Machawa wakusanyika kwenye Comments za Rio Ferdinand

Club Mate

Member
Joined
Aug 1, 2025
Posts
25
Reaction score
86
Screenshot_2026-05-21-13-43-10-326_com.instagram.android~2.jpg

"Wizara ya Amani inajishughulisha na vita, Wizara ya Ukweli na uongo, Wizara ya Upendo na mateso, na Wizara ya Utele na njaa. Mikinzano hii si ya bahati mbaya, wala haitokani na unafiki wa kawaida: ni matendo ya makusudi ya fikra maradufu."

George Orwell, Kitabu cha "1984"
 
View attachment 3592246

Rio Fernand ukweli anaujua hao wanapoteza time tu
 
View attachment 3592246

"Wizara ya Amani inajishughulisha na vita, Wizara ya Ukweli na uongo, Wizara ya Upendo na mateso, na Wizara ya Utele na njaa. Mikinzano hii si ya bahati mbaya, wala haitokani na unafiki wa kawaida: ni matendo ya makusudi ya fikra maradufu."

George Orwell, Kitabu cha "1984"
Mbona miandiko hiyo yote ya waliocomment hapo inafanana na ni ya AI.

Au na huko huwa kuna watu wana IDs zaidi ya 10 kama ndugu yetu humu jukwaani?

adriz wewe ni mwanakondoo
 
Mbona minyumbu mmekusanyika tele. Halafu, nyie mashetani, uliona lile kundi la watu walioenda kumpokea?!!!! Watu wanaompenda Samia wapo kibao isipokuwa tu wanawapotezea sababu hamna athari yoyote....malofa tu.
 
FB_IMG_1748360197313.jpg
 
Back
Top Bottom