Lema amshukia Jokate kama mwewe, asema hatuchagui kwa Jinsia, Dini au Kabila

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,978
141,994
Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema amemtaka Katibu mkuu wa UWT Jokate Mwegelo kutowabagua Wananchi.

Lema amesema ni upumbavu kushawishi Watu kuchaguana kwa Vigezo Vya Jinsia, Dini na Kabila.

Karipio hilo amelitoa huko ukurasani X.

---
Kauli ya Lema

"Ebu funga mdomo wako wewe ,kauli za kibaguzi na kipumbavu hizi. Vinywa vyenu vimejaa ubaguzi wa kila namna, chama chenu ni janga kuu kwa Nchi. Mtu hachaguliwi kwa JINSIA, DINI, KABILA, isipokuwa uwezo, ubunifu, busara, uadilifu na umakini katika kazi." - Gobless Lema

Pia soma: Jokate Mwegelo: Wanawake ifike mwisho kuwapigia kura wanaume

Jokate.png
 
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema amemtaka Katibu mkuu wa UWT Mrs Jokate Fred kutowabagua Wananchi

Lema amesema ni upumbavu kushawishi Watu kuchaguana kwa Vigezo Vya Jinsia, Dini na Kabila

Karipio hilo amelitoa huko ukurasani X

Leo ni Njia ya Msalaba
Kwan anaitwa joket fred au joket mwegela kwa tusiyo jua mambo ya mjini
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema amemtaka Katibu mkuu wa UWT Jokate Mwegelo kutowabagua Wananchi.

Lema amesema ni upumbavu kushawishi Watu kuchaguana kwa Vigezo Vya Jinsia, Dini na Kabila.

Karipio hilo amelitoa huko ukurasani X.
Nadhani mpumbavu ni Lema Kwa sababu Duniani kote unaiweka wagombea Kwa vigezo vya makundi ya ushawishi mfano VP Kamala aliwekwa kushawishi wanawake na watu weusi.

Sasa Jokate hajakosea,Wakati Rais Samia Yuko kwenye harakati za kuwainua Wanawake ambao walikandamizwa Kwa miaka Mingi,Jokate Ametoa hoja ya msingi ya Wanawake kuwaunga mkono wanawake wenzao ambao Wana uwezo akiwemo Rais Samia.

Samia ndio Amewapa hao Machadema jeuri ya kuropoka,walikimbia Nchi chini ya huyo dikteta uchwara.

Baada ya Samia chadomo watachagua kukimbia Nchi au kumkumbuka Samia.
 
Mchepukko unatetea Muchepuko.....
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema amemtaka Katibu mkuu wa UWT Jokate Mwegelo kutowabagua Wananchi.

Lema amesema ni upumbavu kushawishi Watu kuchaguana kwa Vigezo Vya Jinsia, Dini na Kabila.

Karipio hilo amelitoa huko ukurasani X.

Pia soma: Jokate Mwegelo: Wanawake ifike mwisho kuwapigia kura wanaume
Tulijua tu huyu mropokaji wa chadema atatoa mapovu ,hivi Lema anaposemaga yeye ni mchagga huwa inaimanisha nini zaidi ya kutaka wachagga wa Arusha wale wasiojilewa wampugie kura?
 
Nadhani mpumbavu ni Lema Kwa sababu Duniani kote unaiweka wagombea Kwa vigezo vya makundi ya ushawishi mfano VP Kamala aliwekwa kushawishi wanawake na watu weusi.

Sasa Jokate hajakosea,Wakati Rais Samia Yuko kwenye harakati za kuwainua Wanawake ambao walikandamizwa Kwa miaka Mingi,Jokate Ametoa hoja ya msingi ya Wanawake kuwaunga mkono wanawake wenzao ambao Wana uwezo akiwemo Rais Samia.

Samia ndio Amewapa hao Machadema jeuri ya kuropoka,walikimbia Nchi chini ya huyo dikteta uchwara.

Baada ya Samia chadomo watachagua kukimbia Nchi au kumkumbuka Samia.
Huu uchambuzi sioni nyumbu yoyote yule kutoka chadema kuweza elewa maana yake
 
Tulijua tu huyu mropokaji wa chadema atatoa mapovu ,hivi Lema anaposemaga yeye ni mchagga huwa inaimanisha nini zaidi ya kutaka wachagga wa Arusha wale wasiojilewa wampugie kura?
Chagga siyo kabila ni Jamii ya Wapambanaji kutoka pande za Galilaya
 
Nadhani mpumbavu ni Lema Kwa sababu Duniani kote unaiweka wagombea Kwa vigezo vya makundi ya ushawishi mfano VP Kamala aliwekwa kushawishi wanawake na watu weusi.

Sasa Jokate hajakosea,Wakati Rais Samia Yuko kwenye harakati za kuwainua Wanawake ambao walikandamizwa Kwa miaka Mingi,Jokate Ametoa hoja ya msingi ya Wanawake kuwaunga mkono wanawake wenzao ambao Wana uwezo akiwemo Rais Samia.

Samia ndio Amewapa hao Machadema jeuri ya kuropoka,walikimbia Nchi chini ya huyo dikteta uchwara.

Baada ya Samia chadomo watachagua kukimbia Nchi au kumkumbuka Samia.
Kweli kama huna akili basi huna. Kwa akili hizi za kipumbavu hatufiki mbali, hivi hiyo jinsia ya kike wakiachiwa kila idara wasimamie tutafika tunakoelekea? Upumbavu ni mzigo.
 
Back
Top Bottom