Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nidhamu ya watumishi wa umma iliimalika. Wakafanya kazi kwa uadilifu na uzembe ukadhibitiwa. Wezi mali za umma kupitia miradi ya umma wakadhibitiwa. Mataifa yote ya Afrika yakatamani yawe na...
3 Reactions
3 Replies
112 Views
Mwenyekiti wa CHADEMA Jimbo la Tarime Mjini, Ndugu Bashiri Abdallah amesema kuwa amepata taarifa kuwa 'Wasiojulikana' wapo hapa kwenye mazishi ya Suezi, hii ni Tarime, ukija hautoki Soma pia...
8 Reactions
19 Replies
699 Views
Akiongea katika kipindi cha Jambo Asubuhi, Mwandishi Pascal Mayalla amesema Tanzania kuna tatizo kubwa la tafsiri ya sheria, hata kwenye Mihimili mitatu ya dola.
14 Reactions
30 Replies
2K Views
Je, Kilio cha Haki Kitasikika? Inaonekana ukosefu wa haki umeenea kila mahali. Fikiria mifano miwili ya watu waliohukumiwa isivyo haki: Mnamo Januari 2018, hakimu nchini Marekani aliamuru...
1 Reactions
7 Replies
142 Views
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania nini kimewasibu? Wanatumia salaam za Chama cha Mapinduzi za Kazi na Utu. Halafu wanalazimisha baadhi ya vyombo vya habari vikate hicho kipande cha Salaam...
8 Reactions
61 Replies
1K Views
Wanabodi, Karibu kwenye matangazo haya Live from viwanja vya 77 Kilwa Rd jijini DSM, kuwaletea ufunguzi rasmi wa maonyesho haya ya 50 ya DITF, mgeni rasmi ni rais wa Msumbiji akiandamana na...
5 Reactions
54 Replies
831 Views
Ndio napanda kwenye jukwaa title kama ilivyotumwa kwenye laini yangu ya halotel. Vip huko nyie mmetumiwa nini?? Tuambatanishe na kapicha kama kapo. JOTO LA MAANDAMANO NI KALI
1 Reactions
12 Replies
102 Views
Hivi vikundi maalumu vya kijeshi visivyo rasmi vinavyo tumika kulinda mamlaka kwa njia yoyote ni hatari sana tena zaidi ya hatari. Huko tuendako kama nchi ni hatari hivi vikundi vikiendelea...
16 Reactions
25 Replies
393 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma limesema kuwa majukumu ya ulinzi na usalama wa rai na mali zao ni jukumu lao na sio kikundi cha watu Akizungumza wakati akihojiwa Jambo Tv, Kamanda wa Polisi Mkoa...
0 Reactions
12 Replies
278 Views
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesema imefanikiwa kukabiliana na uhaba wa mafuta Nchini ambao ungetokea kufuatia vita vya Mashariki ya Kati vilivyopelekea kuadimika kwa bidhaa hiyo...
1 Reactions
14 Replies
251 Views
Katika miaka ya hivi karibuni watawala wa nchi hii wamezidi kushusha hadhi ya jeshi letu pendwa lililojijengea heshima kubwa kwa miaka mingi Kwa miaka niliyonayo nimekua na kuona namna JWTZ...
6 Reactions
13 Replies
253 Views
Leo nikuweka Post inayohusu HAKI kwenye Bibilia kwa makusudi na nia ovu mkaiondoa, Bibilia si kitabu cha uchochezi kama mnavyodhani, ni kitabu Kitakatifu hivyo nukuu zake lazima ziheshimike kama...
3 Reactions
15 Replies
164 Views
Kwanza mjue cheo ni dhamana kubwa hata unapotolewa unaumia, Mwigulu ni mtu aliyekulia mazingira magumu sana na anajua matatizo muhimu ya watanzania kwa kuyaishi, wakati Nape kakulia kwenye...
13 Reactions
98 Replies
13K Views
Maneno anayosema Mbunge wa Viti Maalumu, Sigrada Mligo, kwenye video kwa maandishi Sigrada- "Mmeona wabunge huko wana wanakutana wanajadili mafuta? Yaani wako siriasi kuwasemea wananchi kuhusu...
7 Reactions
10 Replies
421 Views
CCM inatumia kila njia kuua uandishi asilia (conventional journalism) ili isikosolewe hadharani na habari mbaya kuwahusu zisiwafikie watanzania. Na CCM kwa upotofu wao hutumia mfano wa China kama...
10 Reactions
25 Replies
329 Views
  • Poll Poll
Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2030 unahitaji viongozi wenye kuendeleza maono, uadilifu na uwezo wa kuendeleza maendeleo ya Taifa ili kufanikisha malengo ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, hususan katika...
5 Reactions
143 Replies
2K Views
Leo Julai 1, 2026 majira ya saa 10:00 asubuhi, Jeshi la Polisi Mkoa wa Kigoma limepokea taarifa kutoka kwa Ndugu Mrimi Zabron Mwita, mkazi wa Sirari na Katibu wa Mheshimiwa John Heche, kuwa...
1 Reactions
47 Replies
1K Views
Tarehe 30 Juni 2026, Ikulu ya Dar es Salaam ilishuhudia hafla ya kila mwaka ya upokeaji wa gawio na michango ya taasisi za umma. Miongoni mwa waliopanda jukwaani ni Mamlaka ya Vitambulisho vya...
11 Reactions
83 Replies
2K Views
Tanzania haijabaki nyuma katika diplomasia hii muhimu.
3 Reactions
5 Replies
226 Views
Back
Top Bottom