Bajeti ya Maandamano Arusha kuijenga au kuipasua CHADEMA?

Status
Not open for further replies.

LAZIMA NISEME

JF-Expert Member
Apr 5, 2015
232
260
Katika hali isiyokuwa ya kawaida wakati wa kikao cha Tathmini cha maandalizi ya maandamano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kilichofanyika tarehe 21 February 2024 Jijini Arusha, ugomvi mkubwa uliibuka kati ya aliyewahi kuwa Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema na wajumbe wa kamati ya maandalizi.

Mashuhuda wa tukio hilo wamedai chanzo cha ugomvi huo ni kitendo cha CHADEMA makao makuu kugoma kutoa fedha za bajeti ya maandamano kiasi cha TZS Milioni 160 na badala yake kuutaka uongozi wa CHADEMA Mkoa wa Arusha kuendesha harambee, jambo lililopingwa na wajumbe wengi wakihoji uhalali wa makao makuu kuzuia fedha za chama zilizotolewa na Serikali kama Ruzuku katika tukio la kitaifa.

Hoja za wajumbe zilipingwa na Ndg Godbless Lema ambaye alionyesha kuchukizwa na madai ya wajumbe na kuamua kuanza kutoa lugha ya kejeli kwa kudai wajumbe hao hawana uchungu na chama hivyo yeye ataendesha harambee kwani hawezi kusubiri huruma za makao makuu kutoa fedha kwaajili ya uratibu, jambo lililoibua hisia kuwa Ndg Lema anayo mambo ya siri anayopanga kutekeleza kupitia maandamano.

Mpaka kufikia siku ya Ijumaa, tarehe 23 Februari 2024, watu wa karibu wa Godbless Lema wamethibitisha kuwa kiongozi huyo anaendesha harambee kwa wafanyabiashara yeye mwenyewe na tayari amekusanya zaidi ya Milioni 80. Baadhi ya wajumbe wameeleza kuchukizwa na dharau iliyoonyeshwa na Lema kwa kutosikiliza hoja yao iliyojikita katika kutaka Chama kutoa fedha badala ya kuchangisha wananchi kutokana chama hicho kupokea ruzuku takribani TZS Bilioni 2.7.

Kwa sharti la kutotajwa jina, mmoja ya viongozi wa Kanda ya Kaskazini ameeleza kusikitishwa na kitendo cha viongozi wa makao makuu kutojali mambo yanayofanyika mikoani hususani linapokuja suala la kibajeti, aidha kiongozi huyo amedai kuwa wapo viongozi waliotoka mikoa mbalimbali kwaajili ya kuhamasisha maandamano ambao mpaka sasa hawajapewa stahiki zao jambo ambalo wanaona siyo la kiuungwana.

===
Taarifa hii imekanushwa na Ukurasa halisi wa Mwananchi wa Instagram

Taarifa ya ugomvi ndani ya CHADEMA ilitumiwa ikiwa na Graphics ambayo inafanana na graphics za Mwananchi. Hata hivyo Gazeti la Mwananchi limekanusha taarifa hii na graphic iliyotumika kwa kuweka bayana kuwa mwandiko wa kwenye graphic haukuwa unafanana na muandiko wanaotumia siku zote.

Aidha, taarifa hii haikuchapishwa na Mwananchi kwenye ukurasa wake wowote.
Walichoandika Mwananchi

Chapisho hilo lililokuwa na kichwa cha habari 'Kisa bajeti ya maandamano Arusha Lema avurugana na viongozi wenzie' lenye picha za viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL) haihusiki na chapisho hilo wala hatufahamu anayesambaza ana nia gani.

Pia, machapisho ya Mwanachi katika mitandao ya kijamii hayatumii aina ya mwandiko uliotumika hapo juu.

Mwananchi tutaendelea kutoa maudhui kwa weledi na kufuata misingi ya uandishi wa habari, tunaomba radhi kwa usumbufu wowote uliotokea.

Mhariri.
 
Katika hali isiyokuwa ya kawaida wakati wa kikao cha Tathmini cha maandalizi ya maandamano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kilichofanyika tarehe 21 February 2024 Jijini Arusha, ugomvi mkubwa uliibuka kati ya aliyewahi kuwa Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema na wajumbe wa kamati ya maandalizi.

Mashuhuda wa tukio hilo wamedai chanzo cha ugomvi huo ni kitendo cha CHADEMA makao makuu kugoma kutoa fedha za bajeti ya maandamano kiasi cha TZS Milioni 160 na badala yake kuutaka uongozi wa CHADEMA Mkoa wa Arusha kuendesha harambee, jambo lililopingwa na wajumbe wengi wakihoji uhalali wa makao makuu kuzuia fedha za chama zilizotolewa na Serikali kama Ruzuku katika tukio la kitaifa.

