Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa anakubalika Duniani kote kuanzia Marekani mpaka Ulaya, Anaaminika kuanzia Ulaya mpaka Asia ,Anaungwa Mkono kuanzia Asia mpaka Afrika. Anafanya kazi na...
Asili ya TISS ( Usalama wa Taifa) pamoja na mambo mengine ni CCM. Wanaosema TISS asili yake ni Special Branch ya zama kabla ya CCM kuundwa wanaupotosha ukweli.
Baada ya kuundwa kwa CCM, vyombo...
Ukimsikiliza huyu jamaa wakuitwa Prosper Mbuba utadhani kama anamwaga sifa za kichawa kwa Makonda au Serikali lakini kiuhalisia ni anafanya mzaha wa kebehi kabisaa
Yani amezungumza ujio wa Rio...
Katika siasa za kidemokrasia, uwepo wa upinzani si hisani kwa chama tawala bali ni sehemu ya mfumo wenyewe. Ndiyo maana swali la “ikiwa Chadema itadhoofika au kufa, CCM itabaki salama?” lina uzito...
Kama kuna mtu binafsi aliewahi kuathirika na vikwazo vya Marekani au kama kuna taifa lililowahi kutikisika kwasababu tu ya vikwazo vya Marekani, litaje.
Ile hua ni danganya toto tu ya kuwaplease...
Former England and Manchester United footballer Rio Ferdinand was widely criticised for a May 2026 trip to Tanzania, with campaigners accusing him of "sportswashing" for the government. [1]
The...
Mbunge Ado Shaibu amesema akichangia Bungeni leo, Mei 19, 2026 amesema kuwa kati ya vitu ambavyo Jeshi linapaswa kuvilinda sana ni kutojihusidha na Siasa.
Hayo ameyasema akiwa Bungeni wakati...
Maofisa habari wa taasisi za Serikali na binafsi nchini wametakiwa kutojitenga na mfumo wa usajili wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) kwa kigezo cha kuwa watumishi wa taasisi hizo...
Wakuu,
Inawezekana kabisa Serikali, Polisi, Usalama wa Taifa na CCM hawahusiki kabisa kabisa kwenye matukio ya utekaji, they have no idea nani anatenda matukio haya na kuwachafua, lakini...
Mwaka jana 2025 alisimama bungeni kuitangazia Dunia kuwa Samia amemmwagia mabilioni kedekede kwaajili ya ujenzi wa barabara nk, kwahio (hamdai Samia) mbunge huyo huyo jana 21 Mei, 2026 kasimama...
Sheikh Ponda Issa Ponda akizungumza katika kipindi cha Kasri cha Crown FM amesema Tume ya Jaji Chande ilipaswa kuweka wazi iwapo mauaji yaliyotokea Oktoba 29 yalikuwa halali au ya jinai, pamoja na...
Ndugu zangu watanzania,
Wiki iliyopita niliumia sana kuona mkutano wa CHADEMA kule kanda ya ziwa ukigeuka jukwaa la kuwatukana, kuwadhalilisha,kuwatweza na kuwavunjia heshima askari wetu ambao...
Wakili Peter Madeleka amesema amesema "Taifa limekwama kabisa katika namna ambayo haijawahi kutokea tangu tupate uhuru. Mkwamo ni kwamba... mkwamo unasababishwa na uongozi mbovu.
Kwa sababu ili...
Rio Ferdinand anatuhumiwa anatumika kufanya sportswashing kusafisha na kuyafanya mauaji ya Oct/29 kua halali kwa kupitia michezo naona mijadala imeanza huko times pia wamepost
Reddit watu...
Ni wazi, huenda kinachochochea sarakasi na drama zinazoendelea ndani ya CHADEMA ni mapambano na vita vya kupindua na kunyakua mamlaka ya kitaifa ya chama hicho, kutokana na muonekano wa hali ya...
Adai Yeye atagombea Urais 2030 na kipaumbele Chake ni Kutokomeza Rushwa.
Huyu ni Bilionea, ambaye anaumizwa na Rushwa.
Unfortunately tunaye mwanamke wa kizanzibar, Yéye anawaambia Wala Rushwa...
Ni wazi sasa kiongozi wa watekaji anaitwa Mafwete ambaye ni Polisi na yeye ndiye aliyeenda kumchukua Polepole eti leo anasema anafanya msako wa kutafuta na kubaini walio mshambulia msaidizi wa...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi Mei 19, 2026 imemuachilia huru kwa kumfutia KESI ya UHAINI Mchungaji Godfrey Malisa, kwa masharti kwamba asifanye kosa ndani ya Miezi 12.
Picha hii imeboreshwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.