Picha: Abdul (mtoto wa Samia) yupo Moscow. Kaenda kwa shughuli gani? Kama nani?

Picha: Abdul (mtoto wa Samia) yupo Moscow. Kaenda kwa shughuli gani? Kama nani?

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,942
Reaction score
6,387
Mmoja ya wajumbe?

IMG_20260603_195023_198.jpg

IMG_4740.jpeg
 
kaenda kama mtoto wa Rais? au kuna makosa gentleman? :pedroP:

akina Trump wanaenda ziarani duniani mpaka na wakwe zao na vitukuu vyao, achilia mbali watoto na wajukuu, sembuse mtoto moja tu wa Rais wa Tanzania?

chuki ni kitu mbaya sana aise gentleman, siku hizi kumbe ndio maana mtu anaweza kujikwaa na kuanguka na kukata roho, kumbe ni kwasababu tu kajaza chuki binafsi useless moyoni mwake:NoGodNo:
 
Back
Top Bottom