Hoja za wajumbe zilipingwa na Ndg Godbless Lema ambaye alionyesha kuchukizwa na madai ya wajumbe na kuamua kuanza kutoa lugha ya kejeli kwa kudai wajumbe hao hawana uchungu na chama hivyo yeye ataendesha harambee kwani hawezi kusubiri huruma za makao makuu kutoa fedha kwaajili ya uratibu, jambo lililoibua hisia kuwa Ndg Lema anayo mambo ya siri anayopanga kutekeleza kupitia maandamano.

Mpaka kufikia siku ya Ijumaa, tarehe 23 Februari 2024, watu wa karibu wa Godbless Lema wamethibitisha kuwa kiongozi huyo anaendesha harambee kwa wafanyabiashara yeye mwenyewe na tayari amekusanya zaidi ya Milioni 80. Baadhi ya wajumbe wameeleza kuchukizwa na dharau iliyoonyeshwa na Lema kwa kutosikiliza hoja yao iliyojikita katika kutaka Chama kutoa fedha badala ya kuchangisha wananchi kutokana chama hicho kupokea ruzuku takribani TZS Bilioni 2.7.

Kwa sharti la kutotajwa jina, mmoja ya viongozi wa Kanda ya Kaskazini ameeleza kusikitishwa na kitendo cha viongozi wa makao makuu kutojali mambo yanayofanyika mikoani hususani linapokuja suala la kibajeti, aidha kiongozi huyo amedai kuwa wapo viongozi waliotoka mikoa mbalimbali kwaajili ya kuhamasisha maandamano ambao mpaka sasa hawajapewa stahiki zao jambo ambalo wanaona siyo la kiuungwana.
CHADEMA ni wezi kama wezi wengine

USSR
 
Bado hujasema!
 
Omba kibali kwanza Serikalini cha kufanya biashara ya uganga wa kienyeji, upigaji ramli. Mpaka sasa, nadhani Maji Marefu na Shekhe Yahaya, haeajapata warithi. Unaweza kuziba pengo lao waliloliacha kwenye upigaji ramli chonganishi.
 
Katika hali isiyokuwa ya kawaida wakati wa kikao cha Tathmini cha maandalizi ya maandamano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kilichofanyika tarehe 21 February 2024 Jijini Arusha, ugomvi mkubwa uliibuka kati ya aliyewahi kuwa Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema na wajumbe wa kamati ya maandalizi.

Mashuhuda wa tukio hilo wamedai chanzo cha ugomvi huo ni kitendo cha CHADEMA makao makuu kugoma kutoa fedha za bajeti ya maandamano kiasi cha TZS Milioni 160 na badala yake kuutaka uongozi wa CHADEMA Mkoa wa Arusha kuendesha harambee, jambo lililopingwa na wajumbe wengi wakihoji uhalali wa makao makuu kuzuia fedha za chama zilizotolewa na Serikali kama Ruzuku katika tukio la kitaifa.

Hoja za wajumbe zilipingwa na Ndg Godbless Lema ambaye alionyesha kuchukizwa na madai ya wajumbe na kuamua kuanza kutoa lugha ya kejeli kwa kudai wajumbe hao hawana uchungu na chama hivyo yeye ataendesha harambee kwani hawezi kusubiri huruma za makao makuu kutoa fedha kwaajili ya uratibu, jambo lililoibua hisia kuwa Ndg Lema anayo mambo ya siri anayopanga kutekeleza kupitia maandamano.

Mpaka kufikia siku ya Ijumaa, tarehe 23 Februari 2024, watu wa karibu wa Godbless Lema wamethibitisha kuwa kiongozi huyo anaendesha harambee kwa wafanyabiashara yeye mwenyewe na tayari amekusanya zaidi ya Milioni 80. Baadhi ya wajumbe wameeleza kuchukizwa na dharau iliyoonyeshwa na Lema kwa kutosikiliza hoja yao iliyojikita katika kutaka Chama kutoa fedha badala ya kuchangisha wananchi kutokana chama hicho kupokea ruzuku takribani TZS Bilioni 2.7.

Kwa sharti la kutotajwa jina, mmoja ya viongozi wa Kanda ya Kaskazini ameeleza kusikitishwa na kitendo cha viongozi wa makao makuu kutojali mambo yanayofanyika mikoani hususani linapokuja suala la kibajeti, aidha kiongozi huyo amedai kuwa wapo viongozi waliotoka mikoa mbalimbali kwaajili ya kuhamasisha maandamano ambao mpaka sasa hawajapewa stahiki zao jambo ambalo wanaona siyo la kiuungwana.
Kua na kama hujakua omba Mungu akukuze ,acha upumbavu wako mara moja
 
Ila ccm Mbona mnahangaika sana?

Sisi tunataka sukari, umeme, mafuta na katiba mpya.
Hatutaki umbea sisi.
 
hapo tena kwenye asali na umatemate huwa hawaoni haya wala hawajivungi watazichapa kavu kavu bila wasi wasi soon as possible :D
 
Kwa akili yako unaona ni lazima useme hata kama ni uongo na uzandiki. Wenye akili tumekung'amua.
Get a life!
 
Sawa
 
Uongo wa kuokoteza utakudhalilisha wewe na Wazazi wako

Screenshot_2024-02-25-14-37-02-1.png
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom