Done your proper research?! Kingereza cha ugoko cha Bashite

Done your proper research?! Kingereza cha ugoko cha Bashite

Hiyo lugha sio yetu , kinachoshangaza upo busy kumkosoa mtu kwa lugha ambayo sio asilia yake.
Usomi sio kujua kiingereza.
Tazama china, tazama India, Pakistan, Japan ENGLISH wanayoiongea ni mbovu sana ila.....
Ungekaa kimya, ni busara pia.

Fananisha pia hatua za maendeleo ya nchi ulizozitaja na nchi yako.

Unaongozwa na vilaza na hautaki kukubali.
 
Hilo swali mtafute umuulize yeye.
Mimi nimezungumzia watu kucheka Broken yake ova.
Lazima uchekwe kama una degree ya Tanzania halafu unaongea Kingereza broken tena ukiwa katika nafasi ya waziri, inatakiwa hata afungwe kabisa kwa kuaibisha nchi, vinginevyo azungumze Kiswahili awe na mkalimani wa kutafsiri kwa Kingereza.
 
Bro huna hoja.
UDSM , UDOM , SAUT pemajaa wahadhiri Wahindi kwenye department za sayansi unajua kwanini?
KUchekwa anachekwa kila mtu.
 
Lazima uchekwe kama una degree ya Tanzania halafu unaongea Kingereza broken tena ukiwa katika nafasi ya waziri, inatakiwa hata afungwe kabisa kwa kuaibisha nchi, vinginevyo azungumze Kiswahili awe na mkalimani wa kutafsiri kwa Kingereza.
Kwanini mtu akiongea kiswahili kibovu na ni mswahili kabisa huwa hatumcheki?
 
Hakuna Mswahili anayeongea kiswahili kibovu, ishu ni lahaja na accent zaidi, labda na baadhi ya wapuuzi wanaoingiza swaga za hapa na pale kama siku hizi wanvyosema mziki badala ya muziki au kujiamlia badala ya kujiamulia.
Hizo unazoita wewe swaga sio swaga bali ndivyo wanavyoongea kiswahili na ukiongeza na tatizo la R na L. Makosa mengine yanayofanyika kwenye kiswahili hata hatujui kama ni makosa.
 
Back
Top Bottom