Mrisho Gambo: Nawatakia CHADEMA heri ya maandamano Arusha. Nitasikiliza hoja zao, zenye mashiko tutazifanyia kazi

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
18,653
20,987
Ujumbe mzuri sana huu, huku ndiko kuiva kisiasa.

FB_IMG_17089332185109910.jpg

"Nawatakia heri CHADEMA kwenye maandamano kesho Arusha. Naamini kwenye siasa za ushindani wa hoja. Nitasikiliza hoja zao zenye mashiko tutazifanyia kazi. Nitachukulia maandamano na Mkutano wao wa hadhara kama sehemu ya mikutano yangu ya hadhara ya kupokea kero za wananchi."

NB: Tuchukuwe hoja zao, tuzifanyie kazi kwa umakini mkubwa,
° Maji
° Afya
° Umeme
° Ajira ni kilimo na kujiajiri
° Wale wote waliotajwa kwenye ripoti ya CAG ni muhimu wakaguswa, huenda hawa nyau wakatumia mlango huu, tuuzibe.
 
Tafuta kazi nyingine ubunge mwisho 2025.
 
Back
Top Bottom