mr pipa
JF-Expert Member
- Jul 26, 2021
- 2,330
- 4,853
{Hapa tunaongea kama wana ilimradi ujumbe ufike}Waziri husika na serikali yako kwanza gharama ya uingizaji umeme kwenye majumba ya wananchi wenu ni kubwa, hasa mijini tsh 321,000/= si pesa haba punguzen ili kila mmoja aingize huu umeme wote tulipe kodi ya jengo au hamjui kwamba kuna nyumba nyingi town hazina umeme na wanashindwa kuweka kipato ni duni alafu liumeme ni lingi mtafanyia nini zaid mta overdose trasforma zipasuke muombe tena bajeti za manunuz. wakati wateja mnawakomalia, na ikiwezekana mteja alipie tu gharama za ujazaji form huko tanesko alafu afungiwe bure hii itasaidia kuwa na wateja wengi mapato yataongezeka
Suala la pili ile tozo ya buku jero kwenye mita kwa mwezi ondoeni wekeni kila ukinunua luku unakatwa Tsh. 100+ mana wateja tayari mtakuwa nao wengi.
Kingine token za unit we buku unit 4 mambo gani haya weken japo 8 mana umeme tunao mwingi lengo mtusaidie wananchi isiwe kazi kujisifu umeme tunao wa kutosha wakati waitaji tunawapiga rungu shusheni bei msikaze fuvu.