Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa siku kadhaa sasa, kumekuwa na taswira isiyo ya kawaida katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam. Katika makutano mengi ya barabara na maeneo muhimu, wameonekana askari wa Jeshi la...
2 Reactions
12 Replies
211 Views
  • Redirect
Akizungumza Msibani wa Dereva wa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Leo Julai 5, 2026, Mwenyekiti wa chama hicho kwa Jimbo la Tarime Mjini, Bashiri Abdallah Selemani...
0 Reactions
– Replies
– Views
Wakati mwingine huwa siwaelewi CCM wanaposema maandamano ni jambo baya. Au hawajui maandamano ni kitu gani! Kuandamana ni mfuatano wa watu mmoja akimfuata mwingine. Sasa ubaya wa CHADEMA...
4 Reactions
6 Replies
158 Views
Mbunge wa Jimbo la Ludewa mkoani Njombe Joseph Kamonga, amesema wakazi wa Ludewa wameendelea kuweka juhudi kwenye kilimo hususani cha mahindi na kuiomba Serikali kuendelea kufikisha fedha kwenye...
0 Reactions
0 Replies
76 Views
Je, Wamepotoka au kughafilika, na kwahivyo ni busara waungamishwe na kutubu mbele ya waTanzania? Unadhani mihemko yao, matusi yao, uropokaji wao, uongo wao na uzushi wao dhidi ya wenye mawazo au...
-1 Reactions
7 Replies
162 Views
Mwigulu hivi kweli wewe usomi wako ulitokana na Akili KICHWAN? Au baada ya kua Mwanaccm, ukafahaamika, Wakufunzi wako wakaamua kua wanakufaulisha na kukuuzia Ufaulu?. Matendo na Kauli zako mbona...
2 Reactions
9 Replies
164 Views
Kuna siku nilichaguliwa na Familia kwenda Mochari kuosha Mwili wa ndugu yangu, hakika ilikuwa kazi ilinipa wakati mgumu. Hata chumba cha Mochwari hakijafunguliwa lakini macho yashakuwa mekundu kwa...
9 Reactions
25 Replies
677 Views
Habari za Sabato! Nimemsikia Polepole kwa undani kabisa. Kitu anachokifanya sikukielewa mapema lakini kwa hotuba yake ya leo nimeona mbegu anayoipanda imelenga kuotea wapi na kuzaa kitu gani Ni...
58 Reactions
217 Replies
12K Views
Wanabodi, Jumapili ya leo, niko hapa ukumbi wa hotel ya Peackock jijini Dar es Salaam, kuwaripotia live, Kikao Kazi Kati ya Wizara ya Nishati, TBPA, TPDC na Jukwaa la Wahariri, TEF, Kujadili...
2 Reactions
22 Replies
405 Views
Najua habari hii imewauma sana makamanda ninawafahamu wa JWTZ! Najua habari hii imemuua sana kamanda Luteni Generali Mstaafu Mwakibolwa. Najua habari hii imemsononesha sana General Mstaafu Davis...
41 Reactions
813 Replies
43K Views
  • Redirect
Hili jeshi sasa rasmi limewekwa mfukoni na ccm. Hili ndo peke yake ilikua limebakiza heshima ya inchi. Sasa rasmi wanaimba wimbo wa ccm. Imagine wanaimba vitisho dhidi wanainchi wanaotaka...
1 Reactions
– Replies
– Views
Shekhe Mwaipopo kaongea maneno ya uchochezi wazi wazi kila mtu ameona lakini bado yuko uraiani anadunda tu. Je, haya maongezi angekua ameongea mtu mwingine mlengo mwingine angekua bado yuko...
3 Reactions
65 Replies
1K Views
SERIKALI KUKAMILISHA MCHAKATO WA KUUNDA HALMASHAURI YA MWIBARA Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali itakamilisha mchakato wa kuunda Halmashauri ya Mwibara ili kusogeza huduma za...
0 Reactions
1 Replies
118 Views
WAZIRI MKUU AZINDUA SHULE YA MSINGI KASOMA Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo (Julai 4, 2026) amezindua Shule ya Msingi Kasoma, Halmashauri ya Wilaya ya Musoma, mkoani Mara, na kuipongeza...
0 Reactions
3 Replies
85 Views
Naomba msaada juu ya hili swali maana linanichanganya.👇
4 Reactions
46 Replies
682 Views
Kama ni kweli kama ninavyosoma kwenye mitandao kuwa kuna maandamano yanapangwa kufanyika tarehe 7/7 basi nashauri viongozi wa maandamano na Serikali wafanye yafuatayo;- A:Viongozi wa...
20 Reactions
88 Replies
2K Views
Muda mrefu kabla ya uchaguzi wa urais wa Tanzania wa Oktoba 2025 kufanyika, vyombo vya habari vya Magharibi vilikuwa tayari vimejenga simulizi kwamba Rais Samia Suluhu Hassan angeshinda uchaguzi...
7 Reactions
22 Replies
511 Views
Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), kwa sauti moja, imepitisha azimio la kumvua madaraka na kumsimamisha mara moja aliyekuwa Katibu Mkuu na mgombea wao wa Urais mwaka...
16 Reactions
51 Replies
1K Views
Ndugu na marafiki wamefuatilia kila kona na vituo vya polisi vyote lakini hakuna alimkuta. Maswali mengi yanaulizwa kuwa ni nani aliyemteka na kumpoteza. Je, alikuwa na uhasama na watu? Maana...
1 Reactions
5 Replies
178 Views
Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Steven Kimondo, amefichua kuwa kuendelea kwa matukio ya utekaji wa raia nchini ni mkakati wa makusudi unaoratibiwa ili kuwatia hofu...
4 Reactions
8 Replies
142 Views
Back
Top Bottom