Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,640
- 164,788
Taarifa hii ni kwa mujibu wa Hilder Newton kupitia mtandao wa X
Tarehe 11 ni alhamis kuelekea weekend, kweli kupotezeana mudaWanampotezea muda tu!
Hii ni danganya toto wanatupotezea muda tu. Mimi nasubiri viongozi wangu watutangazie maandamano tu basi.Taarifa hii ni kwa mujibu wa Hilder Newton kupitia mtandao wa X
Si vibaya.Ni njia nzuri ya kuwakomaza wapenda haki na kuwatia usugu wa kutumia nguvu na mbinu stahiki kupata madai yao.Itajibu tu.Tarehe 11 ni alhamis kuelekea weekend, kweli kupotezeana muda
Halafu wala hawana aibuKwenye kesi ya Lissu serikali inatia aibu mpaka basi. Jamaa amewaburuza mwanzo mwisho.