January Makamba tunajua Hayati Magufuli alikubatiza kwa moto, Unapoteza muda tu

Magufuli 05

JF-Expert Member
May 7, 2023
943
1,988
Hayati Magufuli asingeweza kufanya kazi na tapeli hata siku moja.

Hayati Magufuli asingeweza kufanya kazi na mbabaishaji hata siku Moja.

Hayati Magufuli alikuwa smart na straight forward. Alikuona wewe ni hovyo akakuweka kando. Sasa umebaki na taarabu tu.

Wewe pamoja na kinana mlikuwa na mpango mchafu dhidi ya jemedari. Jemedari akashtuka akawaweka kando.

Mlipata aibu pamoja na kwamba mliomba radhi. Watanzania tunajua mlimtukana kamanda wetu nasi tuliwadharau Sana.

Endeleeni kumpiga maneno ya kejeli mkidhani mnajisafisha kwa wananchi. Mlichosahau ni kwamba nanyi pia ni marehemu watarajiwa. Ni suala la muda tu.

Hayati JPM aliwashinda akiwa hai na atawashinda akiwa kaburini

Pia soma
 
Magufuli asingeweza kufanya kazi na tapeli hata siku moja.
Magufuli asingeweza kufanya kazi na mbabaishaji hata siku Moja.
Magufuli alikuwa smart na straight forward. Alikuona wewe ni hovyo akakuweka kando. Sasa umebaki na taarabu tu.
Wewe pamoja na kinana mlikuwa na mpango mchafu dhidi ya jemedari. Jemedari akashtuka akawaweka kando . Mlipata aibu pamoja na kwamba mliomba radhi. Watanzania tunajua mlimtukana kamanda wetu nasi tuliwadharau Sana.

JPM aliwaahinda akiwa hai na atawashinda akiwa kaburini
Mchafu hachafuliwi. Magufuli alijichafua mwenyewe hivyo kilichopo ni wapambe wake na wanufaika wake ndiyo wanataka kumsafisha.

Unaweza kumchafua vipi mtu aliyekuwa anamiliki mwenyewe kikundi cha WASIOJULIKANA kinateka watu, kinatesa na kinaua? Unaweza kumchafua vipi mtu ametuma kikundi kiikamuue Tundu Lissu akiwa bungeni?

Unaweza kumchafua vipi mtu aliyekikri mwenyewe kuwa ni kichaa?

Unaweza kumchafua vipi mtu anasema siwezi kuleta maendeleo hapa kwa vile mlichagua mpinzani?

Muache aendelee kuoza huko aliko, tuko mikono salama na SSH
 
Magufuli asingeweza kufanya kazi na tapeli hata siku moja.
Magufuli asingeweza kufanya kazi na mbabaishaji hata siku Moja.
Magufuli alikuwa smart na straight forward. Alikuona wewe ni hovyo akakuweka kando. Sasa umebaki na taarabu tu.
Wewe pamoja na kinana mlikuwa na mpango mchafu dhidi ya jemedari. Jemedari akashtuka akawaweka kando . Mlipata aibu pamoja na kwamba mliomba radhi. Watanzania tunajua mlimtukana kamanda wetu nasi tuliwadharau Sana.
Endeleeni kumpiga maneno ya kejeli mkidhani mnajisafisha kwa wananchi. Mlichosahau ni kwamba nanyi pia ni marehemu watarajiwa. Ni suala la muda tu.
JPM aliwaahinda akiwa hai na atawashinda akiwa kaburini
"Aliwashinda akiwa hai na atawashinda akiwa kaburini",ujumbe mzito sana huu.

Mimi nikimuona kiongozi yeyote anakakamaza domo lake na kuanza kumshambulia Marehemu, awe wa upinzani ama Ccm huishia kumdhaau sana na kumuona hafai, bila kujali kabla yake nilimchukuliaje.

Wanashindwa kueleza sera na mikakati yao ya maendeleo wanabakia tu kukashifu marehemu, wakati bado wakitembelea nyota yake!

