Kuelekea uchaguzi 2025, Mwigulu Nchemba ashiriki hafla ya kugawa mitungi ya gesi

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Sep 13, 2020
3,166
4,581
Mbunge wa Jimbo la Iramba Magharibi na Waziri wa fedha Mhe. Dkt. Mwigulu L. Nchemba anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye hafla ya kukabidhi mitungi ya gesi na majiko kwa mama lishe baba lishe, VEO na WEO. Januari 6,2024
20240107_061259.jpg
 
Mwaka 2025 Mwigulu atakuwa ameharibu sana sana Kuna wapinzani wake ndani ya Chama wamejiandaa kivyote vyote. Wapo ambao watamwaga rushwa na wapo ambao watatumia ndumba. Ndumba za Mwenyekiti wa Halmashauri Mande Kapendo au Innocen Msengi hazitafua dafu. Huyu mwaka 2025 hatoboi labda ateuliwe Ubalozi. Wameshajipanga watu hawawezi kuongozwa na Mbunge mmoja eti miaka 20. Upuuzi kabisa huu!
 
Ndoto za mchana
 
Badala ya kufanya mpango kufuta baadhi ya Tozo kero kwenye mafuta na maeneo mengine yeye anagawa mitungi ya gesi...
 
Mbunge wa Jimbo la Iramba Magharibi na Waziri wa fedha Mhe. Dkt. Mwigulu L. Nchemba anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye hafla ya kukabidhi mitungi ya gesi na majiko kwa mama lishe baba lishe, VEO na WEO. Januari 6,2024
View attachment 2864180
Mwigulu bana wa kumtoa hajapatikana,Mkoa wa Sgd majimbo mengi yanamtaman,Na Icon ya mwigulu inawasumbua saana wabunge wengine wa mkoa wa sgd,Kwa sabb wanalinganishwa nae na amewaaacha mbali,Siasa ya IRAMBA achieni wanyuramba wenyewe,
 
Stieggler ile pale wekeni nguvu pale likamilike haraka muuze umeme kwa bei chee, Gas tunayo yakutosha, wekeni nguvu pia kwenye uzalishaji wa umeme au kuifanya iweze kutumika majumbani

Baada ya hapo unganishieni watu umeme bure halafu mpige marufuku kabisa matumizi ya mkaa mijini na mawilayani kwa kuanzia halafu muone kama kuna mtu atatumia kuni wala mkaa.

Ondoeni kodi kwa makampuni yote yanayouza gas za kupikia na wekeni bei elekezi ya gas pia.

Bei ya umeme kwa mwezi ikiwa chini ya bei ya gunia moja la mkaa kwa mwezi unafikiri nani atatumia mkaa?.
 
Back
Top Bottom