Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 37,634
- 46,276
Ile haiba ya Freeman Mbowe ya mwanasiasa machachari na makeke mengi imebadilika sana, bila shaka itakuwa amepatwa na uchovu wa harakati za muda mrefu sana za siasa za mikikimikiki.
Mbowe wa sasa hivi amekuwa na haiba ya mzee wa kanisa au askofu fulani zaidi kuliko kiongozi mkuu wa upinzani. Habari zake zinazosikika zaidi na za kanisani kuliko jukwaa la siasa! Amekuwa babu wa busara.
CHADEMA anzeni kujipanga kuandaa mwenyekiti mwingine wa kumrithi, bila shaka Mbowe atahusika kikamilifu na kuongoza hayo mabadiliko.