Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwanza nitasikitika kwasababu naipenda nchi yangu hivyo Kama mzalendo na agent wa maendeleo siwezi kufurahi kuona nchi yangu inadumaa kwa kukosa mawazo mbadala. Pili nitafurahi wapinzani makini...
31 Reactions
39 Replies
4K Views
Leo alipokuwa anatoka kanisani aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda alifanya mahojiano na channel ya mtandaoni inayoitwa Sauti za watu maarufu na kuulizwa anaona "Je ni kweli Lissu...
34 Reactions
110 Replies
13K Views
Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Kigoma. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa...
2 Reactions
81 Replies
14K Views
Siku chache mara baada ya Tume ya Taifa ya uchaguzi kumzuia kufanya mikutano ya hadhara Mgombea Ubunge wa Jimbo la Vunjo ndugu James Francis Mbatia kwa ajili ya kampeni za kuomba kura, sasa ndugu...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
BREAKING NEWS: Adhabu iliyokuwa inamkabili mgombea ubunge wa Jimbo la Vunjo na mwenyekiti wa chama ndugu James Francis Mbatia ya kutokufanya mikutano ya hadhara kwa ajili ya kampeni imetenguliwa...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Wana JF, Tunashukuru Mungu uchaguzi wetu umekuwa huru na haki. Sasa maisha baada ya uchaguzi yameanza rasmi. Neno linalotamkwatamkwa sana katika kipindi hiki cha maisha baada ya uchaguzi ni...
10 Reactions
26 Replies
3K Views
Kama misukule wa CHADEMA waliomo humu ndo wanaakisi fikra za viongozi wao wa chama, basi mimi Ngabu nasema sitaki kabisa hao watu washike madaraka. Kwa nini nasema hivyo? Kwa sababu hawa...
46 Reactions
259 Replies
15K Views
Hivi Ndugai au yeyote yule atakaye kuwa spika wa bunge atajisikiaje pale atakapoangalia kila upande bungeni hamuoni Mbowe, Sugu, Zitto, Lema, Heche na wapinzani wengine machachari? Hakika...
1 Reactions
0 Replies
767 Views
TANGA: Mawakala wa CHADEMA, ACT-Wazalendo, CUF na NCCR-Mageuzi wakamatwa baada kuzuia wapiga kura kuingia kituoni kwa madai ya wao kutopewa barua Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Blasius Chatanda...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
WanaCCM wezangu tujipongeze kwa matokeo mazuri tunayoendelea kuyapata katika viti vya Ubunge na Udiwani. Kikwazo kikubwa kilichotuumiza kwa muda mrefu sasa tumekimaliza rasmi, kilichopo mbele...
3 Reactions
4 Replies
883 Views
Wakuu ndani ya Jamii forums. Wageni kwa wenyeji ni vema tukajiandaa kabisa kisaikolojiia na ikibidi kuweza kabisa kuanza mchakato wa kuwa na plan B. Kadiri fukuto la uchaguzi mkuu linavyoanza...
49 Reactions
265 Replies
31K Views
Wakuu Salaam: Mawakala hua ni sehemu ya uchaguzi katika kuhakikisha upigaji na utaratibu wa kuhesabu kura unaenda kwa Uhuru na Haki. Mawakala wa Chama husika wanatakiwa kuhakikisha kura...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Huwezi amini nimepita kwenye media zote, kwenye mitandao ya kijamii. Kila account ya MwanaCHADEMA wameweka matatizo yao pembeni wanazungumzia CCM chama dume. Kufuatia mkutano wao mkuu...
16 Reactions
174 Replies
9K Views
CCM inakwenda kukamilisha kazi mpaka muda huu Lissu amebaki kupiga kelele na kuvuta pumzi za mwisho kabla CCM haijatangazwa mshindi wa kishindo,makamanda wamekazana kulalamika twitter tu...
20 Reactions
80 Replies
6K Views
Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Mtwara. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa...
0 Reactions
22 Replies
6K Views
Kwa tetesi nilizopata kwa Jimbo la mbeya ambalo tayari CCM Walikuwa na mtaji wa madiwani 16 waliopita bila kupingwa mpaka usiku huu tayari wameisha shinda katika kata tano ambazo majuimuisho ya...
12 Reactions
60 Replies
7K Views
Jimbo la Ilala ni kati ya Clinton wa NCCR-MAGEUZI na Zungu wa CCM. Wakati tunaendelea na dakika za lala salama za kampeni Jimbo la Ilala lina mtifuano mkali kati ya hawa watu wawili, huku wa ACT...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Mbeya. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa...
11 Reactions
224 Replies
43K Views
Back
Top Bottom