Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema amemtaka Katibu mkuu wa UWT Jokate Mwegelo kutowabagua Wananchi. Lema amesema ni upumbavu kushawishi Watu kuchaguana kwa Vigezo Vya Jinsia...
20 Reactions
126 Replies
8K Views
Mimi ni mpenzi wa harakati za Jenerali Ulimwengu katika utetezi wake wa demokrasia, utawala bora na haki za binadamu. Ninachofurahia kuhusu yeye ni kuwa katika kipindi ambacho wengi walinywea na...
0 Reactions
2 Replies
772 Views
{Hapa tunaongea kama wana ilimradi ujumbe ufike}Waziri husika na serikali yako kwanza gharama ya uingizaji umeme kwenye majumba ya wananchi wenu ni kubwa, hasa mijini tsh 321,000/= si pesa haba...
8 Reactions
29 Replies
1K Views
Kushinda uchaguzi sio kigezo kuwa unakubalika. Kiongozi madhubuti hukubalika kwa kulinda rasilimali za taifa lake, kutetea raia wasionewe hovyo na kudhibiti dhulma.Pia Kudhibiti ufisadi. Kura...
5 Reactions
25 Replies
2K Views
Wahenga walisema Kwa 'shujaa uenda kilio ila Kwa mwoga huenda kicheko' ,huu msemo unaweza kutumika kuelezea Kwa kirefu maisha ya vyama vya siasa vya upinzani Tanzania. Kwa mtazamo wangu kulingana...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Hayati Magufuli asingeweza kufanya kazi na tapeli hata siku moja. Hayati Magufuli asingeweza kufanya kazi na mbabaishaji hata siku Moja. Hayati Magufuli alikuwa smart na straight forward...
18 Reactions
41 Replies
3K Views
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amekimbilia Mahakama Kuu Divisheni ya Kazi kuinusuru nyumba iliyokamatwa kwa amri ya Mahakama ili kulipa Sh. Milioni 62.7 za mishahara ya Waandishi wa Habari...
5 Reactions
43 Replies
6K Views
Tanzania Tanzania nakupenda kwa moyo wote. Nchi yangu Tanzania jina lako ni Tamu Sana. Huyu Jamaa aliachia nafasi yake ya chama kwa skendo za fedheha kwa nchi. Chama kikasema kinachunguza na...
5 Reactions
13 Replies
2K Views
Tarehe 06 Machi, 2024, Baraza la Kimataifa la Biashara (International Chamber of Commerce-ICC) limetoa uamuzi wake na kuipa Serikali ushindi katika Shauri la Usuluhishi Na. 2682/AZO baina ya...
6 Reactions
27 Replies
3K Views
Salaam, Shalom!! Tumeona maandamano katika majiji ya Dar es Salaam, Mbeya, Arusha na Mwanza. Nia ya maandamano ni kuamsha umma kudai HAKI zao na kushinikiza Serikali kupunguza Kodi Ili kuondoa...
8 Reactions
18 Replies
1K Views
CHATANDA KUCHANGIA MIFUKO 50 YA CEMENT NA PESA MILIONI MOJA GEREZA LA MBOZI - SONGWE Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Tanzania Cde Mary Pius Chatanda( MCC) ameahidi kuchangia mifuko 50 ya...
1 Reactions
1 Replies
572 Views
Habari, Kumekuwa na propaganda zinaendeshwa kuhusu hayati John Pombe Magufuli, kuwa eti aliiba na kupora uchaguzi, propaganda hizi mpk na viongozi waandamimizi wa CCM, waliokuwa na jukumu la...
1 Reactions
6 Replies
574 Views
Kwa mara ya kwanza hatutasahau unaamka asubuhi unaingia mtandaoni lakini inashindikana, unaangalia bando sina au , unauliza salio full bando ,unajiuliza hivi hii simu yangu imeharibika nataka...
6 Reactions
30 Replies
1K Views
Wajumbe, aliyekuwa Rais wa JMT Dk. John Pombe Magufuli alifariki tarehe 17/3/2021 hapo Mzena kisha Samia Suluhu Hassan kutangaza kifo chake saa 5:57 usiku "akiwa ziarani Tanga". Baada ya hapo...
1 Reactions
84 Replies
4K Views
Mwamba wa siasa za eneo la Maziwa Makuu, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema ya Nchini Tanzania, Freeman Mbowe, atahutubia Dunia kwenye kilele cha siku ya Wanawake Duniani katika maadhimisho...
4 Reactions
29 Replies
2K Views
Yuko wapi Danniel Chongolo aliyekuwa katibu mkuu wa CCM?
2 Reactions
36 Replies
3K Views
Kimsingi kuongoza vyama vya upinzani nyakati hizi za Ukoloni Mambo Leo Siyo jambo jepesi ni jambo hatarishi kwa mabeberu na Mafisadi Uchwara wenye ngozi nyeusi Niwatie Moyo Bawacha kwenye hii...
9 Reactions
25 Replies
1K Views
Ile Taasisi Bora ya akina mama Barani Africa ( BAWACHA), Leo imeandaa kongamano la wanawake ambalo kidunia linafanyika Dodoma, lengo la jambo hili ni kutathmini mchango wa mwanamke, kisiasa...
22 Reactions
127 Replies
7K Views
Ado Shaibu: Aweka Wazi Wajumbe wa Sekretarieti ya ACT-Wazalendo. UTANGULIZI Jana tarehe 7 Machi 2024, Halmashauri Kuu ya Chama ya Chama cha ACT Wazalendo ilikutana kwenye kikao chake maalum...
4 Reactions
22 Replies
3K Views
Imepita miaka kadhaa wakati wa awamu ya 5 ya JMT iliyoongozwa na Hatari Magufuli ambapo Hayati alikuwa amedhamiria kumuondosha kwenye nafasi Mkurugenzi wa Manispaa ya Kahama kwa matumizi mabaya ya...
5 Reactions
21 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…