Makonda anajibu kila swali, chama kimepata mtu sahihi kwa wakati sahihi

kipara kipya

JF-Expert Member
May 2, 2016
14,189
16,198
Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM komredi Paul Makonda yupo kwenye mkutano na waandishi wa habari.

Maswali yote hata yanaonekana kumchokozana kumpanikisha lakini anajibu kwa utilivu kabisa na kujiamini .

Habari zaidi wafutilieni mubashara yanaoendelea huko kwenye vyombo vya habari.
Makonda ni mtu na nusu,
 
Naomba muulize maswali yafuatayo;-
1. Ni lini atarudisha nyumba ya GSM aliyoipora ?
2. Ni kwann alimpiga Lisu risasi 16?
3. Ni kwann alimshambulia Nape kwa bastola? Na ni lini atamuomba msamaha hadharani?
4. Ni kwann alimteka Mo?
5. Ni kwann alimuua Ben Sa8??

Akiyajibu hayo nakuongeza mengine.

Ushauri kwa Makonda, ili aache kulialia na kuombewa kila siku kwenye nyumba za Ibada mwambieni atoke hadharani atubu madhambi hayo ya kuteka, kuua, kujeruhi na kupora watu.
 
Mkuu akisema una ushahidi utampa😂?
Lisu katamka hadharani kuhusu uhusika wa Makonda.

Manara kaandika mitandaoni na rekodi zipo kuwa amepora nyumba ya GSM.

Picha za CCTV kamera zipo mitandaoni zikiomuonesha akivamia kituo cha TV cha Cloudsmedia.

Marekani wamempiga stop kukanyaga nchi yao kwa kuwa anawanyima watu haki ya kuishi. Unajua maana ya kuwanyima watu haki ya kuishi? Maana yake anaua.

Ninyi waandishi uchwara wa miaka hii mmekaa mnakenua tu hapo mbele mkivizia uteuzi. Hayo ndiyo maswali ya kumuuliza. Muulizeni.
 
Hakika kama ana shutuma kama hizi atapaswa azitolee maelezo.

Tatizo ni waandishi wetu nani mwenye thubutu ya kuuliza hayo maswali?

Hapo ndio tatizo linapoanzia.

Mngepatikana watu kama wewe mkuu afadhali.
 
Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM komredi Paul Makonda yupo kwenye mkutano na waandishi wa habari .
Maswali yote hata yanaonekana kumchokozana kumpanikisha lakini anajibu kwa utilivu kabisa na kujiamini .

Habari zaidi wafutilieni mubashara yanaoendelea huko kwenye vyombo vya habari.
Makonda ni mtu na nusu,
Tangu lini kipara kipya kikawa na akili? Uliambiwa AKILI NI NYWELE, maana yake bila nywele hakuna akili!!!
 
Naomba muulize maswali yafuatayo;-
1. Ni lini atarudisha nyumba ya GSM aliyoipora ?
2. Ni kwann alimpiga Lisu risasi 16?
3. Ni kwann alimshambulia Nape kwa bastola? Na ni lini atamuomba msamaha hadharani?
4. Ni kwann alimteka Mo?
5. Ni kwann alimuua Ben Sa8??

Akiyajibu hayo nakuongeza mengine.

Ushauri kwa Makonda, ili aache kulialia na kuombewa kila siku kwenye nyumba za Ibada mwambieni atoke hadharani atubu madhambi hayo ya kuteka, kuua, kujeruhi na kupora watu.
HIzo tuhuma zote ziliwahi kuripotiwa popote kwenye vyombo husika!
 
Naomba muulize maswali yafuatayo;-
1. Ni lini atarudisha nyumba ya GSM aliyoipora ?
2. Ni kwann alimpiga Lisu risasi 16?
3. Ni kwann alimshambulia Nape kwa bastola? Na ni lini atamuomba msamaha hadharani?
4. Ni kwann alimteka Mo?
5. Ni kwann alimuua Ben Sa8??

Akiyajibu hayo nakuongeza mengine.

Ushauri kwa Makonda, ili aache kulialia na kuombewa kila siku kwenye nyumba za Ibada mwambieni atoke hadharani atubu madhambi hayo ya kuteka, kuua, kujeruhi na kupora watu.
Kumbe saa8 ni mfu!
Asante kwa taarifa.
Mlimzika wapi?
 
Kama Kuna mwandishi anataka kutoboa, leo ndiyo mahala pake. Makonda aulizwe maswali yote ya shutuma zinazomkabili. Nakuhakikishia mwandishi atakayeuliza hayoaswali ataajiriwa na makubwa ya habari hapa duniani.

Makonda atafura, na akifura wewe endelea kumkazia macho na kumpa ushahidi..
 
Wala hana wasi tena kasema ikiwezekana walrtewe na msosi uliza utajibiwa!
 
Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM komredi Paul Makonda yupo kwenye mkutano na waandishi wa habari .
Maswali yote hata yanaonekana kumchokozana kumpanikisha lakini anajibu kwa utilivu kabisa na kujiamini .

Habari zaidi wafutilieni mubashara yanaoendelea huko kwenye vyombo vya habari.
Makonda ni mtu na nusu,
Nipoteze muda wangu kumsikiliza huyo zero brain? Labda Sina kazi
 
20231221_140547.jpg
 
Back
Top Bottom