Ni lini upinzani umewahi kutamka na kukiri hadharani kuwa uchaguzi huu ulikuwa ni huru na haki?

yvegenc prymacov

JF-Expert Member
Jan 22, 2023
1,526
1,913
Habari,

Kumekuwa na propaganda zinaendeshwa kuhusu hayati John Pombe Magufuli, kuwa eti aliiba na kupora uchaguzi, propaganda hizi mpk na viongozi waandamimizi wa CCM, waliokuwa na jukumu la kuifanya ccm ishinde liwe jua iwe mvua.

Kama Abdulrahman Kinana, huyu kinana ndie alikuwa katibu mkuu wa CCM kipindi cha huo uchaguzi, na yeye eti inafikia ana ahadi uchaguzi ujao utakuwa huru na haki, mambo ya ajabu sana.

Katibu mkuu ndie mkuu wa shughuli zoote za chama,ziwa halali au halamu, leo anaropoka maneno tena. Lkn tena hawa wapinzani sijui ni lini waliwahi kusema uchaguzi ni huru na haki?
 
Wanazuga ili tuone wamebadilika hawatoiba Tena... Ukweli hawafanani na wanachokiongea!!
Wansi a mwizi olwaiz a mwizi... Hawa hawathubutu kufanya uchaguzi wa haki bila kuiba wanajua wataaibika!!
 
Habari,

Kumekuwa na propaganda zinaendeshwa kuhusu hayati John Pombe Magufuli, kuwa eti aliiba na kupora uchaguzi, propaganda hizi mpk na viongozi waandamimizi wa CCM, waliokuwa na jukumu la kuifanya ccm ishinde liwe jua iwe mvua.

Kama Abdulrahman Kinana, huyu kinana ndie alikuwa katibu mkuu wa CCM kipindi cha huo uchaguzi, na yeye eti inafikia ana ahadi uchaguzi ujao utakuwa huru na haki, mambo ya ajabu sana.

Katibu mkuu ndie mkuu wa shughuli zoote za chama,ziwa halali au halamu, leo anaropoka maneno tena. Lkn tena hawa wapinzani sijui ni lini waliwahi kusema uchaguzi ni huru na haki?
Kwa hiyo mnafanya makusudi ili mje kujinadi upumbavu wenu wa kusema Wapinzani hawajawahi kukubali kuwa walishindwa kihalali.Ninyi ni wajinga na wapumbavu wakubwa.
 
Habari,

Kumekuwa na propaganda zinaendeshwa kuhusu hayati John Pombe Magufuli, kuwa eti aliiba na kupora uchaguzi, propaganda hizi mpk na viongozi waandamimizi wa CCM, waliokuwa na jukumu la kuifanya ccm ishinde liwe jua iwe mvua.

Kama Abdulrahman Kinana, huyu kinana ndie alikuwa katibu mkuu wa CCM kipindi cha huo uchaguzi, na yeye eti inafikia ana ahadi uchaguzi ujao utakuwa huru na haki, mambo ya ajabu sana.

Katibu mkuu ndie mkuu wa shughuli zoote za chama,ziwa halali au halamu, leo anaropoka maneno tena. Lkn tena hawa wapinzani sijui ni lini waliwahi kusema uchaguzi ni huru na haki?
Kwani Uchaguzi kuwa huru na haki ni wapinzani kutamka au criteria za haki na Uhuru zionekane? Kuna Mtu nchi hii anasubiri tamko la wapinzani Kwa aliyoyaona 2020?
 
Back
Top Bottom