Zifuatazo ni sehemu za mahojiano na mtaalamu wa magonjwa ya akili Mwarabu na Marekani Wafa Sultan. Mahojiano hayo yalirushwa hewani na Al-Jazeera TV mnamo Februari 21, 2006
.
Wafa Sultan: Mgongano...
Kuna mtindo mchafu umeingia kwenye taasisi nyingi za umma wa kuwakopesha pesa watumishi wake kwa kutumia pesa za ndani za uendeshaji wa mashirika hayo kiasi ambacho kimepelekea kukwamisha ufanisi...
Nashindwa kuelewa nini hawa wenzetu wanakuwa wanamaanisha.
Utawasikia lazima tupate 50/50 maana binadamu wote ni sawa na tunaweza kufanya kazi zote zinazofanywa na wanaume.
Lkn wakati huo huo...
Maswali yafuatayo ndiyo yamenitoa machozi.
Nimejiuliza kwamba:
1. Kumbe haya ni mataifa 2 tofauti? Kila moja lina katiba yake, wimbo wake, jeshi lake na rais wake?
2. Kwahiyo hivi Sasa...
Wakazi wa mkoa wa Shinyanga wametoa kauli yao kwamba pamoja na majukumu aliyonayo ya serikali Naibu waziri bwana patrobas katambi hakuna anachofanya kwani ameshindwa hata kuomba fedha serikalini...
Kichwa cha habari cha jitosheleza.
Wananchi wa Makole D center halmashaur ya jiji walihamishwa kupisha mradi wa stendi ndogo na kituo cha biashara ndogo ndogo za ujasiliamali.
Mwanzo walitakiwa...
Kwa hakika Baba wa taifa hili Mwl. Julius Nyerere alijua kutenganisha dini na siasa. Pamoja na kuwa alikuwa Mkatoliki madhubuti sana lakini hakujaribu kuingiza dini yake kwa namna yoyote ile...
Wananchi wa Kipunguni sasa hivi wanasubiri malipo tu. Kama tathimini ilisha fanywa pia mbunge wa Segerea Mhe. Bona alitoa taarifa na kushukuru na kuomba Serikali iwalipe haraka kwakua zoezi...
Jul 25/07/2012
Na,
Nyaronyo Kicheere
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka, alishangiliwa sana pale alipoteuliwa kushika wadhifa huo uliokuwa ukishikiliwa na...
Kama upo makini na ufatiliaji wa maendeleo ya Tanzania basi utagundua kwa hiki kipindi ni kama kuna uzinduliwaji na ujengwaji wa miradi Mingi kwa kasi upande wa Unguja na Pemba nitainisha kwa...
Kwanza Kabisa niwatakie Heri ya Mwaka mpya Wakongwe hawa wa Vyama Vya Upinzani
Pili niwaambie Kuwa Taifa zima linawategemea katika kutuongoza kuipata Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi
Ninyi...
Hakuna sera nzuri za kulinda maisha ya watoto.
Watoto wengi wanaanza kufanya kazi za majumbani kama kupika, kufagia na kuosha vyombo wakiwa na miaka minne hadi saba. Hii ni asilimia 90 Tanzania...
Magufuli hakuwa Dikteta kama baadhi ya wananchi walivyokuwa wakimlaani
Alikuwa akichukizwa na watu vigeugeu au wasaliti
Alitaka akiagiza tufanye kazi basi tufanye wote sio wengine waende kinyume...
Mbunge wa Jimbo la Iramba Magharibi na Waziri wa fedha Mhe. Dkt. Mwigulu L. Nchemba anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye hafla ya kukabidhi mitungi ya gesi na majiko kwa mama lishe baba lishe, VEO...
Miaka ile ya 1980s wazamiaji meli kitu muhimu walikuwa wanahangaika ni Passport Ili wakikutwa na lolote Huko ugenini walau Serikali kupitia Ubalozi utapata Taarifa
Kinachonishangaza ni namna baba...
Sheikh Hasina ni Rais wa Bangadesh anayewania kipindi cha nne madarakani huko Bangaladesh. Sheikh Hasina ni mwanamama hodari, mtata kwa wapinzani wake na anayependwa wananchi wa chini.
Mama huyu...
Nchi Yenye Matatizo makubwa ya umaskini, huduma na mifumo mbalimbali, kama ilivyo Tanzania, ili iweze kutoka ilipo, inahitaji viongozi wenye ubunifu zaidi, akili zaidi, uadilifu zaidi na uzalendo...
Hili pendekezo la Zitto Kabwe linanikumbusha ule usemi wa Usimwamini Mwanasiasa
Huyu Kijana nilimuamini sana wakati wa Buzwagi Kumbe hana hata chembe ya Uzalendo
Yaani NHIF wanapigania Fedha za...
Ile haiba ya Freeman Mbowe ya mwanasiasa machachari na makeke mengi imebadilika sana, bila shaka itakuwa amepatwa na uchovu wa harakati za muda mrefu sana za siasa za mikikimikiki.
Mbowe wa sasa...
Katika Kamati ya maridhiano ya CCM na Chadema , Lisu et al walishamaliza kila kitu. Thy gave thier suggestions in a comprehensive write-up covering what have been the issues of contention since...