Bwawa la asali lamlevya Mbowe na kundi lake hatusikii neno nchi imeuzwa!

RWANDES

JF-Expert Member
Jun 12, 2019
1,615
3,909
Tuweni makini na wanasiasa Aina ya mbowe na kundi lake " Leo nimeamini kwanini mwendazake aliwaminya kutofanya siasa , alijuwa hawana hoja yoyote Zaidi ya porojo.

Alichokosea JPM NI kubana cake ya taifa kuliwa na Wana ccm pekee ndiyo iliyopigiwa kelele na hawa Jamaa !siamini upinzani tulionao Tanzania unamikakati ya kuchukua dola!
Mbowe na kundi lako mtaendelea kutumika na ccm Hadi lini ? Ila nawakubali msipopewa mkate mnakelele hatari

Alipobana mwamba wa chato aliitwa majina yote dikteta, muuaji na mporaji ! Leo hata wakina zitto tunakutana tunagonga cheers huku wakisifia serikali ya sasa Raha sana.huwez sikia kelele hata miradi inayoenda kwa kusinyaa haisemwi.
 
Hawatekwi, hawakatazwi kufanya mikutano mpaka Makonda anasema kachoka kufanya mikutano peke yake unataka waanzishe fujo ya nini?
 
Tuweni makini na wanasiasa Aina ya mbowe na kundi lake " Leo nimeamini kwanini mwendazake aliwaminya kutofanya siasa , alijuwa hawana hoja yoyote Zaidi ya porojo.

Alichokosea JPM NI kubana cake ya taifa kuliwa na Wana ccm pekee ndiyo iliyopigiwa kelele na hawa Jamaa !siamini upinzani tulionao Tanzania unamikakati ya kuchukua dola!
Mbowe na kundi lako mtaendelea kutumika na ccm Hadi lini ? Ila nawakubali msipopewa mkate mnakelele hatari

Alipobana mwamba wa chato aliitwa majina yote dikteta, muuaji na mporaji ! Leo hata wakina zitto tunakutana tunagonga cheers huku wakisifia serikali ya sasa Raha sana.huwez sikia kelele hata miradi inayoenda kwa kusinyaa haisemwi.
Watu wenyewe wa kuwatetea wako wapi?
 
KAMA ILIKWISHAUZWA ulitaka waseme Nchi gani tena imeuzwa? Acha umbea dogo

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Pigania haki yako, usitegemee wengine wakupiganie,au una mimba ya Mr.Mbowe?,mtu kuwekwa mahabusu more than 250 day's kupigania kenge kama wewe, mnapiga kelele humu ,mwisho wa siku unafyata mkia wako na kujificha chini ya uvungu wa kitanda chako, kuna tatizo go out there and fight, sio Mr.Mbowe akupiganie mtu mwoga uliochanganyikana na uzuzu
 
Tuweni makini na wanasiasa Aina ya mbowe na kundi lake " Leo nimeamini kwanini mwendazake aliwaminya kutofanya siasa , alijuwa hawana hoja yoyote Zaidi ya porojo.

Alichokosea JPM NI kubana cake ya taifa kuliwa na Wana ccm pekee ndiyo iliyopigiwa kelele na hawa Jamaa !siamini upinzani tulionao Tanzania unamikakati ya kuchukua dola!
Mbowe na kundi lako mtaendelea kutumika na ccm Hadi lini ? Ila nawakubali msipopewa mkate mnakelele hatari

Alipobana mwamba wa chato aliitwa majina yote dikteta, muuaji na mporaji ! Leo hata wakina zitto tunakutana tunagonga cheers huku wakisifia serikali ya sasa Raha sana.huwez sikia kelele hata miradi inayoenda kwa kusinyaa haisemwi.
Mfuate huyo marehemu wako aliko. Baba wa Taifa letu ni Mwl. Nyerere siyo huyo mshamba wenu aliyekuwa fisadi katili. Mazuzu km wewe aliweza kuwapumbaza.
 
Tuweni makini na wanasiasa Aina ya mbowe na kundi lake " Leo nimeamini kwanini mwendazake aliwaminya kutofanya siasa , alijuwa hawana hoja yoyote Zaidi ya porojo.

Alichokosea JPM NI kubana cake ya taifa kuliwa na Wana ccm pekee ndiyo iliyopigiwa kelele na hawa Jamaa !siamini upinzani tulionao Tanzania unamikakati ya kuchukua dola!
Mbowe na kundi lako mtaendelea kutumika na ccm Hadi lini ? Ila nawakubali msipopewa mkate mnakelele hatari

Alipobana mwamba wa chato aliitwa majina yote dikteta, muuaji na mporaji ! Leo hata wakina zitto tunakutana tunagonga cheers huku wakisifia serikali ya sasa Raha sana.huwez sikia kelele hata miradi inayoenda kwa kusinyaa haisemwi.
Nchi imeuzwa kwa hiyo we unatuandikia hii post ukiwa nchi gani. Mpumbavu ni mpumbavu hanaga haya
 
Tuweni makini na wanasiasa Aina ya mbowe na kundi lake " Leo nimeamini kwanini mwendazake aliwaminya kutofanya siasa , alijuwa hawana hoja yoyote Zaidi ya porojo.

Alichokosea JPM NI kubana cake ya taifa kuliwa na Wana ccm pekee ndiyo iliyopigiwa kelele na hawa Jamaa !siamini upinzani tulionao Tanzania unamikakati ya kuchukua dola!
Mbowe na kundi lako mtaendelea kutumika na ccm Hadi lini ? Ila nawakubali msipopewa mkate mnakelele hatari

Alipobana mwamba wa chato aliitwa majina yote dikteta, muuaji na mporaji ! Leo hata wakina zitto tunakutana tunagonga cheers huku wakisifia serikali ya sasa Raha sana.huwez sikia kelele hata miradi inayoenda kwa kusinyaa haisemwi.
wewe si uchujue nafasi yao?
 
A patriot and statesman F.A.Mbowe ni mtu makini sana. Ni mtaratibu anae elewa nini cha kuongea, wapi, kwa wakati gani na kwa maslahi ya nani...

I hope yupo fiti na kimya kimkakati zaidi, anajipanga na none stop comeback had 2025 akipepreusha bendera ya Chadema Urais wa JMT.
 
Bora hata wazo lako wengine wanaamini katika matusi !
 
Tuweni makini na wanasiasa Aina ya mbowe na kundi lake " Leo nimeamini kwanini mwendazake aliwaminya kutofanya siasa , alijuwa hawana hoja yoyote Zaidi ya porojo.

Alichokosea JPM NI kubana cake ya taifa kuliwa na Wana ccm pekee ndiyo iliyopigiwa kelele na hawa Jamaa !siamini upinzani tulionao Tanzania unamikakati ya kuchukua dola!
Mbowe na kundi lako mtaendelea kutumika na ccm Hadi lini ? Ila nawakubali msipopewa mkate mnakelele hatari

Alipobana mwamba wa chato aliitwa majina yote dikteta, muuaji na mporaji ! Leo hata wakina zitto tunakutana tunagonga cheers huku wakisifia serikali ya sasa Raha sana.huwez sikia kelele hata miradi inayoenda kwa kusinyaa haisemwi.
Uongo utakusaidia nini wewe ?
 
Back
Top Bottom