Sababu kwanini jibu alilotoa Rais Samia kuhusu sanctions sio sahihi na alipaswa kujibu namna hii. Washauri hawakumwandaa?

Synthesizer

Platinum Member
Joined
Feb 15, 2010
Posts
14,850
Reaction score
27,790
Raisi Samia kaulizwa, ikiwa mnafanya mipango ya biashara na Urusi, mtawezaje kuruka viunzi vta vikwazo vilivyopo au kuna namna mtavizunguka?

Samia akatoa jibu fupi sana, kwamba Tanzania hatuna vikwazo, na wapambe waliopo, nadhani wengi wakiwa wapambe Watanzania waliozoea kupiga makofi kitu chochore anachoongea, wakampigia makofi. Ajabu sana.

Sasa kwa nini jibu la Samia sio sahihi kabisa?

Samia haelewi kwamba nchi inapowekewa vikwazo, iwe na Umoja wa Mataifa au USA, vikwazo hivyo vinazibana hata nchi nyingine kufanya nayo biashara. Kwa mfano, Iran ina vikwazo vya kuuza mafuta, maana yake hata kama Tanzania hatuna vikwazo, hatuwezi kwenda kununua mafuta Iran, au kuwauzia Iran bidhaa zetu kwa sababu sisi hatuna vikwazo.

Kwa hiyo Samia anapaswa kuelewa ni kwamba vikwazo vya Urusi vinahusu Urusi kutofanya biashara na mataifa mengine na mataifa mengine kutoweza kufanya biashara na Urusi kwa sababu kawekewa vikwazo.

Sasa Tanzania inaweza kuamua, kwa kiburi tu fulani cha "who are you" kwamba sisi tutafanya biashara na Urusi. Tutakumbana na changamoto mbili kubwa. Moja ni kwamba hatuwezi kutumia mifumo ya kimataifa ya kufanya au kupokea malipo, au kusafirisha bidhaa (international trade logistics impediments). Mbili ni kwamba na sisi tutajiweka katika hatari yakuwekewa vikwazo, na USA au EU. Sasa hizi ni challenge ambazo nchi kubwa ka China wanaweza kukabiliana nazo, lakini sio Tanzania!

Sasa Raisi Samia alipaswa kujibu hili swali namna gani? Alipaswa aseme;

"Tunafahamu kwamba kwa wakati huu kuna changamoto fulani fulani katika kufanya biashara na Urusi, lakini tunaamini kwa dhati kwamba siasa za kimataifa zinabadilika kila wakati. Leo Mandela ni terrorist kesho ni rafiki kipenzi wa dunia. Leo Trump yuko vitani na Iran, kesho anasema angependa kufanya mazungumzo na kiongozi wa Iran kwa sababu Iran ni watu wazuri tu. Sasa wakati hizi siasa za kimataifa zinabadilika kila wakati, makubaliano ya ushirikiano wa biashara huwa ni ya muda mrefu siku zote. Kwa hiyo japo leo zipo changamoto za vikwazo katika baadhi ya maeneo, tunajua huenda hata leo usiku zikakoma kutokana na sababu mbalimbali. Sisi kama Tanzania hatutaki kuzuiwa katika mipango yetu ya muda mrefu na mambo ambayo huwa ni ya muda mfupi. Na zaidi ya hapo, hakuna vikwazo visivyoweza kuzungumzika inapokuja kwenye suala taifa moja moja, yaani case by case, hivyo pale inapobidi tutafanya mazunguzo ili kufanikisha mambo"

Samia angejibu hivi leo angekuwa ana trend dunia nzima! Wasaidizi wake walipaswa kuwa wamemwandaa kwa swali kama hili. Ni wazembe kukimbilia kusafiri nae bila kumshauri majibu kwa maswali yanayoweza kuulizwa.
 
Wakupe nafasi ya Kombo mkuu
Yaani yule jamaa, ha!

1780730826280.png

Kombo katika ubora wake!
 
Umejibu kimantiki sana bila kukurupuka. Hongera sana mzee.
Asante Mkuu.Basi natamani ningekuwa katika nafasi ya kusaidia taifa. Kwangu mimi maswali kama hayo yalikuwa ni jambo wazi sana kwa wapambe wa Samia kumwambia tegemea swali kama hili na kupendekeza jibu ambalo anapaswa kutoa akiulizwa. Ila sidhani kama walifanya hiyo "scenari analysis"ya kujaribu ku-predict maswali. Walipaswa pia ku-predict maswali kuhusu uchaguzi, Oct 29, Lissu nk na kumwandaa kwa majibu. Lakini nadhani walikuwa wanafurahia trip tu!
 