Watuambie sasa, iwe upinzani ama Ccm, ni sera zipi mpya za maendeleo ya kasi walizoziibua wao na kuanza kuzitekeleza zisiwe zile zile alizoziibua mwenzao wanayeshinda wakimkashifu ndiyo wanayotambia?

Tukihoji haya tunaambiwa wasukuma gang, alah, kwa hiyo nchi hii raia wote tumewekewa speed garvanor ya kufikiri nje ya box na kuvishwa miwani ya mbao tusione ukweli ni upi ili sote tubaki machawa wa kunyonya taka taka zao za kila aina siyo?

Tupeni Katiba mpya na bora muone kama hawa genge la mibaka uchumi wataendelea kuwepo na kupiga ngonjera za kinafiki na kuendelea kukojolea akili za raia wa nchi na kutuona sote ni wapumbaf.
 
Magufuli asingeweza kufanya kazi na tapeli hata siku moja.
Magufuli asingeweza kufanya kazi na mbabaishaji hata siku Moja.
Magufuli alikuwa smart na straight forward. Alikuona wewe ni hovyo akakuweka kando. Sasa umebaki na taarabu tu.
Wewe pamoja na kinana mlikuwa na mpango mchafu dhidi ya jemedari. Jemedari akashtuka akawaweka kando . Mlipata aibu pamoja na kwamba mliomba radhi. Watanzania tunajua mlimtukana kamanda wetu nasi tuliwadharau Sana.
Endeleeni kumpiga maneno ya kejeli mkidhani mnajisafisha kwa wananchi. Mlichosahau ni kwamba nanyi pia ni marehemu watarajiwa. Ni suala la muda tu.
JPM aliwaahinda akiwa hai na atawashinda akiwa kaburini
Who is in R.I.P? 😆😆
 
Utawala wao wa sasa hivi umeshindwa kwenye kila kitu wanacho fanya, walicho weza ni kufanya ufisadi na wizi zaidi alafu lawama wanamtupia marehemu, kipara ngwidu ni debe tupu anapaswa kupuuzwa tuu
 
Unasema hupeleki maendeleo walipochagua upinzani kama sio ujinga ni nini? Kodi unakusanya ya nini? Huu ni ubaguzi. Aliyefanya hivyo ni binadamu wa hovyo kabisa.
 
Hayati Magufuli asingeweza kufanya kazi na tapeli hata siku moja.
Huyu unayemuita Tapeli Leo ndio huyu alikua anasimamia kituo cha wizi WA Kura kilichopika data za kumuweka madarakani Magufuli. Hii statement yako ni justification ya zile allegations dhidi yenu za kuupora na kuharibu uchaguzi.
 
Hayati Magufuli asingeweza kufanya kazi na tapeli hata siku moja.

Hayati Magufuli asingeweza kufanya kazi na mbabaishaji hata siku Moja.

Hayati Magufuli alikuwa smart na straight forward. Alikuona wewe ni hovyo akakuweka kando. Sasa umebaki na taarabu tu.

Wewe pamoja na kinana mlikuwa na mpango mchafu dhidi ya jemedari. Jemedari akashtuka akawaweka kando.

Mlipata aibu pamoja na kwamba mliomba radhi. Watanzania tunajua mlimtukana kamanda wetu nasi tuliwadharau Sana.

Endeleeni kumpiga maneno ya kejeli mkidhani mnajisafisha kwa wananchi. Mlichosahau ni kwamba nanyi pia ni marehemu watarajiwa. Ni suala la muda tu.

Hayati JPM aliwashinda akiwa hai na atawashinda akiwa kaburini

Pia soma
Sema hayati magufuli asingeeza kufanya kazi na anayemzidi akili. Alihitaji wale wa kuwatukana hadharani tu.
 
Kavuruga vuruga tanesco huku akimsimanga hayati yakamshinda kaona aibuke vingine. Mtu na Baba yake daah
 
Back
Top Bottom