CUF fufueni "Blue guard", CHAUMA anzisheni "Hakuna kulala", na ACT mje na "Nchi ni yetu sote" ili kujibu mapigo ya chipukizi wa CCM

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
21,563
50,410
Nashauri vyama vya upinzani kuamka na kuanza kuandaa nguvu ya kupambana na ccm.

Huku mitaani nimeona viongozi wanaotokana na ccm wanaandaa vikundi vya ulinzi na usalama kama maandalizi ya uchaguzi ujao. CCM Imeandaa Green guards na chipukizi.

CUF kulikuwa na Blue Guard, nawashauri muifufue na majambia wajue kuyatumia.

ACT njooni kivingine. Anzisheni Kikundi cha ulinzi na usalama kwa jina lolote lile.. mm napendekeza kiitwe "Nchi ni yetu sote"

CHAUMA nina taarifa zenu kwamba mnaanzisha Kikundi chenye jina la "Hakuna kulala". Vizuri sana.

Chadema, bila shaka "Red Brigades" iko tayari.

Kwenye uchaguzi wa mwakani na uchaguzi mkuu wa 2025 kama mbwai na iwe mbwal.
 
Ccm tumeanzisha Ili watoto wa wale wenye kusema ccm Ina wenyewe waje warithi madaraka baadae!!

Dola imetuamini Hadi tumepitiliza Sasa tunataka kurithisha madaraka kwa cartels!!

Dola mlifanya kosa kubwa sana kukiacha Chama kimoja madarakani kwa miaka zaidi ya 30!kosa kubwa,hamkuandaa vyama mbadala vya kushika Dola matokeo yake ndio haha mafisadi wanaandaa mafisadi wapya waendelee kuifisadi nchi!!

Mimi kama mwanaccm makini nasikitika chama changu hamkukipa pumziko Ili kijifunze siasa siyo wizi na ubadhirifu,Leo tungekua na ccm makini sana isiyo na makando kando!!!
 
Nashauri vyama vya upinzani kuamka na kuanza kuandaa nguvu ya kupambana na ccm.

Huku mitaani nimeona viongozi wanaotokana na ccm wanaandaa vikundi vya ulinzi na usalama kama maandalizi ya uchaguzi ujao. CCM Imeandaa Green guards na chipukizi.

CUF kulikuwa na Blue Guard, nawashauri muifufue na majambiawajue kuyatumia.

ACT njooni kivingine. AnIsheni Kikundi ulinzi na usalama kwa jina lolote lile.. mm napendekeza kiitwe "Nchi ninyetu sote"

CHAUMA nina taarifa zenu kwamba mnaanzisha Kikundi chemye jina la "Hakuna kulala". Vizuri sana.

Chadema, bila shaka "Red Brigades" iko tayari.

Kwenye uchaguzi wa mwakani na uchaguzi mkuu wa 2025 kama mbwai na iwe mbwal.
CUF na ACT mhhhhhh
 
Tusiipeleke nchi huko, bora vikundi vyote kufutwa tu
 
Nashauri vyama vya upinzani kuamka na kuanza kuandaa nguvu ya kupambana na ccm.

Huku mitaani nimeona viongozi wanaotokana na ccm wanaandaa vikundi vya ulinzi na usalama kama maandalizi ya uchaguzi ujao. CCM Imeandaa Green guards na chipukizi.

CUF kulikuwa na Blue Guard, nawashauri muifufue na majambia wajue kuyatumia.

ACT njooni kivingine. Anzisheni Kikundi cha ulinzi na usalama kwa jina lolote lile.. mm napendekeza kiitwe "Nchi ni yetu sote"

CHAUMA nina taarifa zenu kwamba mnaanzisha Kikundi chenye jina la "Hakuna kulala". Vizuri sana.

Chadema, bila shaka "Red Brigades" iko tayari.

Kwenye uchaguzi wa mwakani na uchaguzi mkuu wa 2025 kama mbwai na iwe mbwal.
Kisha watapokelewa kwenye shule gani! Mwalimu mkuu aliyechangia fomu ya Samia hawezi kuwapokea.
 
Nashauri vyama vya upinzani kuamka na kuanza kuandaa nguvu ya kupambana na ccm.

Huku mitaani nimeona viongozi wanaotokana na ccm wanaandaa vikundi vya ulinzi na usalama kama maandalizi ya uchaguzi ujao. CCM Imeandaa Green guards na chipukizi.

CUF kulikuwa na Blue Guard, nawashauri muifufue na majambia wajue kuyatumia.

ACT njooni kivingine. Anzisheni Kikundi cha ulinzi na usalama kwa jina lolote lile.. mm napendekeza kiitwe "Nchi ni yetu sote"

CHAUMA nina taarifa zenu kwamba mnaanzisha Kikundi chenye jina la "Hakuna kulala". Vizuri sana.

Chadema, bila shaka "Red Brigades" iko tayari.

Kwenye uchaguzi wa mwakani na uchaguzi mkuu wa 2025 kama mbwai na iwe mbwal.
Waandae wapika ubwabwa!
 
NAUNGA MKONO WAZO LAKO ILI TUPATE VIONGOZI VIJANA KTK SIASA

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Nashauri vyama vya upinzani kuamka na kuanza kuandaa nguvu ya kupambana na ccm.

Huku mitaani nimeona viongozi wanaotokana na ccm wanaandaa vikundi vya ulinzi na usalama kama maandalizi ya uchaguzi ujao. CCM Imeandaa Green guards na chipukizi.

CUF kulikuwa na Blue Guard, nawashauri muifufue na majambia wajue kuyatumia.

ACT njooni kivingine. Anzisheni Kikundi cha ulinzi na usalama kwa jina lolote lile.. mm napendekeza kiitwe "Nchi ni yetu sote"

CHAUMA nina taarifa zenu kwamba mnaanzisha Kikundi chenye jina la "Hakuna kulala". Vizuri sana.

Chadema, bila shaka "Red Brigades" iko tayari.

Kwenye uchaguzi wa mwakani na uchaguzi mkuu wa 2025 kama mbwai na iwe mbwal.
halafu eti ndio siku moja mje mshinde uchaguzi na kuongoza serikali.
kweli?

yaani mnafanya ambayo tayari yamefanyika na wenzenu tangu kitambo sana, wanajua faida na hasara zake eti ndio na nyie mfanye kama wao sai hii kisha mfanane nao?🤣

Mihemko ni kitu mbaya sana aise
 
Chipukizi wa nchemba kaulizwa unaipendea nn siasa kajibu ili niwatawale watu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom