Najiandaa kugombea ubunge jimbo la Mwibara 2025

Momazi

Member
Jan 5, 2023
38
46
Kama mada inavyosema Mimi ni mtanzania niliyezaliwa, Kijiji Cha Nakatuba kata ya Chitengule Jimbo la MWIBARA. Nimeamua nigombee UBUNGE jimbo la Mwibara 2025.

Nimeamua kuonesha nia ya kuligombania hili Jimbo maana mbunge aliyopo madarakani ni kama tu amejikatia tamaa maana sidhani kama atarudi Tena kuomba ridhaa kwa wananchi. Jimbo kimekuwa kama yatima maana mheshimiwa hajawahi kutimiza ahadi yoyote jimboni.

Nikikumbuka katika ahadi alizozitoa pale Nakatuba nabaki kushangaa tu sera ya mtue mama ndio kichwani haijatimia zaidi ya kuwaona akina mama wakigombania maji kwenye vishimo vilivyopo karibu na shule ya misingi Nakatuba. Barabara ya kwendwa shule ya misingi nansululi imekuwa panda la ng'ombe,
Mheshimiwa alihaidi kushughulikia uhaba wa nyumba za walimu nansululi,namalebe,na Nakatuba lakini utekelezaji ni zero nukta sifuri.

Mimi kama mwananchi mwenye uchungu kwa haya ninayoyaona jimboni Sina budi kutumia haki yangu ya kikatiba kupeperusha bendera ya chama chochote ili niwatumikie wananchi wa Jimbo la Mwibara kwa moyo Mmoja kwani waliotangulia kuliongoza hili Jimbo naweza kusema wameshindwa labisa hivyo hawana budi kupumzika ili sisi vijana tulip na uchungu tuwaoneshe namna ya kuwatumikia wananchi.

Zaidi nahitaji watu watakao tia nia kwenye udiwani wawe pia watu walio na uchungu na kata zao ,tumechoka kuwa watu wa kuimba mapambio tunataka maendeleo yenye vitendo sio maneno.

MWIBARA CHINI YA UONGOZI WA MANUMBU PETRO MUYABI(MKUNYUNYU) INAWEZEKANA. Ewe mwana Mwibara naomba kura yako ya ndiyo nikutumikie bila kujali itikadi ya vyama .
 
Sawa wewe ukiingia Bungeni utawafanyia nini hao wananchi wa Nakatuba, Namalebe na Nansuli?

Elezea
 
Kama mada inavyosema Mimi ni mtanzania niliyezaliwa,Kijiji Cha Nakatuba kata ya Chitengule Jimbo la MWIBARA.Nimeamua nigombee UBUNGE jimbo la Mwibara 2025.
Nimeamua kuonesha nia ya kuligombania hili Jimbo maana mbunge aliyopo madarakani ni kama tu amejikatia tamaa maana sidhani kama atarudi Tena kuomba ridhaa kwa wananchi.Jimbo kimekuwa kama yatima maana mheshimiwa hajawahi kutimiza ahadi yoyote jimboni.
Nikikumbuka katika ahadi alizozitoa pale Nakatuba nabaki kushangaa tu sera ya mtue mama ndio kichwani haijatimia zaidi ya kuwaona akina mama wakigombania maji kwenye vishimo vilivyopo karibu na shule ya misingi Nakatuba.Barabara ya kwendwa shule ya misingi nansululi imekuwa panda la ng'ombe,
Mheshimiwa alihaidi kushughulikia uhaba wa nyumba za walimu nansululi,namalebe,na Nakatuba lakini utekelezaji ni zero nukta sifuri .Mimi kama mwananchi mwenye uchungu kwa haya ninayoyaona jimboni Sina budi kutumia haki yangu ya kikatiba kupeperusha bendera ya chama chochote ili niwatumikie wananchi wa Jimbo la Mwibara kwa moyo Mmoja kwani waliotangulia kuliongoza hili Jimbo naweza kusema wameshindwa labisa hivyo hawana budi kupumzika ili sisi vijana tulip na uchungu tuwaoneshe namna ya kuwatumikia wananchi.
Zaidi naitaji watu watakao tia nia kwenye udiwani wawe pia watu walio na uchungu na kata zao ,tumechoka kuwa watu wa kuimba mapambio tunataka maendeleo yenye vitendo sio maneno.
MWIBARA CHINI YA UONGOZI WA MANUMBU PETRO MUYABI(MKUNYUNYU) INAWEZEKANA.Ewe mwana Mwibara naomba kura yako ya ndiyo nikutumikie bila kujali itikadi ya vyama .
Mheshimiwa Mbunge! Kabla ya uchaguzi kufika nakushauri ujifunze kuandika kwa lugha fasaha na mpangilio mzuri wa hoja.

