Leo Serikali Kupitia TPDC imeita waandishi na wahariri wa Habari mbalimbali na kutaka kufafanua juu yaadai yaliyotolewa na ACT Wazalendo kuhusiania na kashfa ya uagizaji Mafuta.
Nimesikiliza hotuba Yao na kurejea maswali ya ACT kiukweli bado ufafanuzi inahitajika
Nakuwekea maswali ya ACT hapa
(i) Kwanini Serikali iliruhusu kupanda bei za mafuta kutoka April hadi Juni, 2026 licha ya kuwepo akiba ya mafuta ya kutosheleza kipindi cha miezi 3 yaliyoagizwa kabla ya kinachoitwa kupanda kwa bei za mafuta katika soko la dunia?
(ii) Serikali kupitia Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar inadai kuwa iliweka ruzuku ya Tsh. 259 mwezi Mei na Tsh. 535 kwa lita Mwezi Juni, kwanini bei hazikushuka? mtiririko unanyesha kuwa bei za mafuta ya Dizeli zilipanda kwa wastani wa Tsh. 397 mwezi Mei na Tsh. 123 kwa lita mwezi Juni 2026 katika vituo vya mafuta nchini.
(iii) Kwanini bei elekezi iliyotangazwa na EWURA mwezi Mei na Juni 2026 haionyeshi bei ya mafuta ilikuwa kiasi gani kabla na baada ya Ruzuku?
(iv) Serikali ilipata kibali wapi cha kutoa ruzuku hiyo nje ya Bajeti na kwanini haikutangazwa kwenye Gazeti la Serikali? la mwezi Aprili, Mei na Juni 2026.
(v) Bei za mafuta zimeshuka katika soko la dunia kutoka Dola za Marekani 112.9 kwa Pipa mwezi Aprili na kufikia Dola 83 mwezi Mei takriban zimeshuka kwa 22% na mwezi Juni zimefikia Dola za Marekani 70 kwa Pipa sawa na punguzo la 38% kwanini bei hazikushuka mwezi Mei na Juni? Na badala yake bei elekezi ya EWURA kwa Kampuni za mafuta ya VITOL iliongezeka kwa wastani wa Tsh. 407.31 mwezi Mei na Tsh. 109.93 mwezi Juni 2026 kwa mafuta ya Diesel.
(vi) Sababu gani zilizopelekea Wakala wa Ununuzi wa Mafuta kwa pamoja (PBPA) chini ya Mtendaji Mkuu Bw. Erasto Simon kuacha utaratibu wa kushindanisha kampuni kuagiza mafuta nje ya nchi na badala yake kuifanya TPDC kama muagiza pekee wa mafuta nchini? jambo ambalo ni kinyume na Kanuni za ununuzi wa mafuta kwa pamoja za PBPA za mwaka 2024.
(vii) Kwanini TPDC chini ya Mkurugenzi Mtendaji, Ndg. Mussa Makame haikuagiza mafuta moja kwa moja na badala yake ikatumia Kampuni binafsi ya Vitol ya Uswisi?
(viii) Kwanini bei hazikushuka na badala yake zikapanda licha ya TPDC kuwa muagizaji pekee wa mafuta nchini? TPDC ni Taasisi ya Serikali iliyotarajiwa kupata mafuta kwa bei nafuu na halisi baada ya kufanya uhakiki (Due diligence)
(ix) Kwanini Kampuni ya Vitol iliruhusiwa kuingiza mafuta kwa bei kubwa zaidi ya ile iliyoruhusiwa na PBPA wakati TPDC inapewa zabuni hiyo? Jambo ambalo ni kinyume cha sheria ya mafuta, kanuni zake pamoja na kanuni za uagizaji mafuta kwa pamoja za PBPA za mwaka 2024.
Soma TPDC: Bei za mafuta zipo chini ukilinganisha na nchi nyingine
(x) EWURA chini ya Kaimu Mkurugenzi Mkuu, Gerald Maganga ilipataje bei mpya za mafuta mwezi Juni kwa kuwa hakukuwa na ushindani ? baada ya zabuni hiyo kupewa TPDC kwa miezi 3 mfululizo Mei, Juni na Julai, 2026.
(xi) Kwanini Mkurugenzi Mkuu wa EWURA, Dkt. James Andilile Mwainyekule alitenguliwa tarehe 2 Aprili 2026 mara tu baada ya kutangaza kuwa nchi ina akiba ya mafuta hoja iliyoungwa mkono na Waziri na Katibu Mkuu Wizara ya Nishati kuwa nchi inajitosheleza mafuta kwa kipindi cha miezi 3 yaani Aprili, Mei na Juni 2026?