johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,004
- 142,033
Wakati ule wa Nyerere hapakuwepo Takukuru hivyo DCI alifanya majukumu yote ya kiuchunguzi
Baada tu ya Waziri Slaa kutoa taarifa za kukataa rushwa mbele ya wanahabari nguli akina Muhidin Michuzi wa Daily news, Pascal Mayalla wa RTD nk mchezo usingeishia pale, usiku tungesikia kupitia kipindi cha Majira " Waziri na Mwekezaji waitwa Ofisini kwa DCI kuandikisha Maelezo"
Awamu ya kwanza matukio ya Rushwa yalishughulikiwa kwa Haraka mno. Sema siku hizi hata Waandishi wa Habari Wengi ni Makanjanja tu wanaosubiria teuzi
I wish you a Merry Christmas ๐