Hapo jibu halisi litaegemea zaidi kwenye Sera za nchi kwa mambo ya nje ya nchi.

Kwamba Tanzania haifungamani na nchi yoyote. Na hii inaipa Uhuru wa kidiplomasia wa kujiamulia nani wa kushirikiana naye na nani sio wakushirikiana naye.
Tanzania kama Taifa huru na lisilofungamana na mirengo ya nchi zingine, litashirikiana na nchi yoyote Ile kwa maslahi na maendeleo ya wananchi wa Tanzania na nchi husika.

Kwa
 
Raisi Samia kaulizwa, ikiwa mnafanya mipango ya biashara na Urusi, mtawezaje kuruka viunzi vta vikwazo vilivyopo au kuna namna mtavizunguka?

Samia akatoa jibu fupi sana, kwamba Tanzania hatuna vikwazo, na wapambe waliopo, nadhani wengi wakiwa wapambe Watanzania waliozoea kupiga makofi kitu chochore anachoongea, wakampigia makofi. Ajabu sana.

Sasa kwa nini jibu la Samia sio sahihi kabisa?

Samia haelewi kwamba nchi inapowekewa vikwazo, iwe na Umoja wa Mataifa au USA, vikwazo hivyo vinazibana hata nchi nyingine kufanya nayo biashara. Kwa mfano, Iran ina vikwazo vya kuuza mafuta, maana yake hata kama Tanzania hatuna vikwazo, hatuwezi kwenda kununua mafuta Iran, au kuwauzia Iran bidhaa zetu kwa sababu sisi hatuna vikwazo.

Kwa hiyo Samia anapaswa kuelewa ni kwamba vikwazo vya Urusi vinahusu Urusi kutofanya biashara na mataifa mengine na mataifa mengine kutoweza kufanya biashara na Urusi kwa sababu kawekewa vikwazo.

Sasa Tanzania inaweza kuamua, kwa kiburi tu fulani cha "who are you" kwamba sisi tutafanya biashara na Urusi. Tutakumbana na changamoto mbili kubwa. Moja ni kwamba hatuwezi kutumia mifumo ya kimataifa ya kufanya au kupokea malipo, au kusafirisha bidhaa (international trade logistics impediments). Mbili ni kwamba na sisi tutajiweka katika hatari yakuwekewa vikwazo, na USA au EU. Sasa hizi ni challenge ambazo nchi kubwa ka China wanaweza kukabiliana nazo, lakini sio Tanzania!

Sasa Raisi Samia alipaswa kujibu hili swali namna gani? Alipaswa aseme;

"Tunafahamu kwamba kwa wakati huu kuna changamoto fulani fulani katika kufanya biashara na Urusi, lakini tuaamini kwa dhati kwamba siasa za kimataifa zinabadilika kila wakati. Leo Mandela ni terrorist kesho ni rafiki kipenzi wa dunia. Leo Trump yuko vitani na Iran, kesho anasema angependa kufanya mazungumzo na kiongozi wa Iran kwa sababu Iran ni watu wazuri tu. Sasa wakati hizi siasa za kimataifa zinabadilika kila wakati, makubaliano ya ushirikiano wa biashara huwa ni ya muda mrefu siku zote. Kwa hiyo japo leo zipo changamoto za vikwazo katika baadhi ya maeneo, tunajua huenda hata leo usiku zikakoma kutokana na sababu mbalimbali. Sisi kama Tanzania hatutaki kuzuiwa katika mipango yetu ya muda mrefu na mambo ambayo huwa ni ya muda mfupi. Na zaidi ya hapo, hakuna vikwazo visivyoweza kuzungumzika inapokuja kwenye suala taifa moja moja, yaani case by case, hivyo pale inapobidi tutafanya mazunguzo ili kufanikisha mambo"

Samia angejibu hivi leo angekuwa ana trend dunia nzima! Wasaidizi wake walipaswa kuwa wamemwandaa kwa swali kama hili. Ni wazembe kukimbilia kusafiri nae bila kumshauri majibu kwa maswali yanayoweza kuulizwa.
Hili jibu linaonekana refu kwa kiswahili ila ukiliweka kwa lugha ya kimalkia ni jibu fupi sana.
 