Hivi ulivyoandika hapa ni kiashiria tosha kuwa una elimu hohehahe na naksi ya umakini katika mambo yako.
 
Zaidi naitaji watu watakao tia nia kwenye udiwani wawe pia watu walio na uchungu na kata zao ,tumechoka kuwa watu wa kuimba mapambio tunataka maendeleo yenye vitendo sio maneno.
Uongozi unaanzia kwa Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa, Mjumbe/Balozi wa Nyumba 10, Mtendaji wa Kata, Mtendaji wa Kijiji, Diwani, Mbunge sasa swali kwako ndugu Mbunge mtia nia je ulishawahi kuhudhuria vikao vya Serikali ya Kijiji chako hata mara 1? Au huko Mwauraba hua hamnaga vikao vya Kijiji?
 
Vikao nimehudhuria sana mkuu
 
Kama mada inavyosema Mimi ni mtanzania niliyezaliwa, Kijiji Cha Nakatuba kata ya Chitengule Jimbo la MWIBARA. Nimeamua nigombee UBUNGE jimbo la Mwibara 2025.

Nimeamua kuonesha nia ya kuligombania hili Jimbo maana mbunge aliyopo madarakani ni kama tu amejikatia tamaa maana sidhani kama atarudi Tena kuomba ridhaa kwa wananchi. Jimbo kimekuwa kama yatima maana mheshimiwa hajawahi kutimiza ahadi yoyote jimboni.

Nikikumbuka katika ahadi alizozitoa pale Nakatuba nabaki kushangaa tu sera ya mtue mama ndio kichwani haijatimia zaidi ya kuwaona akina mama wakigombania maji kwenye vishimo vilivyopo karibu na shule ya misingi Nakatuba. Barabara ya kwendwa shule ya misingi nansululi imekuwa panda la ng'ombe,
Mheshimiwa alihaidi kushughulikia uhaba wa nyumba za walimu nansululi,namalebe,na Nakatuba lakini utekelezaji ni zero nukta sifuri.

Mimi kama mwananchi mwenye uchungu kwa haya ninayoyaona jimboni Sina budi kutumia haki yangu ya kikatiba kupeperusha bendera ya chama chochote ili niwatumikie wananchi wa Jimbo la Mwibara kwa moyo Mmoja kwani waliotangulia kuliongoza hili Jimbo naweza kusema wameshindwa labisa hivyo hawana budi kupumzika ili sisi vijana tulip na uchungu tuwaoneshe namna ya kuwatumikia wananchi.

Zaidi nahitaji watu watakao tia nia kwenye udiwani wawe pia watu walio na uchungu na kata zao ,tumechoka kuwa watu wa kuimba mapambio tunataka maendeleo yenye vitendo sio maneno.

MWIBARA CHINI YA UONGOZI WA MANUMBU PETRO MUYABI(MKUNYUNYU) INAWEZEKANA. Ewe mwana Mwibara naomba kura yako ya ndiyo nikutumikie bila kujali itikadi ya vyama .
Manumbu = viazi
 
Sema unataka kula sio kusaidia wananchi
Huna unachoweza kubadilisha hapo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom