GenZ: CCM hakina tofauti na kikundi cha kigaidi cha HAMAS, kinafadhili vikundi vya kigaidi, dunia ikipige marufuku

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
24,948
Reaction score
59,635
Chama cha Mapinduzi CCM kimeanzisha, kinafadhili, kuendesha, na kulinda vikundi vyenye silaha nchini chini ya tawi lake la vijana UVCCM. Makundi haya yanatumika kuendesha utekaji, mateso kwa Watanzania wasio na hatia.

CCM kupitia vikundi hivi vya kigaidi kinawanyanyasa na kuwateka viongozi wa dini hasa wakristo.

Dunia kupitia jumuia zake inapaswa kukiangalia kwa karibu chama hiki kilichojigeuza kuwa cha kigaidi kwa mgongo wa siasa,

Dunia ichukue hatua mara moja kukipiga marufuku na kuwafungulia mashitaka uongozi wake na wote wanaojihusisha na vitendo vyake vya kigaidi, hakina tofauti na kikundi cha kigaidi cha Hamas cha Palestina.

G8HlbIiXUAEM8RP.jpg
 
Dunia ichukue hatua mara moja kukipiga marufuku na kuwafungulia mashitaka uongozi wake na wote wanaojihusisha na vitendo vyake vya kigaidi, hakina tofauti na kikundi cha kigaidi cha Hamas.

View attachment 3515470
Very true
 
Very very true. CCM kwa sasa ni kundi la kigaidi ambalo, kama Dunia inauchukia kwa dhati ugaidi, CCM inatakiwa kutambulika rasmi kama kikundi cha kigaidi, kinachowateka na kuwaua watu ili kuwatisha wananchi wasihoji maharamia walioteka mamlaka ya wananchi, wakapora uongozi kwa mtutu wa bunduki. Watu waliojipa uongozi kwa njia za kigaidi ili waendelee kudhulumu haki za watu. Ni hili kundi la kigaidi la CCM ndiyo limeweka na sheria za kuwalinda wauaji wasishtakiwe hata kama wakifanya uovu wa kiwango chochote.
 
GEN Z wamejipanga, vijana wanakutana Zambia huku mama yeye kajifungia Nkuhungu Dodoma huko
 
Chama cha Mapinduzi CCM kimeanzisha, kinafadhili, kuendesha, na kulinda vikundi vyenye silaha nchini chini ya tawi lake la vijana UVCCM. Makundi haya yanatumika kuendesha utekaji, mateso kwa Watanzania wasio na hatia.

CCM kupitia vikundi hivi vya kigaidi kinawanyanyasa na kuwateka viongozi wa dini hasa wakristo.

Dunia kupitia jumuia zake inapaswa kukiangalia kwa karibu chama hiki kilichojigeuza kuwa cha kigaidi kwa mgongo wa siasa,

Dunia ichukue hatua mara moja kukipiga marufuku na kuwafungulia mashitaka uongozi wake na wote wanaojihusisha na vitendo vyake vya kigaidi, hakina tofauti na kikundi cha kigaidi cha Hamas cha Palestina.

View attachment 3515470
ROSTAM AZIZI ROSTAM AZIZI ..ABDUL ABDUL
 
Attachments

  • Screenshot_20230930-090635_Samsung Internet.jpg
    Screenshot_20230930-090635_Samsung Internet.jpg
    190.1 KB · Views: 22
  • Screenshot_20230930-090531_Samsung Internet.jpg
    Screenshot_20230930-090531_Samsung Internet.jpg
    194.5 KB · Views: 19
  • Screenshot_20230930-090520_Samsung Internet.jpg
    Screenshot_20230930-090520_Samsung Internet.jpg
    200.1 KB · Views: 25
Hii ni kweli ccm imeuwa na kuteka watu wengi sana. Hakuna tofauti kati ya ccm na hizbolaa au Hamas au iss
KUNA MFUMO WA KIGAIDI WA KIDINI UNAJENGEKA NDANI YA CCM KWA UFADHIRI WA WAARABU WAISLAMU.
 
Chama cha Mapinduzi CCM kimeanzisha, kinafadhili, kuendesha, na kulinda vikundi vyenye silaha nchini chini ya tawi lake la vijana UVCCM. Makundi haya yanatumika kuendesha utekaji, mateso kwa Watanzania wasio na hatia.

CCM kupitia vikundi hivi vya kigaidi kinawanyanyasa na kuwateka viongozi wa dini hasa wakristo.

Dunia kupitia jumuia zake inapaswa kukiangalia kwa karibu chama hiki kilichojigeuza kuwa cha kigaidi kwa mgongo wa siasa,

Dunia ichukue hatua mara moja kukipiga marufuku na kuwafungulia mashitaka uongozi wake na wote wanaojihusisha na vitendo vyake vya kigaidi, hakina tofauti na kikundi cha kigaidi cha Hamas cha Palestina.

View attachment 3515470
Hamas sio magaidi,fanya utafiti mzuri kabla ya kuandika kitu
 
Kikundi cha Hamas kimejificha kwenye mgongo wa kuwapigania wapelestina lkn ukichunguza matendo yake ni ya kigaidi. Kinafadhili vikundi vya kigaidi kama CCM inavyofanya.
 
Back
Top Bottom