Sahihi. Ni jibu zuri bila shaka. Labda wasaidizi hawakutarajia kukutana na swali kama hilo
 
Asante Mkuu.Basi natamani ningekuwa katika nafasi ya kusaidia taifa. Kwangu mimi maswali kama hayo yalikuwa ni jambo wazi sana kwa wapambe wa Samia kumwambia tegemea swali kama hili na kupendekeza jibu ambalo anapaswa kutoa akiulizwa. Ila sidhani kama walifanya hiyo "scenari analysis"ya kujaribu ku-predict maswali. Walipaswa pia ku-predict maswali kuhusu uchaguzi, Oct 29, Lissu nk na kumwandaa kwa majibu. Lakini nadhani walikuwa wanafurahia trip tu!
Mkuu maswali huwa yanakuwa ya papo kwa papo au hupewa kabla?!
 
Raisi Samia kaulizwa, ikiwa mnafanya mipango ya biashara na Urusi, mtawezaje kuruka viunzi vta vikwazo vilivyopo au kuna namna mtavizunguka?

Samia akatoa jibu fupi sana, kwamba Tanzania hatuna vikwazo, na wapambe waliopo, nadhani wengi wakiwa wapambe Watanzania waliozoea kupiga makofi kitu chochore anachoongea, wakampigia makofi. Ajabu sana.

Sasa kwa nini jibu la Samia sio sahihi kabisa?

Samia haelewi kwamba nchi inapowekewa vikwazo, iwe na Umoja wa Mataifa au USA, vikwazo hivyo vinazibana hata nchi nyingine kufanya nayo biashara. Kwa mfano, Iran ina vikwazo vya kuuza mafuta, maana yake hata kama Tanzania hatuna vikwazo, hatuwezi kwenda kununua mafuta Iran, au kuwauzia Iran bidhaa zetu kwa sababu sisi hatuna vikwazo.

Kwa hiyo Samia anapaswa kuelewa ni kwamba vikwazo vya Urusi vinahusu Urusi kutofanya biashara na mataifa mengine na mataifa mengine kutoweza kufanya biashara na Urusi kwa sababu kawekewa vikwazo.

Sasa Tanzania inaweza kuamua, kwa kiburi tu fulani cha "who are you" kwamba sisi tutafanya biashara na Urusi. Tutakumbana na changamoto mbili kubwa. Moja ni kwamba hatuwezi kutumia mifumo ya kimataifa ya kufanya au kupokea malipo, au kusafirisha bidhaa (international trade logistics impediments). Mbili ni kwamba na sisi tutajiweka katika hatari yakuwekewa vikwazo, na USA au EU. Sasa hizi ni challenge ambazo nchi kubwa ka China wanaweza kukabiliana nazo, lakini sio Tanzania!

Sasa Raisi Samia alipaswa kujibu hili swali namna gani? Alipaswa aseme;

"Tunafahamu kwamba kwa wakati huu kuna changamoto fulani fulani katika kufanya biashara na Urusi, lakini tuaamini kwa dhati kwamba siasa za kimataifa zinabadilika kila wakati. Leo Mandela ni terrorist kesho ni rafiki kipenzi wa dunia. Leo Trump yuko vitani na Iran, kesho anasema angependa kufanya mazungumzo na kiongozi wa Iran kwa sababu Iran ni watu wazuri tu. Sasa wakati hizi siasa za kimataifa zinabadilika kila wakati, makubaliano ya ushirikiano wa biashara huwa ni ya muda mrefu siku zote. Kwa hiyo japo leo zipo changamoto za vikwazo katika baadhi ya maeneo, tunajua huenda hata leo usiku zikakoma kutokana na sababu mbalimbali. Sisi kama Tanzania hatutaki kuzuiwa katika mipango yetu ya muda mrefu na mambo ambayo huwa ni ya muda mfupi. Na zaidi ya hapo, hakuna vikwazo visivyoweza kuzungumzika inapokuja kwenye suala taifa moja moja, yaani case by case, hivyo pale inapobidi tutafanya mazunguzo ili kufanikisha mambo"

Samia angejibu hivi leo angekuwa ana trend dunia nzima! Wasaidizi wake walipaswa kuwa wamemwandaa kwa swali kama hili. Ni wazembe kukimbilia kusafiri nae bila kumshauri majibu kwa maswali yanayoweza kuulizwa.
nonsense 🐒
 
Back
Top Bottom