Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 758
- 678
Kwanini wanaharakati wa Tanzania kama Mange Kimambi, Maria Sarungi na wanachama wote wa Chadema, wako upande wa nchi za Magharibi kama Marekani licha ya kwamba iko wazi kwamba Marekani ndio mvinjifu namba moja duniani wa haki za binadamu? Umewahi kujiuliza kwanini?