Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Duh, Mulugo analiaibisha Taifa, Tanzania ilitokana na muungano wa visiwa vya Pemba na Zimbabwe.... nani amemuandalia huyu hii hotuba? Mungu wangu, anakuwaje waziri wa Elimu huyu ilihali yeye...
59 Reactions
899 Replies
106K Views
Hapa angalia Lowassa alivyomdhalilisha Jakaya Kikwete. Unadhani ni sahihi? Walitesana kwa kweli
8 Reactions
93 Replies
8K Views
Dr. Mwinyi, nilikueleza Democracy inamipaka yake. Hata last time tulipoonana. Ukiendelea ku smile utavuruga amani ya ZNZ. Watu wachache watakutia doa. Wewe ni Rais kijana mwema na mwenye busara...
9 Reactions
48 Replies
5K Views
Katika Hotuba yake katika mazishi ya Edward Lowassa, Rais Samia amesema kura nyingi walizopata CHADEMA 2015 zilikuwa ni kwa sababu ya umaarufu ambao Lowassa alijijengea. Rais ametambua kazi nzuri...
6 Reactions
33 Replies
4K Views
Nikirejea namna vyama vikubwa viwili Tanzania vinavyoteua wagombea wake wa nafasi za uchaguzi hasa za Urais ni wazi vigogo wachache wa vyama wamehodhi mchakato wa kupitisha wagombea wao badala ya...
0 Reactions
8 Replies
590 Views
Leo nimenunua Sukari kilo afu tano. Leo Tarehe 14.2.2024 Na hapa Niko mjini Dar. Sipati picha huko kwingine. Huko kwenu inaendaje?
2 Reactions
37 Replies
2K Views
Akifa kiongozi au Kiongozi mstaafu ni sawa tu na kifo cha mwanakijiji wa kule Nanjirinji Kilwa. Akifa msanii ni sawa tu na kifo cha raia wa Tandale aliyekufa kwa typhoid ambayo alishindwa...
0 Reactions
0 Replies
422 Views
Wataalamu wa sayansi ya saikolojia wanashauri nini hapa. Tuhuma za usaliti hazikomi. siamini kabisa kama ana amani moyoni, na kwa umri alionao sasa naona kama ameporomoka ghafla. Sioni kama...
3 Reactions
8 Replies
896 Views
Mengi yamesemwa kuhusu mchango wa Edward Lowassa akiwa Waziri wa Wizara mbalimbali na akiwa Waziri Mkuu. Katika mazuri aliyofanyia Taifa ni kuongoza nchi za ukanda wa mto Nile (Riparian states)...
5 Reactions
25 Replies
2K Views
Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu amesema Utafiti uliofanywa na Kampuni ya Kimataifa kuelekea uchaguzi wa 2015 ulionyesha Vita dhidi ya Ufisadi ni Kipaumbele namba 8 au 9. Kwamba...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Kwema Wakuu! Kisa cha Lowasa na Rafikiake na usaliti mkubwa uliotokea ni kisa kitakachoishi kwenye taifa hili kwa karne na karne. Huwaga visa vya usaliti na mapenzi vinadumu sana. Historia na...
7 Reactions
41 Replies
3K Views
"Mikoa ya Kaskazini iliendelezwa kwa juhudi ya Wanakaskazini" Huo ni Ukweli unaoleta furaha kwa Wanakaskazini na Maumivu kwa wana mikoa mingine. Nitaelezea kwa Ushahidi ulio wazi kabisaaa...
76 Reactions
498 Replies
50K Views
Wakuu kwema, nyuki wa mama mpo? Kama ukipewa nafasi ya kumuondoa Waziri mmoja kwenye nafasi yake kwa kushindwa kutekeleza majukumu yake, na Waziri huyu asiweze kurudi tena kwenye nafasi nyingine...
3 Reactions
75 Replies
4K Views
Wakati wa Prof Muhongo,wakipigia upatu mradi wa gesi ya mtwara,akisaidiwa na wanasiasa wa vyama vyote mfano akina Zitto,waliahidi kuwa huu mradi ukianza hakutakuwa na mgawo wa umeme tena. Na...
6 Reactions
16 Replies
937 Views
Mwamba ni wa kitambo, Ameshuhudia mengi, kabla hajawa raisi na hata baada, na hata baada ya kukiachia kiti Mwamba inasemekana alipendekezwa kitambo sana na wenye akili aje aliongoze hili taifa...
11 Reactions
39 Replies
3K Views
1. Rais Jakaya Kikwete. 2. Dkt. Mohammed Gharib Bilal. 3. Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein. 4. Philip Mangula. 6. Balozi Seif Ali Iddi. 7. Mizengo Pinda. 8. Abdulrahman Kinana. 9...
7 Reactions
45 Replies
15K Views
Hii wiki Nyota ya Chadema imeng'aa sana kwani kila kikwazo kilichoibuka mbele yao Walikiruka Tulitangaziwa Tundu Lisu angehojiwa Star tv lakini hatukumuona na badala yake Mjumbe wa CCM ndio...
6 Reactions
12 Replies
1K Views
Kauli ya Katibu Mkuu wa Chama cha Walimu (CWT), Mwalimu Japhet Maganga wakati akizungumza na Wanahabari ofisini kwake Mkoani Dodoma, amesema “Kuna mbinu chafu zinapangwa kunidhalilisha nionekane...
1 Reactions
35 Replies
4K Views
Hongera kwa kuzindua sanamu la baba wa taifa🙏🙏
0 Reactions
0 Replies
313 Views
Huyu Mama kuliko nimpigie kura heri nimpigie kura mwingine iharibike, Tumekuwa na Rais mwongo na mawaziri waongo waongo. Kwanza mama hakai nchini kama alivyokuwaga Kikwete tu,hawa watu wa Pwani...
21 Reactions
51 Replies
2K Views
Back
Top Bottom