Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

  • Redirect
Taarifa Kwa Umma Waziri Mkuu Kumwakilisha Rais Samia Ufaransa.
0 Reactions
– Replies
– Views
Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Mara Agness Marwa ameendelea kuonesha tabasamu kwa ajili ya wajasiriamali wadogowadogo ili waweze kujikwamua kiuchimi. Mbunge huyo amedhamini wajasiriamali hao...
0 Reactions
0 Replies
70 Views
Anachosema Mbunge Sigrada kwa maneno "Serikali isemeje? Inapambana kuhakikisha wananchi tunaendelea kuwa masikini. Ni political strategy tunaita, yaani mkakati wa kisiasa wa wewe kuendelea kuwa...
7 Reactions
13 Replies
290 Views
  • Redirect
Mkurugenzi Mtendaji Baraza la Mitihani (NECTA) hajaiangusha serikali ya CCM. Hajabutua kapiga mulemule kama walivyofanya Tume Huru ya Uchaguzi ( INEC). Tunasubiri wapigaji wa penati 3 zijazo nao...
4 Reactions
– Replies
– Views
Nawaomba wataalam washeria kuhusu kauli za mbunge huyu wa maswa mashariki anaekili kuwa alitoa psa alizoita ni posho kwa madiwani watatu kwa lengo la kuwapatia wajumbe je hii sio rushwa.
4 Reactions
22 Replies
355 Views
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Mnyika amemtaka aliyekuwa kada wa chama hicho Said Issa Mohammed kufuata taratibu za kikatiba ili kupata suluhu ya uanachama wake...
4 Reactions
12 Replies
271 Views
Mbunge wa Maswa Mashariki, Dkt. George Venance Lugomela, amesema aliwapatia baadhi ya madiwani fedha alizozitaja kuwa ni posho wakati wa mchakato wa kura za maoni za Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
2 Reactions
6 Replies
313 Views
Wakati wa vurugu katiba na sheria vinasimama kufanyakazi kusudiwa. Kwenye vurugu na vita hakuna mwenye haki yake, vyote kwa 100% vinapotea ghafla halafu unabakia utawala binafsi, yarabi nafsi...
2 Reactions
26 Replies
298 Views
Nimeangalia video ya Guest aliyolala aliyekua dereva wa John Heche kwa kweli inaonekana ni ya bei rahisi, binadamu naye anahitaji utulivu na kupumzika hasa baada ya safari ndefu akina John Heche...
5 Reactions
56 Replies
1K Views
Hivi ndivyo hali ya Tanzania inavyoonekana kwa sasa Imefikia mahali wadau wa maendeleo wanahofia usalama wa Raia wao. Hii ni aibu kuu
11 Reactions
45 Replies
1K Views
Ni kwanini uovu wao wanauficha nyuma ya Public Holidays? Je, Malengo yao makuu hua ni kupora wafanyabiashara wanaposheherekea na kukusanyika kwenye maonyesho ya siku kuu yao ya sabasaba nchini...
2 Reactions
8 Replies
131 Views
Wanaukumbi. JWTZ MMESIKIKA NA SAUTI IKO SAWA KABISA YAANI ..📌 JWTZ ambao wanaharakati hasa yule rais wa Hungary Maria Sarungi amekuwa anawahusisha na machafuko na njama za kupindua serikali...
4 Reactions
93 Replies
1K Views
Amani iwe nanyi wakuu: Kama Mtanzania na mwanachama wa CCM, naomba kushauri kwa yanayoendelea nchini kwetu hasa suala la utekaji, ufisadi, na ukandamizaji wa haki za binadamu, Ushauri kwa Vyombo...
13 Reactions
21 Replies
321 Views
Hamjambo! 1. Ingawaje wengi wanakataa hayakuwa mapinduzi. Na serikali haijakiri kwenye ripoti zake. Lakini Mimi Mtibeli nakiri yale yalikuwa mapinduzi yaliyojificha kwenye mwamvuli wa...
10 Reactions
232 Replies
4K Views
Source: X-Twitter Page ya The Chanzo TV ======================= Haya ni baadhi ya maoni ya wachangiaji 👇🏻👇🏻
4 Reactions
9 Replies
348 Views
DeletedMember281674
Kwa taarifa zilizo wazi hadi sasa (2026), hakuna uthibitisho rasmi wa serikali ya Tanzania unaosema kutakuwa na maandamano ya tarehe 7 Julai 2026. Hata hivyo, kinachoonekana kwenye mitandao ni...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, ACP Gallus Hyera, amewataka wananchi kuendelea na shughuli zao za kila siku bila hofu, akiwahakikishia kuwa vyombo vya ulinzi na usalama vimejipanga kikamilifu...
1 Reactions
5 Replies
137 Views
Mbunge wa Viti Maalum mkoani Njombe kupitia chama cha CHAUMMA, Sigrada Wilhem Mligo, amefunguka kuhusu changamoto zinazovikabili vyama vya upinzani nchini, akidai kuwa kuna njama za makusudi...
1 Reactions
2 Replies
177 Views
Sasa Waandamanaji wamegeuka wauaji hata kabla ya maandamano. Kwamba Jeshi limeshaanza kuwakamata Wanaofanya mipango hiyo ya kuua Viongozi wa Serikali. Jeshi la Polisi Tanzania limesema...
1 Reactions
29 Replies
980 Views
Back
Top Bottom