Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwenyekiti wa Chadema Mbowe ametangaza kuwa sasa Maandamano yatakuwa Utamaduni wa maisha ndani ya Chama chao. Source: Chadema Tz
2 Reactions
7 Replies
970 Views
Kama ilivyoelezwa tangu awali, hatimaye ile Neema ya Maandamano ya Kupinga Ugumu wa Maisha, Dhiki na Ufukara ikiwa ni pamoja na kupinga miswada mibovu ya sheria za uchaguzi Imeingia Jijini Arusha...
32 Reactions
349 Replies
24K Views
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Jenista Mhagama ametoa wito viongozi kuhakikisha wanawapatia wenyeviti wa Mashina wa Chama cha Mapinduzi taarifa muhimu za utekelezaji...
0 Reactions
0 Replies
499 Views
Wadau nawasabahi. Chama kikuu cha upinzania Tanzania Chadema kimetangaza kufanya maandamano ya amani tarehe 24 Januari 2024 ili kufikisha hoja zake kwa serikali na CCM ili ziweze kutekelezwa kwa...
6 Reactions
22 Replies
2K Views
Habari wanajamvi! Kwa kipindi kirefu nimekuwa nikifuatilia siasa za Tanzania na kuna mengi ya kuzungumza japo muda ni mchache ila kwa hili la maandamano ya chadema yanayotarajiwa kufanyika tar 24...
7 Reactions
35 Replies
3K Views
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jensita Mhagama (Mb) Peramiho, amewapongeza Wenyeviti wa Mashina na Kata kwa kazi nzuri wanayofanya ya kulinda na kukipigania...
0 Reactions
0 Replies
549 Views
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba yale Maandamano yaliyoletwa na Mungu, ya kupinga Dhiki, Ufukara, Ugumu wa Maisha, Bei kubwa ya bidhaa zote ikiwemo Vyakula, pamoja na kupinga miswada mibovu...
10 Reactions
45 Replies
3K Views
Ujumbe mzuri sana huu, huku ndiko kuiva kisiasa. "Nawatakia heri CHADEMA kwenye maandamano kesho Arusha. Naamini kwenye siasa za ushindani wa hoja. Nitasikiliza hoja zao zenye mashiko...
5 Reactions
23 Replies
2K Views
Kama mada inavyosema Mimi ni mtanzania niliyezaliwa, Kijiji Cha Nakatuba kata ya Chitengule Jimbo la MWIBARA. Nimeamua nigombee UBUNGE jimbo la Mwibara 2025. Nimeamua kuonesha nia ya kuligombania...
9 Reactions
24 Replies
3K Views
  • Closed
Katika hali isiyokuwa ya kawaida wakati wa kikao cha Tathmini cha maandalizi ya maandamano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kilichofanyika tarehe 21 February 2024 Jijini Arusha...
4 Reactions
33 Replies
3K Views
Kutokana na maboresho ya sheria za uchaguzi na Tume huru ya uchaguzi nakusudia kutetea kiti ya ubunge. Nimewiwa kufanya hivyo baada ya record yangu ya maendeleo kwa wananchi kuwa nzuri sana...
12 Reactions
161 Replies
7K Views
Siku chache baada ya kufanyika kwa maandamano ya CHADEMA mkoani Mbeya, Mbunge wa jimbo la Mbeya mjini Dkt. Tulia Ackson (CCM) ametoa wito kwa wakazi wa Mbeya kuacha kuhangaika na maneno ya...
5 Reactions
21 Replies
3K Views
Kupitia kwenye ukurasa wao wa Instagram, Radio ya EFM imepost video inayoashiria kuwa ni kejeli kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo. Kwenye video hiyo iliyopewa Title "Subiri pajae ndio upige...
15 Reactions
56 Replies
6K Views
Leo kuna threads nyingi sana za vibwengo wa uvccm kuponda maandamano ya Chadema yaliyofanyika leo kuliko threads walizoanza kuhusiana na maandamano ya awali yaliyofanyika Dar na Mwanza. Kusema...
31 Reactions
70 Replies
6K Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimedai kuwa Mkuu wa mkoa wa Mbeya Juma Homera amekuwa akiandaa njama za kudhoofisha maandamano ya chama hicho yaliyopangwa kufanyika jijini Mbeya...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Chifu wa kabila la Wasafwa jijini Mbeya Chifu Rocket Mwashinga amesema anashangaa kusikia kwenye vyombo vya habari maneno yanazungumzwa kwamba machifu wa mbeya wameungana na msafara wa maandamano...
5 Reactions
30 Replies
3K Views
Nianze kwa kumnukuu Hayati Mwalimu Nyerere... Inapotokea vipindi vya uchaguzi wagombea wakiwa wanatafuta kura, pamoja na sera nzuri za kujiuza wanazokuwa nazo, pia huweza kutumia njia nyingine...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Leo Tarehe 15 feb 2024 ni siku ya baraka Jijini Mwanza, baada ya umati wa wananchi kujitokeza kwa wingi kushiriki maandamano ya amani ya kupinga ugumu wa maisha n miswada mibovu ya sheria za...
31 Reactions
267 Replies
26K Views
Maandalizi ya maandamano ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), mkoani Mwanza yamefikia asilimia 90 huku miongoni mwa waliothibitisha kushiriki ni mwanasiasa mkongwe, Dk Wilbrod Slaa...
6 Reactions
21 Replies
3K Views
Back
Top Bottom