
Back
Top Bottom