Ili kuleta maendeleo ya kweli,napendekeza yafuatayo:-
1.Tubadilishe mfumo wa ajira ili watu wengi wavutiwe na ajira za kwenye sekta za kilimo,afya na elimu.
Ifike mahala mtu aone kuwa mwanasiasa...
Akitoa neno katisha sherehe ya kumkaribisha kwenye majukumu yake mapya Askofu Malasusa amesema:
"Tuapitia katika nyakati ngumu sana ambazo watu wengi hawapendi kuongozwa, kizazi hiki ni kizazi...
Mjadala wa kitaifa usingepaswa kuwa Dr. Hamisi Kigwangalla amekosea, atoe ushahidi, ataje, hakupaswa kusema alichosema, ana wivu kwa kuwa yeye yuko benchi etc, bali je alichosema ni uongo ama...
Baada ya mwenyekiti wa Chadema taifa kutangaza maandamano ya amani January 24, 2023 ilichukua dakika 40 tu kwa mkuu wa mkoa Dar kujibu maandamano hayo ya CHADEMA. Tena alilazimika kutumia...
Hatimaye Chama cha Demokrasia na Maendeleo kimetambuliwa rasmi kama chama kiongozi na kuagizwa kipewe maelezo kuhusu kila hatua ya maendeleo inayofanyika Nchini Tanzania.
Tuliwahi kuandika humu...
Kwanza nitoe pole kwa kifo cha mchungaji mzee wetu mwaisapila "Babu wa loliondo."
Nije kwenye ajenda husika. Babu wa loliondo aliutangazia umma kuwa kaoteshwa na mungu dawa ya kutibu magonjwa...
Habari JF, ninapoandika hapa ni zaidi ya masaa 12 hakuna umeme .suala la umeme limekuwa ni tatizo kubwa sana maeneo yote, Kazi hazifanyi lakini pia watu wanafanya shughuli zao katika mazingira...
Kwakweli Kwa haya tulioyapitia miaka mitatu inatosha sasa
Hatuwalaumu CCM Kwa huyu raisi tulienae kwa sasa lakini mtatukosea sana kama tutasikia huyu Rais ndio mtaempitisha kama mgombea...
Hayo ameyasema akiwa Wilayani Korogwe.
Sambamba na Hilo, amedai kua alipokuwa mapumzikoni , Sheikh Mkuu Zuberi pamoja na Kadinali Pengo walikua wakimtembelea Mara Kwa mara kumfariji.
GTs,
Kwa maoni ya watanzania walio wengi, Dkt Nchimbi hatoshi kwenye nafasi ya KM wa CCM.
Hii inatokana na kuendesha siasa za miaka ya 1990s na za 2000s ambazo zililenga kulinda kundi la...
Nikiwa kama Mwana Ukonga na mwananchi ninaejua siasa za Ukonga naomba nikiri kwa niaba ya wana Ukonga kuwa tunamuhitaji Jerry kuliko kitu chochote.
Hii ni kwa mustakabali wa maisha yetu, kubali...
Ndugu zangu Watanzania,
Leo ni kishindo ,ni mtetemeko na mateka kwa siasa za Tanzania pale ambapo majabali wawili kutoka ndani ya chama cha Mapinduzi CCM watakapo kwenda kuisimamisha na...
ππ WAZIRI AWESO AMTHIBITISHIA MWENEZI MAKONDA KUWA CHANGAMOTO YA MAJI MUHEZA INAKWENDA KUISHA HIVI KARIBUNI
Waziri wa Maji Ndugu. Juma Aweso amthibitishia Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa...
Unapokuwa na kiongozi wa kidini asiyejali malengo ya Mungu kuwaleta wanadamu Duniani ni hasara kwa kanisa.
Ukimsikiliza Askofu Malasusa na ukifuatilia namna ambavyo amekuwa akitekeleza majukumu...
Hussein Bashe, Waziri wa Kilimo
Kutokana na kuwepo kwa upungufu wa sukari nchini, Serikali imeeleza kuwa mvua za El Nino zinazoendelea kunyesha zimeathiri mfumo mzima wa uvunaji wa miwa na hivyo...
ππ MAKONDA ABAINISHA ZAIDI YA TSH BILIONI 6 ZINATUMIKA KWA MRADI WA UMEME WA JK. NYERERE, KUFIKIA MWEZI MARCH MITAMBO MIKUBWA KUUNGANISHWA
Asema tunakwenda kupata ongezeko la zaidi ya Megawati...
Wana JF kuna jambo hili ambalo binafsi limenishughulisha kitambo. Takwimu za Tume ya Marekebisho ya Katiba zimekuwa zikisimamiwa kidedea mno na kundi moja la kisiasa juu ya kutoafiki usahihi wa...
Ina maana wananchi wameshindwa kuelewa nini Rais wetu anafanya hadi watangaziwe kwenye mabango?
Ina maana raia hawamjui rais wao hadi afanyiwe kampeni kwenye mabango ilihali yupo madarakani...
Samahani, kwa sasa nitakuwa naanza na neno Watu weusi pausua kichwa, tunamatatizo gani? Mbona hatuwezi karibu kila kitu?
Baada ya kutugundua na kujiaminisha kwamba, Watanzania hata uwafanyie...
Ni aibu kwa kiongozi mkubwa wa chama kikuu cha watoa taarifa, CHADEMA, kukosa hoja na kutumia neno KIFO kutishia watu walio kinyume na itikadi yake. Huyu akishika dola si ataua watu wengi sana...