Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Maxence Melo Kama inawezekana, uwekeeni pin huu uzi ili uweze kubaki juu wakati wote. Ndugu wana diaspora wa Kitanzania, hususan kwenye nchi za Ulaya Magharibi, Scandinavia, Marekani, Canada, na...
35 Reactions
35 Replies
574 Views
Hamjambo wote! Bado natazama mambo kama yalivyo. Je wanaharakati wamekataa tamaa? Je watu wamekataa tamaa ya mapambano? Au wameogopa, wanahofu kutokana na vitisho vya vyombo vya Dola. Mitaani...
5 Reactions
31 Replies
596 Views
Mbunge Sigrada amesema kuwa Tanzania kwa sasa inaendeshwa kwa utawala wa matamko badala ya utawala wa sheria, akisisitiza kuwa misingi ya kisheria ndiyo inapaswa kuongoza maamuzi na utendaji wa...
1 Reactions
0 Replies
73 Views
Mbunge wa Viti Maalum mkoani Njombe kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Sigrada Wilhem Mligo, ameelezea kuumizwa na matukio yaliyojitokeza wakati wa uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, akitaja...
1 Reactions
10 Replies
225 Views
Paul Makonda na Serikali yake Wamefungia Maandamano Tanzania, lakini ajabu ameenda kuandamana Nchi ya watu tena kapewa Ulinzi. Aliandama huku akitabasamu akifurahia kuandamana. Annatumia...
6 Reactions
28 Replies
795 Views
Sio kwa hawa tu waliokamatwa bali hiki kizazi hata kwenye vyuo vikuu vyote kwa sasa hivi wanatumia Ai kwa kila kitu. Iwe assignment na hata mitihani. Soma Kidato cha 6 wakamatwa wakitumia...
1 Reactions
11 Replies
165 Views
Mmoja wa wananchi waliopata kuongea mbele ya Waziri Mkuu, leo Julai 04, 2026, katika kijiji cha Suguti-Musoma Vijijini, ameeleza kuwa Mwenyekiti wao hakuchaguliwa kwa kura na kuomba serikali ya...
0 Reactions
1 Replies
76 Views
Huyu kwenye picha anaitwa Pendo Kileo ni Mwanachama wa CHADEMA kutoka Kata ya Chamazi.Juzi alitoa taarifa Polisi kituo cha Polisi Chamazi kwamba kuna watu walitaka kumteka, akawambia Polisi kwamba...
5 Reactions
22 Replies
668 Views
Mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye amewahi kuwa Mwenyekiti wa chama hicho Wilaya ya Mwanga, Mchome Lemburus, ameiomba Serikali na mamlaka husika kumuachia Mwenyekiti...
1 Reactions
15 Replies
338 Views
Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu , amesema si sahihi kulinganisha Bunge la sasa na Mabunge yaliyopita kwa kuzingatia ukubwa wa mijadala pekee. Akizungumza na Wahariri wa Vyombo vya Habari leo...
1 Reactions
67 Replies
1K Views
Katika ulimwengu wa sasa unaobadilika kwa kasi ya ajabu, usalama wa taifa hautegemei tu idadi ya watumishi au zana za kivita, bali unategemea ufanisi, weledi, na wepesi wa Idara za Kijasusi na...
4 Reactions
6 Replies
233 Views
Kesi ya Mgawanyo wa Rasilimali za CHADEMA iliyofunguliwa na Said Issa Mohammed na Ahmed Rashid dhidi ya Bodi ya Wadhamini wa chama hicho na Katibu Mkuu imeahirishwa mpaka Agosti 5, 2026. Taarifa...
1 Reactions
7 Replies
165 Views
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu amepandishwa kizimbani katika Mahakama kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam leo Ijumaa Julai 3, 2026, ambapo anatarajiwa...
6 Reactions
54 Replies
1K Views
  • Redirect
Taarifa Kwa Umma Waziri Mkuu Kumwakilisha Rais Samia Ufaransa.
0 Reactions
– Replies
– Views
Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Mara Agness Marwa ameendelea kuonesha tabasamu kwa ajili ya wajasiriamali wadogowadogo ili waweze kujikwamua kiuchimi. Mbunge huyo amedhamini wajasiriamali hao...
0 Reactions
0 Replies
70 Views
Anachosema Mbunge Sigrada kwa maneno "Serikali isemeje? Inapambana kuhakikisha wananchi tunaendelea kuwa masikini. Ni political strategy tunaita, yaani mkakati wa kisiasa wa wewe kuendelea kuwa...
7 Reactions
13 Replies
290 Views
  • Redirect
Mkurugenzi Mtendaji Baraza la Mitihani (NECTA) hajaiangusha serikali ya CCM. Hajabutua kapiga mulemule kama walivyofanya Tume Huru ya Uchaguzi ( INEC). Tunasubiri wapigaji wa penati 3 zijazo nao...
4 Reactions
– Replies
– Views
Nawaomba wataalam washeria kuhusu kauli za mbunge huyu wa maswa mashariki anaekili kuwa alitoa psa alizoita ni posho kwa madiwani watatu kwa lengo la kuwapatia wajumbe je hii sio rushwa.
4 Reactions
22 Replies
355 Views
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Mnyika amemtaka aliyekuwa kada wa chama hicho Said Issa Mohammed kufuata taratibu za kikatiba ili kupata suluhu ya uanachama wake...
4 Reactions
12 Replies
271 Views
Mbunge wa Maswa Mashariki, Dkt. George Venance Lugomela, amesema aliwapatia baadhi ya madiwani fedha alizozitaja kuwa ni posho wakati wa mchakato wa kura za maoni za Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
2 Reactions
6 Replies
313 Views
Back
Top Bottom