Zitto Kabwe: Ruzuku kwa Vyama Vya Siasa iwe ni 10% ya Bajeti ya Nchi na igawiwe kwa Vyama Vyote!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,004
142,036
Hili pendekezo la Zitto Kabwe linanikumbusha ule usemi wa Usimwamini Mwanasiasa

Huyu Kijana nilimuamini sana wakati wa Buzwagi Kumbe hana hata chembe ya Uzalendo

Yaani NHIF wanapigania Fedha za Dawa, Wanafunzi vyuoni hawana Mikopo yeye anasema asilimia 10 ya Bajeti iende kwenye ruzuku?!!

Bure Kabisa hii product ya Bavicha
 
Zitto ni msaka fursa usimwamini
 
Zitto ni mchumia tumbo
 
Back
Top Bottom